Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Are you sure?The universe began around 13.8 billion years ago—right on schedule.
Who was there to witness the beginning of the universe?
Are you sure?The universe began around 13.8 billion years ago—right on schedule.
You want God to think the way you think? Viumbe ni wake mwenyewe na amewaumba kwa namna iliyo mpendeza yeyeKwa nini huyo Mungu aliumba binadamu wasiotii neno lake?
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu watakao tii neno lake?
Kama huyo Mungu ana makusudi ya kufanya mambo magumu kutokea, Basi hajielewi na anaendeshwa kwa mihemko ya kihisia.
How sure are you there was creation?Just like gravity, or thoughts ,you don't see them, but you see their effects. The existence of God isn’t about Him standing in front of you with an ID card. It’s about the evidence in creation, order in the universe, morality, and the personal experiences people have.
Your doubt doesn't cancel His existence ,,, it just exposes your limited lens.
Ulimuona akiwaumba?You want God to think the way you think? Viumbe ni wake mwenyewe na amewaumba kwa namna iliyo mpendeza yeye
Unamlaumu “Mungu" kwa kutoweka mipaka na kuchuja hatari, yet wewe mwenyewe huamini hata kama huyo Mungu yupo.Sasa unaelewa kuwa huyo mzazi ndiye Mungu na sisi ndio huyo mtoto na umemuita Mungu mzembe.
Umesema kuwa Mungu anahatarisha maisha yetu kwa kisingizio cha uhuru wakati jukumu la Mungu mwenye upendo wote ni kulinda, kuelekeza na kuchuja chaguzi hatarishi.
Kwa nini unampa mzazi wa mtoto, mtu tu mwenye ujuzi wenye mwisho, uwezo wenye mwisho na upendo wenye nwisho, wajibu mkubwa kwa mtoto wake, zaidi ya unavyompa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote wajibu kwa dunia nzima?
Hakuna mwanadamu aliyekuwepo kushuhudia mwanzo wa ulimwengu, lakini wanasayansi wametumia ushahidi wa kisayansi kuthibitisha kuwa ulimwengu ulianza takribani miaka bilioni 13.8 iliyopita kupitia tukio lijulikanalo kama Big Bang.Are you sure?
Who was there to witness the beginning of the universe?
Jambo linaweza kuwepo au kutokuwepo si kwa sababu linafikirika au halifikiriki; au kama ulivyoorodhesha hapo juu. Bali maarifa ndio hututhibitishia ikiwa jambo hilo lipo - ni ukweli au halipo- ni uongo.Kama kitu;
•Hakifikiriki,
•Hakihisiki,
•Hakishikiki,
•Hakionjeki,
•Hakionekani na
•Hakisikiki.
•Na hakuna njia ya kuathiri wala kuathiriwa nacho...
Basi kwa viwango vyote vya falsafa, sayansi, na mantiki ya kawaida ya binadamu — hicho kitu hakipo.
Unataka tuzungumze kuhusu kitu ambacho:Nakazia tena tusijadili “Mungu” hadi tupate definition “pure” isiyoegemea upande wowote.
Acha kuzunguka zunguka kwenye historia, imani na mafundisho ya falsafa za kale — basically, nataka ufanye brain factory reset kabla ya mjadala ili uweze kufree think hiyo dhana broh 🧠
Mbona tukiacha tafsiri za falsafa na Imani bado We can sense love, hate, hot, heat - We can see things moving and we can feel them. why ikija kujadili "Mungu" lazima tuegemee fasiri za kiimani na kihistoria bila kujali hatumuoni, hatumfeel, Hatumsense wala hatuthink obout Him/Her/It.
Hiyo si mantiki, hiyo ni epistemic gymnastics ya mtu anayejua hoja zake hazina uzito kama tu akijaribu kutoa ukungu wa kiimani.
Kwanza, hakuna dhana kubwa inayokubalika kwa wote bila tafsiri tofauti — hata “uhuru” au “upendo” hazina muundo rasmi — lakini bado tunajadili na zina tafsiri.
Sasa kama tafsiri nyingi za “Mungu” lazima zitegemee imani bila ushahidi, hicho ni kisingizio cha kunyamazisha mjadala kwakua tu nimesema tupate maana ndipo mjadala uanze, Infact huna hoja — unajaribu kuogelea kwenye bwawa la kifilosofa tu.
Halafu hiyo ya kusema “tusitumie neno Mungu kuchunguza ukweli kwa sababu halijaeleweka vizuri” ni kama kusema tusitumie “akili” kuelewa consciousness.
Yaani unataka tufute tools kwa sababu haziko sterile vya kutosha kwa hadhi yako ya imaginary neutrality? That’s not deep thinking, that’s intellectual catwalking.
Watu wanajenga hoja, wewe unajenga mistari ya kujificha. Ukiulizwa “Mungu ni nini?” unarudi na emotions na mistari ya Nacha kwenye ile ngoma yake ya spoken word poetry — unafanya mjadala uwe ni endless spoken word night.
Tafsiri tu imekushinda na umedata — na hapo bado hatujazama deep kutaka kujua alikotoka. Tayari umekuwa emotional, unaanza kuchanganya logics na feelings kama assignment ya mwanafunzi wa Form Two aliyeamka saa kumi kuandika speech ya debate.
Mjadala hauanzi kwa kutengeneza mazingira yasiyowezekana — huo ni uzembe wa kufikiri uliopakwa rangi ya “neutrality.” Kama huwezi define, Hujui unachojadili, Simple.
Nasisitiza usilete maelezo yeyote mengi yasiyo na tija, Njoo direct na maana ya "Mungu" itayoweza kueleweka na kila mtu isiyoegemea tafsiri za kiimani inayohisika, fikirika, oneka, shikika, onjeja au kusikika.
Otherwise itakua tunafanya circular reasoning ni sawa na kusombelea maji kwa kutumua roba la katani.
Mkuu mimi sijui, Hivyo ninapokutana na mtu anayekiri anajua lazima nimuhoji ili nijue.
Nikipata majibu ya kuridhisha niko tayari kubadilika kuwa upande wowote kati ya "Theist" au "Atheist" ikiwa kutakua na hoja zenye nguvu.
Lakini ukitoa majibu yasiyopatana na mantiki na lojiki nakuchapa, maswali ukishindwa - nakuweka kwenye kundi la wasiojua.
Infact mpaka sasa sijapata majibu ya kuridhisha ya dhana "Mungu" ambayo inaridhisha, inafikirika, oneka, shikika, sikika, hisika au nusika.
Kama zinavyofikirika na kuhisika dhana nyingine tata like Upendo, Consciousness au Mind.
This is it.
Nani alishuhudia Big-Bang ikitokea?Hakuna mwanadamu aliyekuwepo kushuhudia mwanzo wa ulimwengu, lakini wanasayansi wametumia ushahidi wa kisayansi kuthibitisha kuwa ulimwengu ulianza takribani miaka bilioni 13.8 iliyopita kupitia tukio lijulikanalo kama Big Bang.
Nani aliandika hayo maandiko?Kwa hiyo, ingawa sayansi inaelezea jinsi ulimwengu ulivyoanza, maandiko yanatufunza nani aliyeanzisha yote—Mungu. Sayansi na imani vinaweza kuhusiana: sayansi inatuonyesha “jinsi”, na maandiko yanafunua “nani”.
Hujaelewa hoja.Unamlaumu “Mungu" kwa kutoweka mipaka na kuchuja hatari, yet wewe mwenyewe huamini hata kama huyo Mungu yupo.
So ni kama kusema, “Huyo mtu asiyeishi katika nyumba yangu ni landlord mbaya kwa sababu hakufagia chumba changu leo.!!!
Halafu unataka Mungu awe more responsible than a human parent? Ebu ngoja...
Human parent ana limits – anatenda kwa instincts, stress, fatigue, na hata makosa.
Lakini Mungu, mwenye upendo wote, anaona mwisho toka mwanzo. Akikupa uhuru, si kwa sababu ni mzembe bali kwa sababu He actually respects your ability to grow up.
Na hiyo concept ya “free will” sio bug ya mfumo – ni feature ya heavenly OS.
Lakini sasa wewe, una-argue kama mtoto aliyekataa kuamini kuwa kuna mzazi halafu analalamika kwa nini hakuna chakula mezani.
Mzee wangu, you can't skip belief and still demand divine customer service.
If God is a "negligent parent" for giving you free will, then atheism is like complaining about imaginary friends not attending your birthday.
Pick a lane. Either he’s there and you don’t like how he runs things, or he’s not there and then... why are we even talking?
Unasema kuna "unresolved internal contradiction" kwa kusema Mungu yupo, halafu unaleta hoja ya “noblesse oblige” na mfano wa talanta — ambayo ironically, ni reference kutoka kwa Yesu, mtu wa system ya Mungu. !!! Uko serious kweli?Hujaelewa hoja.
Simlaumu Mungu.
Nakwambia hoja ya kusema Mungu yupo inaonesha unresolved internal contradiction na kabla hujai resolve hiyo contradiction hujathibitisha Mungu yupo.
Contradiction hiyo inaonesha Mungu hayupo.
Unaelewa kanuni ya "noblesse oblige" ya "with more power cones more responsibility"? Unaelewa mfano wa Yesu alipoeleza habari ya watu waliopewa talanta, kwamba mwenye talanta nyingi atadaiwa zaidi?
Unaeleea hesabu za cross multiplication?
Wewe kwa nini unamdai mtu tu, mzazi, asiye na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote uwajibikaji mkubwa kwa mtoto wake kuliko Mungu ambaye unasema ni mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
Kati ya mzazi anayempa chaguo baya mwanawe, na Mungu aliyeumba ulimwengu ambao mzazi anaweza kumpa mwanawe chaguo baya, wakati aliweza kuumba ulimwengu ambao chaguo baya haliwezekani kuwapo kabisa, hapo nani ana kosa kubwa?
Kati ya anayefanya ubaya kwa kujikuta tu katika ulimwengu ambao ubaya unaweza kufanyika, na aliyeumba ulimwengu ambao ubaya unaweza kufanyika, nani kafanya ubaya mkubwa zaidi hapo?
God is not a negligent parent, because, to be a negkigent parent, God has to exist.
But God does not exist.
Ukibisha, prove God exists.
Kwanza kabisa, Yesu si mtu wa system ya Mungu, kwa sababu Mungu hayupo.Unasema kuna "unresolved internal contradiction" kwa kusema Mungu yupo, halafu unaleta hoja ya “noblesse oblige” na mfano wa talanta — ambayo ironically, ni reference kutoka kwa Yesu, mtu wa system ya Mungu. !!! Uko serious kweli?
Sasa ngoja nikuulize:
Mbona una moral outrage kama mtu ambaye ana expectation ya cosmic justice? Kwa nini unaona kuna ubaya "mkubwa zaidi" kama hakuna standard ya “good” and “bad” ambayo imetoka kwa chanzo kisichoathirika na mawazo ya kibinadamu?
Una-complain kama mtu aliyepanda basi ambalo haamini kuwa lipo.
Unasema: "Dereva ni mjinga!" wakati unadai basi lenyewe halipo. How?
Kuhusu Mungu "kumuumba ulimwengu ambao ubaya unaweza kufanyika" — hebu kubwa real:
Free will bila uwezekano wa kuchagua ubaya ni kama kumwita mwanamuziki huru halafu umwandikie kila mistari. That's not freedom, that’s divine puppetry. Ungependa uwe robot?
Kama Mungu asingekuwepo, hoja zako zingekuwa meaningless.
Ungekuwa tu biochemical accident inayolalamika kwa vibration za random neurons.
Lakini fact kwamba unadai haki, unahoji ubaya na unadai responsibility, inaonesha deep down unajua kuna moral law — na moral law inatoka kwa Moral Lawgiver.
So guess what? You’re not disproving God.
You’re actually proving you’re angry at Him.
And you can’t be angry at someone who doesn’t exist.
So either:
Uko confused emotionally — na hiyo inahitaji therapy, si philosophy.
Au una conflict ya ndani — kama mtu anayemchukia ex wake, halafu kila siku yuko bize anamsaka kila sehemu.
Mungu si babysitter wa feelings zako zilizojeruhiwa na dunia.
Ni Muumba wa akili uliyoitumia kuandika hizi paragraph zako za confusion.
Kwa hiyo, kabla hujauliza "prove God exists", jiulize:
"Am I denying God with my mouth while blaming Him with my heart?"
Kwa sababu hiyo contradiction si ya Mungu.
Ni yako.
Karibu tena.
"Unauliza nani alishuhudia Big Bang?" – seriously? Unataka nani aseme "mimi nilikuwa hapo, nimechill pembeni ya nyota ya kwanza nikinywa jack Daniel, huku nikishuhudia miale ikiwaka..."?Nani alishuhudia Big-Bang ikitokea?
Nani alishuhudia tukio la Big-Bang?
Nani aliandika hayo maandiko?
Nani alishuhudia ulimwengu ukiumbwa akaandika hayo maandiko?
Una rukaruka tu wala huna uhakika wala hoja za uwepo wa Mungu na Big-Bang."Unauliza nani alishuhudia Big Bang?" – seriously? Unataka nani aseme "mimi nilikuwa hapo, nimechill pembeni ya nyota ya kwanza nikinywa jack Daniel, huku nikishuhudia miale ikiwaka..."?
Hapa hatuzungumzii mambo ya "evidence from eyewitness testimony", tunazungumzia astronomical models, cosmic microwave background radiation, redshift, quantum fluctuations... mambo ya akili si ya macho.
Unauliza "Nani aliandika hayo maandiko?" – hilo swali linataka kutufanya tuthibitishe kisayansi maandiko ya kale kwa viwango vya forensic science za FBI?
Kumbuka, maandiko ya dini si ripoti ya CNN yenye footages na timestamps. Hayo ni imani, si upelelezi wa makachero. Huwezi kupima "faith" kwa scientific method, kama vile huwezi kupima gravity kwa kusoma Zaburi.
Unauliza "Nani alishuhudia ulimwengu ukiumbwa akaandika hayo maandiko?" hili swali lako ni kama kuuliza nani aliona atomi ya kwanza ikiumbwa na akapiga nayo selfie .???
Hakuna aliyehudhuria Big Bang kama genge la mashahidi wa Jehova linavyohudhuria mabaraza. Lakini kuna ushahidi wa kisayansi unaoonyesha kuwa hiyo theory ni logical extrapolation ya data tuliyonayo ,,si hadithi za vijiweni.
Science inasema "hivi ndivyo tunavyoelewa kulingana na ushahidi"
Imani inasema "hivi ndivyo tunavyoamini kulingana na ufunuo."
Usivichanganye kama supu ya dagaa na ice cream.
Sasa chagua: unataka kuelewa kwa akili au kwa kuamini? Vyote vina nafasi yake, lakini vinapoanza kupingana, ndipo logic inapoomba kupewa nafasi.
Unajuaje kuwa dhana nzima ya "kutokea wapi na kwenda wapi" si anthropic bias tu?Ye yote makini atajiuliza: kwa nini au sababu gani zinazofanya mtu aseme kuna Mungu? Pia mtu anapoita neno Mungu ana maanisha nini? Na je, sababu za haya yote ni nini: ni ulimwengu umetoka wapi na unaenda wapi?
Umesema: “Yesu si mtu wa system ya Mungu kwa sababu Mungu hayupo.”Kwanza kabisa, Yesu si mtu wa system ya Mungu, kwa sababu Mungu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha Mungu yupo.
Wewe huelewi hata immanent critique ni nini.
Nikikwambia "Tuseme Mungu yupo, kama yupo, mbona jambo hili lina contradict habari ya kuwa yupo?" unarukia kusema "Mbona hapa umesema Mungu yupo?".
Huelewi.
Hujui hata immanent critique ni nini.
Nina tatizo la kujadiliana na mtu mwenye uwezo mdogo sana ambaye hajui hata immanent critique nini.
Premise 2: Ulimwengu una mwanzo.Premise 1: Kila kilicho na mwanzo kina kisababishi.
Bila Mungu, hakuna msingi wa maadili ya kweli (objective morality). Kwa hiyo, kwa kuwa maadili yapo, Mungu yupo.
Na mtu anayenirukia kwa kusema "Mbona umesema Mungu yupo?" hajui basic structure of argumentation.“Let’s grant your premise for the sake of argument, then expose its contradictions.”
Acha kuja na mbwembwe kama mjumbe wa Galileo, ukidhani kwamba kukataa maandiko ya Mungu ni kama kugundua theory mpya ya quantum physics,,relax, this ain’t CERN!Una rukaruka tu wala huna uhakika wala hoja za uwepo wa Mungu na Big-Bang.
Unacho jaribu wewe ni kufosi imani zako ulizo aminishwa zisizo na uthibitisho wowote ule.
Maandiko ya uwepo wa Mungu hayana tofauti na maandiko ya Abunuwasi, Esopo, kalume kenge na Alfu lela ulela.
Unafosi myths za kidini ziwe facts kwa kigezo cha imani.
Maandiko yako hayo ya Mungu ni sawa na hekaya za Abunuwasi.
Umesema: “Yesu si mtu wa system ya Mungu kwa sababu Mungu hayupo.”
Na ukaniambia: “Kama ninabisha, nithibitishe Mungu yupo.”
Cosmological Argument (Hoja ya Mwanzo)
Premise 2: Ulimwengu una mwanzo.
Kwa hiyo ulimwengu una kisababishi — na hicho ndicho kinachoitwa “Mungu”.
Critique yako (immanent):
Hii hoja inasema kila kilicho na mwanzo kina kisababishi, lakini inamwondoa Mungu kwenye kanuni hiyo. Kwa nini Mungu asihitaji kisababishi? Je, si hiyo ni special pleading?
Response ya waumini:
Tunadai Mungu hana mwanzo, kwa hiyo haingii kwenye sheria hiyo. Lakini hapa tunahitaji kuthibitisha kuwa kuna kitu kisicho na mwanzo — na si dhana tu. Na hiyo ni burden of proof)
Argument from Fine-Tuning (Hoja ya Mpangilio Kamili wa Ulimwengu)
Ulimwengu una “laws” na “constants” zilizo sahihi kabisa kwa uhai. Probability ya hii kutokea naturally ni ndogo sana. Kwa hiyo, lazima kuna “designer”.
Argument from Morality (Hoja ya Maadili)
Kwa Nini Hoja ya Uwepo wa Mungu Inasalia Controversial?
Kwa sababu hakuna ushahidi wa moja kwa moja, empirical, ambao hauna utata.
Watu hutumia frameworks tofauti,,empirical, philosophical, spiritual, na experiential.
Kama mtu anapokea experience ya Mungu kwa njia binafsi (say, "I felt His presence"), si rahisi kui-refute — lakini si rahisi pia kui-verify kwa wengine.
Hakuna ushahidi wa moja kwa moja, wa kimantiki au kisayansi, unaothibitisha Mungu yupo kwa njia ambayo haiwezi kukanushwa. Vivyo hivyo, hakuna ushahidi wa moja kwa moja wa kumthibitisha hayupo. Hii ndiyo sababu hoja hii huingia katika nyanja ya imani, falsafa, na epistemology.
Na mtu anayenirukia kwa kusema "Mbona umesema Mungu yupo?" hajui basic structure of argumentation.
Chaguo ni lako , kuamua kuni ignore au kuni follow, maana sipungukiwi na chochote ukiamua kufanya hivyo au usipo fanya hivyo.
Hakuna chochote kile kilichobadilishwa na hayo maandiko yako ya huyo Mungu wako wa kufikirika.Acha kuja na mbwembwe kama mjumbe wa Galileo, ukidhani kwamba kukataa maandiko ya Mungu ni kama kugundua theory mpya ya quantum physics,,relax, this ain’t CERN!
Unasema maandiko ya Mungu ni kama hekaya za Abunuwasi? Labda kwako, maana akili yako imeparangana na sarcasm za Snapchat philosophers. Unadhani kuwa skeptical ni akili? that’s not critical thinking, that’s just intellectual laziness wrapped in arrogance.
Hoja zako hazina uzito zaidi ya karatasi ya toilet,,,zinaweza kufuta choo lakini si kufuta ukweli. Unasema hakuna uthibitisho wa Mungu? Fine, lakini huwezi kuthibitisha kuwa "hakuna" pia. Absence of evidence is not evidence of absence, unless umeamua kuwa science ndiyo mungu wako mpya—na bado hiyo science yenyewe haijakataa uwepo wa Muumba. It just shuts up when it can't explain.
Kujifanya una akili sana hadi unaanza kupinga msingi wa uwepo wako mwenyewe, ni kama kuku kultukana yai kuwa halina maana,,wakati yeye mwenyewe alitoka humo.
So kabla hujalinganisha maandiko ya Mungu na Alfu lela ulela, kumbuka: hekaya za Abunuwasi hazijawahi kubadili maisha, lakini Biblia, Quran na maandiko mengine ya kidini yamebadili historia ya dunia—ikiwa ni pamoja na dunia yako ndogo unayoikanyaga sasa hivi.
Katika fizikia , wanasayansi wamegundua kwamba constants nyingi za ulimwengu (mfano: nguvu ya mvutano, nguvu ya electromagnetism, mass ya protoni, speed of light, n.k.) zimewekwa kwa usahihi wa hali ya juu sana. Mabadiliko madogo tu – hata kwa pointi ya desimali ya kumi au ya mia – yangefanya maisha yoyote kushindikana kabisa.Tuangalie hicho kinachoitwa fine tuning.
Kama fine tuning ipo (immanent critique alert, s8jasema ipo), kwa nini lazima fine tuning iwe imetoka kwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upebdo wote tu?
Huoni kuwa kuunganisha moja kwa moja fine tuning na Mungu huyo ni logical non sequitur fallacy?
Pia, unajuaje unachoita fine tuning si anthropic bias tu? Ulimwwngu ambao wewe upo ni lazima uonekane kuwa na hiyo u ayoiita fine tuning, ulimwwngu ambao hauna hiyo unayoiita fine tuning wewe haupo na huwezi kuuona ili useme huu ulimwengu hauna fine tuning.
Sasa, hiyo unayoiita fine tuning utajuaje ni fine tuning na si anthropic bias tu?
Pia, hiyo unayoiita fine tuning ni fine tuning kweli?
Mbona ulimwengu una mabaya mengi, matetemeko yanaua watu, magonjwa, ili mnyama mmoja aishi anahitaji kumuua na kumla mwingine. The universe, from the large scale structure to the atom, is so wasteful. 99% of matter is emptiness. How is that fine tuning?
The universe is constantly getting more disordered and eventually everything, from our bodies to galaxies and black holes, will break down per the second law of themodynamics.
How is that fine tuning?
Unaelewa tatizo la selection bias katika scientific research?
Unaelewa the multiverse theory na jinsi inavyoondoa hoja ya fine tuning?
Unajuaje kuwa wewe si kama mtu aliyeshinda bahati nasibu anayesema Mungu yupo kwa sababu kashinda bahati nasibu kwa bahati kubwa sana ambayo haiwezi kutokea bila Mungu kuwapo, wakati huo huo haangalii ukweli kuwa kuna watu wengi sana hawajashinda hiyo bahati nasibu na hilo linaondoa hoja yake kuwa kushinda kwake bahati nasibu kunaonesha Mungu yupo?
Unajuaje kuwa hicho kinachoonekana kuwa fine tuning hakitokei kama matokeo ya complex systems ku evolve tu?"
Kwa nini hizi constants zote zimekaa "sawa kabisa" kiasi cha kuruhusu maisha kuwepo?
Kama ukipata combination ya kufungua sanduku yenye namba trilioni moja kwa bahati, halafu ukasema “ah, nilifungua tu randomly” – hiyo haitoeleweka na watu wengi watasema: kuna mtu alikuwekea hizo namba kwa kusudi.
Ulimwengu unaonekana umetengenezwa kwa makusudi – kwa hiyo kuna Designer mwenye akili, uwezo na nia – yaani Mungu.
Multiverse ni namna ya kisasa ya kujaribu kuepuka hitimisho la designer.