Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

Niliuliza "Mungu ni nani au ni nini?", Sijasema "Andika insha ya hisia kuhusu ugumu wa kuulizwa maswali".

Mkuu labda nikukumbushe hapa sio TIikTok ni swali rahisi tu - Mungu ni Mtu, roho, nguvu, wazo — au ni nini? Usiniletee fumbo halafu unishtaki kwa kukosa jibu la fumbo lako mwenyewe".

Nataka tafsiri ya Mungu kwa njia ambayo nitaweza kuithibitisha si kwa imani za dini pekee wala hisia za hofu, bali kwa namna ambayo inaweza kushikika, kuonekana, kusikika au kuhusiana na hali halisi ya mwanadamu.

Kama hawezi kufikika kwa njia yoyote ya kawaida ya uelewa wa binadamu, basi kwa nini tumwamini? Au hata tumjadili?"
Saying "God must be touchable, seeable or audible to be real is like saying love, consciousness or logic aren’t real because you can’t touch them."

Mungu si lazima awe kitu kinachoshikika au kuonekana ili awe halisi. Hata vitu kama mawazo, namba, au maadili havionekani—lakini vinaathiri maisha yetu kila siku. Consciousness itself – your ability to even ask “what is God?” – is not visible, but it’s real.

Pia, hoja kwamba tusiamini chochote kisichothibitishwa kwa njia ya kawaida ya binadamu ni kujifunga kwenye kikomo cha fahamu zetu, wakati historia inaonyesha binadamu wamegundua ukweli mwingi mkubwa—mfano, existence ya atoms, waves, dark matter,,kabla hata ya kuviona moja kwa moja.

Kwa hiyo, Mungu si fumbo la kufunga akili, bali ni changamoto ya kufungua akili zaidi. Si lazima umwone kwa macho, lakini unaweza kuona athari zake kwenye uhai, sheria za maumbile, dhamira ya ndani, na kiu ya maana kwenye maisha.

"The absence of physical proof is not proof of absence. It is simply a call to deeper i
nquiry."

Njoo na hoja zenye uzito basi mkuu , maana unaandika maelezo marefu yasiyokuwa na mantiki kabisa. Fuatilia hoja anazotoa Kiranga, then jifunze namna ya kuhoji mkuu.
 
Haki nayozungumzia mie ni ya kwamba tunda kala hawa na adam...adhabu ya kifo napata mie mzabzab hapo inakuwaje sasa?
Nani alikwambia kifo ni adhabu ? Ndio maana naona kuta tatizo kubwa sana la watu kutokujua maana ya maneno.
Haya wanasema ukifa na ulikuwa mpenda mbususu kama mzabza hapa....nitachomwa moto wa milele. Yaani mie mbuususu nimeanza kula nina mia 25. Sasa nina miaka 46 na 2027 nakufa. Yaani kula mbususu miaka 25 ndio nichomwe milele jamani na hapo sio kwamba nilikuwa nala mbususu every day

Sahihi kabisa sababu uzinzi ni uchafu hii haihitaji akili kubwa kulijua hilo. Ukiona jambo ovu unaweza kulifanya basi ujue na uwezo wa kutolifanya unao.
 
Nitajie mfano wa jambo ambalo lipo ila halifikiriki?

Kisha niambie ni maarifa gani hayo utayoyatumia kulithibitisha ikiwa halifikiriki.
Mfano wa jambo ambalo lipo ila halifikiriki ni "infinity" ( yaani uwezo wa kutokumalizika au kutokuwa na mwisho.)

Hauwezi kufikiria kikamilifu ukubwa wa infinity, kwa sababu akili ya binadamu ina mipaka (limited cognition). Unaweza kuzungumza au kuandika neno infinity lakini hauwezi kuvisualize au kuimagine kabisa kitu kisicho na mwisho.

Maarifa ya kuthibitisha hili.

Mathematical reasoning: unaweza kutumia math concepts kama limits au sequences kuonesha kuwa kuna thamani zinaenda infinity.

Epistemology (theory of knowledge)..Hii inakufundisha kwamba kuna mambo unayoyajua kwa kutumia symbols, logic na inference, si kwa kutumia imagination au direct experience.

Kwahiyo, ingawa infinity exists as a concept, haifikiriki kikamilifu na akili ya kawaida ya binadamu,, bali unaitambua kupitia maarifa ya kihisabati na kifalsafa.
 
Saying "God must be touchable, seeable or audible to be real is like saying love, consciousness or logic aren’t real because you can’t touch them."

Mungu si lazima awe kitu kinachoshikika au kuonekana ili awe halisi. Hata vitu kama mawazo, namba, au maadili havionekani—lakini vinaathiri maisha yetu kila siku. Consciousness itself – your ability to even ask “what is God?” – is not visible, but it’s real.

Pia, hoja kwamba tusiamini chochote kisichothibitishwa kwa njia ya kawaida ya binadamu ni kujifunga kwenye kikomo cha fahamu zetu, wakati historia inaonyesha binadamu wamegundua ukweli mwingi mkubwa—mfano, existence ya atoms, waves, dark matter,,kabla hata ya kuviona moja kwa moja.

Kwa hiyo, Mungu si fumbo la kufunga akili, bali ni changamoto ya kufungua akili zaidi. Si lazima umwone kwa macho, lakini unaweza kuona athari zake kwenye uhai, sheria za maumbile, dhamira ya ndani, na kiu ya maana kwenye maisha.

"The absence of physical proof is not proof of absence. It is simply a call to deeper i
nquiry."

Njoo na hoja zenye uzito basi mkuu , maana unaandika maelezo marefu yasiyokuwa na mantiki kabisa. Fuatilia hoja anazotoa Kiranga, then jifunze namna ya kuhoji mkuu.

🧠 Kama huwezi kueleza Mungu pasipo imani, una tofauti gani na mtu anayebwabwaja majini pasipo ushahidi?

Unasema Mungu yupo, lakini huwezi kumweleza pasipo hisia wala mafundisho? Sawa tu kama mtu asemapo ‘nimerogwa’ bila ushahidi wowote. Tofauti yenu ni lugha tu.”

Kama Mungu wako anategemea imani yako ili awepo, je haimaanishi kwamba huyo mungu yupo kichwani kwako tu, si kwenye uhalisia?

Kitu ambacho hakiwezi kufalsafishwa, kuchunguzwa, wala kueleweka—kina tofauti gani na kitu kisichokuwepo?

Tafadhali eleza tofauti kati ya "Mungu" usiyemwelewa na kitu kisichokuwepo. Kama huwezi kufafanua tofauti yao, mbona unasema yupo?

Mimi nikisema kuna "kiumbe asiyeonekana, asiyeeleweka, lakini yupo", nitasemwa nina matatizo ya akili - Lakini ukisema Mungu yupo hivyo hivyo, unaonekana mtu wa kiroho? Dunia hii kweli ina vituko 😂

Kama kila jambo lina tafsiri ya msingi (consciousness, logic, gravity), kwa nini "Mungu" ni neno pekee linalokwepa kufafanuliwa?

Tunaweza kufafanua uzito (gravity) kwa mantiki, akili (consciousness) kwa falsafa, lakini ukija kwa Mungu—ghafla tunarudi kwenye "haelezeki". Kwa nini? Au kwa sababu hamjui cha kueleza?”

Mungu ni kama neno ambalo linatumika kufunika pengo la kutokuelewa. Ni kama plasta ya akili dhaifu.

Kama huwezi kueleza “Mungu” kwa njia isiyoegemea dini, maandiko, au imani—ni dhahiri Mungu wako si wa wote, bali ni wa kabila la akili zako.

Si dhahiri kwamba kila mtu ana Mungu wake kwa sababu kila mtu ana tafsiri yake isiyoeleweka? Huo ni ushahidi wa kutoeleweka, si wa ukweli.

Kiranga unayemtaja bado huwezi kujibu hoja zake, unaandika Insha zisizo na majibu - unazunguka zunguka tu.

Kwanza kiranga mwenyewe anasema Mungu hayupo, lakini hawezi eleza Mungu ni nini? na hawezi kuthibitisha kutokuwepo kwake.

Unakataaje kitu usichokijua? Si bora ukiri hujui kuliko kushambulia hewa.

Kumtaja Kiranga hiyo ni straw man + category error, si hoja.
 
Mfano wa jambo ambalo lipo ila halifikiriki ni "infinity" ( yaani uwezo wa kutokumalizika au kutokuwa na mwisho.)

Hauwezi kufikiria kikamilifu ukubwa wa infinity, kwa sababu akili ya binadamu ina mipaka (limited cognition). Unaweza kuzungumza au kuandika neno infinity lakini hauwezi kuvisualize au kuimagine kabisa kitu kisicho na mwisho.

Maarifa ya kuthibitisha hili.

Mathematical reasoning: unaweza kutumia math concepts kama limits au sequences kuonesha kuwa kuna thamani zinaenda infinity.

Epistemology (theory of knowledge)..Hii inakufundisha kwamba kuna mambo unayoyajua kwa kutumia symbols, logic na inference, si kwa kutumia imagination au direct experience.

Kwahiyo, ingawa infinity exists as a concept, haifikiriki kikamilifu na akili ya kawaida ya binadamu,, bali unaitambua kupitia maarifa ya kihisabati na kifalsafa.
Jibu ni simple na rahisi sana "hatuwezi kufikiri kuhusu Infinity kwasababu hatujui na hatuwezi kujua,. -Ulimwengu tumeukuta na tumejikuta tu tumo ndani hivyo hatuwezi jua kamwe chanzo chetu haswa ni nini bali tunaweza kuyaelezea yaliyomo ndani".

Hii ni vicious puzzle mzee - Yaani ni sawa ufungwe macho na kitambaa uingizwe pahala halafu wakutoe kitambaa wakuulize hapa ni wapi. 😂
 
Unasema fine tuning si ushahidi madhubuti ila unaukubali kwa sababu inakupa jibu unalolitaka la Mungu kuwapo, lakini hukubali random chance au multiverse ambazo pia hazina ushahidi madhubuti, kwa sababu hazikupi jibu unalolitaka la Mungu kuwapo?

Huoni kuwa hapo unafanya selection bias ya kuchagua nadharia isiyo na ushahidi madhubuti inayokubaliana na jibu unalolitaka na kuikataa nadharia isiyo na ushahidi madhubuti isiyokubaliana na jibu unalolitaka?
Notorious_ Marcc ni mzee wa kufosi huyo.

Anataka kufosi imani zake za vitabuni.
 
🧠 Kama huwezi kueleza Mungu pasipo imani, una tofauti gani na mtu anayebwabwaja majini pasipo ushahidi?

Unasema Mungu yupo, lakini huwezi kumweleza pasipo hisia wala mafundisho? Sawa tu kama mtu asemapo ‘nimerogwa’ bila ushahidi wowote. Tofauti yenu ni lugha tu.”

Kama Mungu wako anategemea imani yako ili awepo, je haimaanishi kwamba huyo mungu yupo kichwani kwako tu, si kwenye uhalisia?

Kitu ambacho hakiwezi kufalsafishwa, kuchunguzwa, wala kueleweka—kina tofauti gani na kitu kisichokuwepo?

Tafadhali eleza tofauti kati ya "Mungu" usiyemwelewa na kitu kisichokuwepo. Kama huwezi kufafanua tofauti yao, mbona unasema yupo?

Mimi nikisema kuna "kiumbe asiyeonekana, asiyeeleweka, lakini yupo", nitasemwa nina matatizo ya akili - Lakini ukisema Mungu yupo hivyo hivyo, unaonekana mtu wa kiroho? Dunia hii kweli ina vituko 😂

Kama kila jambo lina tafsiri ya msingi (consciousness, logic, gravity), kwa nini "Mungu" ni neno pekee linalokwepa kufafanuliwa?

Tunaweza kufafanua uzito (gravity) kwa mantiki, akili (consciousness) kwa falsafa, lakini ukija kwa Mungu—ghafla tunarudi kwenye "haelezeki". Kwa nini? Au kwa sababu hamjui cha kueleza?”

Mungu ni kama neno ambalo linatumika kufunika pengo la kutokuelewa. Ni kama plasta ya akili dhaifu.

Kama huwezi kueleza “Mungu” kwa njia isiyoegemea dini, maandiko, au imani—ni dhahiri Mungu wako si wa wote, bali ni wa kabila la akili zako.

Si dhahiri kwamba kila mtu ana Mungu wake kwa sababu kila mtu ana tafsiri yake isiyoeleweka? Huo ni ushahidi wa kutoeleweka, si wa ukweli.

Kiranga unayemtaja bado huwezi kujibu hoja zake, unaandika Insha zisizo na majibu - unazunguka zunguka tu.

Kwanza kiranga mwenyewe anasema Mungu hayupo, lakini hawezi eleza Mungu ni nini? na hawezi kuthibitisha kutokuwepo kwake.

Unakataaje kitu usichokijua? Si bora ukiri hujui kuliko kushambulia hewa.

Kumtaja Kiranga hiyo ni straw man + category error, si hoja.
Huyo "Notorious_Marcc" anacho jaribu kufanya ni kufosi imani zake za uwepo wa Mungu bila uhakika, ushahidi wala uthibitisho.
 
Wewe unadai “Kama siwezi kumuelezea Mungu pasipo imani basi yuko kichwani tu.” kwa hiyo kwa vile huwezi kuelezea ladha ya pilipili kwa mtu aliyekula sukari maisha yake yote, basi pilipili haipo? Logic ya aina gani hiyo??? Unapumbazwa na kutafuta majibu AI, kwa sababu uwezo wa kujenga hoja wewe kama wewe huna.

Unataka Mungu afafanuliwe kama gravity? gravity haijawahi kuonekana, lakini inaheshimiwa. Mungu naye hajawahi kuonekana, lakini anaogopwa ,,,hiyo nayo ni achievement, usipoelewa shauri yako. Wewe unadai consciousness inaweza kutafsiriwa?

Unaposema “Mungu yupo tu kwa sababu tuna mapungufu ya kuelewa,” ni kama kusema “sanaa haipo kwa sababu si hesabu.” Siyo kila kitu kinawekwa kwa mfumo wa matrix, sometimes ni mystery ya maisha,,na si kila mystery inahitaji mister fix-it kama wewe kuijibu.

Na kusema kila mtu ana tafsiri yake ya Mungu ndo uthibitisho kuwa hayupo? Yaani ukikuta watu wana tafsiri tofauti za mapenzi, basi mapenzi hayapo? Wewe logic yako ni ya kijinga sana.

Kusema kwamba “kama siwezi kueleza Mungu pasipo maandiko basi si wa wote” Hata quantum physics watu wanashindwa kuielezea bila equation, lakini hujasema haipo,,acha hiyo tabia ya kutaka kila kitu kiwe McDonald’s.

So kabla hujamkataa Mungu kwa kigezo cha kutokuelewa,, jua hata akili yako huioni lakini unaamini ipo,,

We sema ukweli tu,,umepigwa na existence existential slap, ukajikuta unasema “Mungu ni plasta ya akili dhaifu.” Lakini wewe mwenyewe umeshindwa hata kufunga kidonda cha ubishi wako. Kama hoja zako ni sword, basi ni plastic toy,,,,nzuri kwa drama, lakini si kwa vita.

Upgrade your arguments.
 
Jibu ni simple na rahisi sana "hatuwezi kufikiri kuhusu Infinity kwasababu hatujui na hatuwezi kujua,. -Ulimwengu tumeukuta na tumejikuta tu tumo ndani hivyo hatuwezi jua kamwe chanzo chetu haswa ni nini bali tunaweza kuyaelezea yaliyomo ndani".

Hii ni vicious puzzle mzee - Yaani ni sawa ufungwe macho na kitambaa uingizwe pahala halafu wakutoe kitambaa wakuulize hapa ni wapi. 😂
Huelewi hata ni swali la namna gani ulikuwa umeuliza, jaribu kushirikisha akili yako binafsi ,, acha kusaidiwa na AI kujibu maswali yanayohitaji ufafanuzi mzuri kama haya.

UNAJIABISHA.
 
Si selection bias, ni epistemic preference based on explanatory power. Fine-tuning inatoa coherent explanation ya why constants of nature are so precisely set — unlike random chance or multiverse ambazo either hazielezeki (random) au hazithibitishiki (multiverse).

Sikubali fine-tuning kwa sababu nataka Mungu awepo, bali kwa sababu ina seems more intellectually satisfying kuliko alternatives ambazo hazina predictive power wala testability. Mungu kama cause ya fine-tuning at least ana philosophical grounding (e.g., necessary being, intentionality) — si tu speculation ya “maybe kuna trillion universes.
Nimekuuliza unathibitishaje finetuning inatokana na Mungu na haitokani na kitu kingine chochote, hujajibu.
 
🧠 Kama huwezi kueleza Mungu pasipo imani, una tofauti gani na mtu anayebwabwaja majini pasipo ushahidi?

Unasema Mungu yupo, lakini huwezi kumweleza pasipo hisia wala mafundisho? Sawa tu kama mtu asemapo ‘nimerogwa’ bila ushahidi wowote. Tofauti yenu ni lugha tu.”

Kama Mungu wako anategemea imani yako ili awepo, je haimaanishi kwamba huyo mungu yupo kichwani kwako tu, si kwenye uhalisia?

Kitu ambacho hakiwezi kufalsafishwa, kuchunguzwa, wala kueleweka—kina tofauti gani na kitu kisichokuwepo?

Tafadhali eleza tofauti kati ya "Mungu" usiyemwelewa na kitu kisichokuwepo. Kama huwezi kufafanua tofauti yao, mbona unasema yupo?

Mimi nikisema kuna "kiumbe asiyeonekana, asiyeeleweka, lakini yupo", nitasemwa nina matatizo ya akili - Lakini ukisema Mungu yupo hivyo hivyo, unaonekana mtu wa kiroho? Dunia hii kweli ina vituko 😂

Kama kila jambo lina tafsiri ya msingi (consciousness, logic, gravity), kwa nini "Mungu" ni neno pekee linalokwepa kufafanuliwa?

Tunaweza kufafanua uzito (gravity) kwa mantiki, akili (consciousness) kwa falsafa, lakini ukija kwa Mungu—ghafla tunarudi kwenye "haelezeki". Kwa nini? Au kwa sababu hamjui cha kueleza?”

Mungu ni kama neno ambalo linatumika kufunika pengo la kutokuelewa. Ni kama plasta ya akili dhaifu.

Kama huwezi kueleza “Mungu” kwa njia isiyoegemea dini, maandiko, au imani—ni dhahiri Mungu wako si wa wote, bali ni wa kabila la akili zako.

Si dhahiri kwamba kila mtu ana Mungu wake kwa sababu kila mtu ana tafsiri yake isiyoeleweka? Huo ni ushahidi wa kutoeleweka, si wa ukweli.

Kiranga unayemtaja bado huwezi kujibu hoja zake, unaandika Insha zisizo na majibu - unazunguka zunguka tu.

Kwanza kiranga mwenyewe anasema Mungu hayupo, lakini hawezi eleza Mungu ni nini? na hawezi kuthibitisha kutokuwepo kwake.

Unakataaje kitu usichokijua? Si bora ukiri hujui kuliko kushambulia hewa.

Kumtaja Kiranga hiyo ni straw man + category error, si hoja.
Nimeeleza Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Nimetoa sababu za kimantiki kama the problem of evil/Epicurean paradox kuonesha hilo.

Hujasoma nilivyomtaja kwa sifa hizo?

Hujaelewa kumtaja kwa sifa hizo ni kueleza Mungu ni nini?

Unajua kusoma kwa ufahamu?
 
Notorious_ Marcc ni mzee wa kufosi huyo.

Anataka kufosi imani zake za vitabuni.
Huyo jamaa haelewi kuwa argument ya finetuning ultimately ni argument against the existence of God.

If organized complexity must be fine tuned, and the fine tuner is God, then that God is also organized complexity of a higher order, and, if you are to avoid a special pleading ligical fallacy, that God will need a finetuner.

In such a world, God will need to be created by another God, and that other God will need to be created by another God. If you exempt God from this need, that is a special pleading logical fallacy.

Any God will need another God to fine tune him. Ad infinitum, ad nauseam.

Katika ulimwengu huo, hamna Mungu hapo.

Ila sijui kama Notorious_Marcc ana uwezo wa kuelewa hii hoja.
 
Nani alikwambia kifo ni adhabu ? Ndio maana naona kuta tatizo kubwa sana la watu kutokujua maana ya maneno.

Sahihi kabisa sababu uzinzi ni uchafu hii haihitaji akili kubwa kulijua hilo. Ukiona jambo ovu unaweza kulifanya basi ujue na uwezo wa kutolifanya unao.
Kifo ni adhabu kulingana na smulizi ya bwana adam na hawa....ukila tunda hakika utakufa
 
Huelewi hata ni swali la namna gani ulikuwa umeuliza, jaribu kushirikisha akili yako binafsi ,, acha kusaidiwa na AI kujibu maswali yanayohitaji ufafanuzi mzuri kama haya.

UNAJIABISHA.
Sina muda wa kutosha kujibu hoja kama hii kwasababu toka tunaanza mjadala ni mimi ndiye ninayekuuliza maswali wewe, wewe hujaniuliza mimi swali linalotaka ufafanuzi sababu mimi nilishakili sijui.

Lakini kwenye hii hoja unasema mimi nakwepa maswali - hili ni ajabu la dunia.

Katafute kitabu kinaitwa "The Ego and the mechanisms of defense".

Kuna chapter inaelezea Types of defensive mechanisms.

Kuna matured Defensive Mechanisms and prematured Defensive Mechanisms.

Wewe base kwenye zile categories za Prematured defensive mechanisms kuna kitu kinaitwa "Projection" kitajibu hii hoja yako.

Kitu unachokifanya wewe unakiproject kwangu ili kujituliza kihisia.
 
Huyo jamaa haelewi kuwa argument ya finetuning ultimately ni argument against the existence of God.

If organized complexity must be fine tuned, and the fine tuner is God, then that God is also organized complexity of a higher order, and, if you are to avoid a special pleading ligical fallacy, that God will need a finetuner.

In such a world, God will need to be created by another God, and that other God will need to be created by another God. If you exempt God from this need, that is a special pleading logical fallacy.

Any God will need another God to fine tune him. Ad infinitum, ad nauseam.

Katika ulimwengu huo, hamna Mungu hapo.

Ila sijui kama Notorious_Marcc ana uwezo wa kuelewa hii hoja.
Hoja yako bado ina kosa kimantiki Mkuu, Unaposema Mungu ni organized complexity, unakuwa unamlinganisha na viumbe au vitu vilivyomo ndani ya ulimwengu huu ambavyo vina sehemu nyingi na vinategemea mfumo fulani wa fizikia au muundo. Lakini katika theolojia ya kidini (na hata falsafa ya kale), Mungu haelezewi kama kiumbe kilicho complex kwa namna hiyo. Badala yake:

Inaeleza kuwa God is a necessary, non-contingent, immaterial, timeless, and simple being.

Kusema Mungu ana complexity ya juu ni kumpachika sifa za viumbe wengine, jambo ambalo ni kosa la msingi. Mungu si kitu kilicho ndani ya mfumo wa ulimwengu wa viumbe ili apimwe kwa njia hiyo.

Katika falsafa ya cosmological argument (hasa ya Aquinas au Leibniz), inasemwa kuwa kila kitu kilicho na mwanzo au kinachotegemea kitu kingine kwa uwepo wake, lazima kiwe na kisababishi. Lakini huu mnyororo hauwezi kwenda hadi ad infinitum (milele bila mwisho). Kwa nini?

An infinite regress of contingent causes is logically incoherent.

Hapo ndipo hoja ya Mungu kama Necessary Being huingia. Yeye ndiye ambaye hakuumbwa, hategemei kitu chochote kingine, na yeye mwenyewe ndiye chanzo cha kila kilicho na mwanzo. Hii si kusema God is an effect needing a cause,,,hapan,,bali God is the uncaused cause.

Fine-Tuning Haimaanishi Complexity ya Mungu.

Watu wengi wanakosea hapa. Hoja ya fine-tuning haimaanishi kwamba "Mungu lazima awe complex zaidi." Fine-tuning inaonyesha kuwa mazingira ya ulimwengu yamewekwa kwa usahihi wa hali ya juu ili maisha yaweze kuwepo. Swali linalofuata ni

Je, huu usahihi umetokea kwa bahati? Kwa sheria ya asili? Au kwa mpangilio wa akili?

Mwenendo wa kimantiki huelekea kusema/hueleza kwamba usahihi mkubwa unaonyesha uwepo wa akili nyuma yake, na si lazima hiyo akili iwe “complex” kwa maana ya kisayansi.

Ad Infinitum haimuondoi Mungu – Inamuhitaji Mungu:

Kusema kwamba ikiwa Mungu aliumbwa na Mungu mwingine, basi hiyo inaondoa uwezekano wa Mungu kuwepo. Lakini kinyume chake ni sahihi. Kama mnyororo wa miungu hauwezi kuisha, basi lazima kuwe na wa mwisho na wa kwanza ambaye hajaumbwa – ndiye tunayemwita Mungu wa kweli. Kwa hiyo:

Ad infinitum si hoja dhidi ya Mungu, bali ni hoja ya kuthibitisha kuwa lazima kuwepo na chanzo kisicho cha asili, ambacho hakitegemei kitu kingine.

Hoja ya kwamba Mungu naye ni organized complexity inayohitaji kuumbwa, inakuwa siyo sahihi kwa kumwelewa Mungu kwa vigezo vya viumbe. Mungu si sehemu ya ulimwengu huu. Yeye ni Chanzo cha Sababu zote – asiye na mwanzo, asiye na sehemu, na asiye na hitaji la kufine-tuniwa.

Kwa hivyo, hoja ya fine-tuning haimzuii Mungu kuwepo, bali inamuhitaji Mungu ambaye ni wa lazima, wa milele, na mwenye akili kuu ,,si mfuatano wa miungu bila mwisho.
 
Maisha ni shobo zako mwenyewe ,kiufupi maisha ni biashara ya upatu tena pyramid schemes au ponzi scheme ..Mtu anazaa ili wengine wanaendelea kuzaani huko chini kama wajinga bila hata kufirikia yule anayemzaa atakumbana na mitihani ila mwisho wa siku atakufa tu haina ubishi.

Kiufupi dunia kote hata kwa wanyama ni matatizo ,kuna jamii kama nyumbu kazi yao kuliwa ila bado wanazaa tena wako wengi zaidi hapa utajua hata binadamu ni wajinga ...Bado maisha ni magumu ila bado wanazaana kama wathenge.

Kiufupi Maisha yapo kwa sababu umeyapa maana ila maisha ni mateso na ujinga ,na aliyeleta huu mfumo wa maisha haya ya sasa ni Mthenge mkubwa kabisa ..
Watu huzaa ili kupata ufahali kiwa ana mtoto,au kuna mtu anamfanana-kuna ka feeling fulani hivi u akipata cha raha but kwa wanyama nadhani ni nature tu.
But ukweli ni kuwa maisha hayana maana,siku moja niliwaza unazaa mtoto anakuja kuhangaika na maisha either atazailiwa katika utajiri au umasikini but the end atakufa.
 
Nimekuuliza unathibitishaje finetuning inatokana na Mungu na haitokani na kitu kingine chochote, hujajibu.
Siwezi kuthibitisha 100% kuwa finetuning (kama kipawa, akili, au maarifa fulani) ni kutoka kwa Mungu kwa njia ya kisayansi. But you can see signs (ishara) through purpose, fruit, and alignment with truth.

Huwezi kupima finetuning kwa vifaa, but you can discern (tambua) through its fruits, purpose, and spiritual peace.
“Mungu si wa machafuko bali wa amani” – 1 Wakorintho 14:33.
 
Nimeeleza Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Sio huyo tu - hata akitajwa mwingine hawezi hata kuelezewa kimantiki na kilojiki.
Nimetoa sababu za kimantiki kama the problem of evil/Epicurean paradox kuonesha hilo.
Hii ni njia maarufu inayoeleweka hasa unapojadili na mtu anayejaribu kuthibitisha uwepo wa Mungu kulingana na mafundisho ya dini.
Hujasoma nilivyomtaja kwa sifa hizo?
Nimesoma na inaeleweka.
Hujaelewa kumtaja kwa sifa hizo ni kueleza Mungu ni nini?
Ndiyo, kumtaja Mungu kwa sifa hizo ni njia ya kueleza dhana ya Mungu kama inavyoeleweka katika dini nyingi.

Lakini si kuthibitisha Mungu yupo ni kusema "Ikiwa yupo, basi anaelezewa kuwa na sifa hizi".

Kwa hiyo, hoja yangu inapinga uwezekano wowote wa kiumbe wa namna hiyo — Mungu wa sifa hizo wala mungu mwingine yeyote si wa kuthibitika kihoja wala hawezi kuelezeka kama yupo au hayupo.

Ni kama vile aina fulani tu ya vita ya kifikra kati ya wanaodai yupo na wanaodai hayupo bila pande zote kujua wanakijadili nini?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Nadhani hapa unatambua kabisa kwamba hii ni Ad hominem logical fallacy.
 
Hoja yako bado ina kosa kimantiki Mkuu, Unaposema Mungu ni organized complexity, unakuwa unamlinganisha na viumbe au vitu vilivyomo ndani ya ulimwengu huu ambavyo vina sehemu nyingi na vinategemea mfumo fulani wa fizikia au muundo. Lakini katika theolojia ya kidini (na hata falsafa ya kale), Mungu haelezewi kama kiumbe kilicho complex kwa namna hiyo. Badala yake:

Inaeleza kuwa God is a necessary, non-contingent, immaterial, timeless, and simple being.

Kusema Mungu ana complexity ya juu ni kumpachika sifa za viumbe wengine, jambo ambalo ni kosa la msingi. Mungu si kitu kilicho ndani ya mfumo wa ulimwengu wa viumbe ili apimwe kwa njia hiyo.

Katika falsafa ya cosmological argument (hasa ya Aquinas au Leibniz), inasemwa kuwa kila kitu kilicho na mwanzo au kinachotegemea kitu kingine kwa uwepo wake, lazima kiwe na kisababishi. Lakini huu mnyororo hauwezi kwenda hadi ad infinitum (milele bila mwisho). Kwa nini?

An infinite regress of contingent causes is logically incoherent.

Hapo ndipo hoja ya Mungu kama Necessary Being huingia. Yeye ndiye ambaye hakuumbwa, hategemei kitu chochote kingine, na yeye mwenyewe ndiye chanzo cha kila kilicho na mwanzo. Hii si kusema God is an effect needing a cause,,,hapan,,bali God is the uncaused cause.

Fine-Tuning Haimaanishi Complexity ya Mungu.

Watu wengi wanakosea hapa. Hoja ya fine-tuning haimaanishi kwamba "Mungu lazima awe complex zaidi." Fine-tuning inaonyesha kuwa mazingira ya ulimwengu yamewekwa kwa usahihi wa hali ya juu ili maisha yaweze kuwepo. Swali linalofuata ni

Je, huu usahihi umetokea kwa bahati? Kwa sheria ya asili? Au kwa mpangilio wa akili?

Mwenendo wa kimantiki huelekea kusema/hueleza kwamba usahihi mkubwa unaonyesha uwepo wa akili nyuma yake, na si lazima hiyo akili iwe “complex” kwa maana ya kisayansi.

Ad Infinitum haimuondoi Mungu – Inamuhitaji Mungu:

Kusema kwamba ikiwa Mungu aliumbwa na Mungu mwingine, basi hiyo inaondoa uwezekano wa Mungu kuwepo. Lakini kinyume chake ni sahihi. Kama mnyororo wa miungu hauwezi kuisha, basi lazima kuwe na wa mwisho na wa kwanza ambaye hajaumbwa – ndiye tunayemwita Mungu wa kweli. Kwa hiyo:

Ad infinitum si hoja dhidi ya Mungu, bali ni hoja ya kuthibitisha kuwa lazima kuwepo na chanzo kisicho cha asili, ambacho hakitegemei kitu kingine.

Hoja ya kwamba Mungu naye ni organized complexity inayohitaji kuumbwa, inakuwa siyo sahihi kwa kumwelewa Mungu kwa vigezo vya viumbe. Mungu si sehemu ya ulimwengu huu. Yeye ni Chanzo cha Sababu zote – asiye na mwanzo, asiye na sehemu, na asiye na hitaji la kufine-tuniwa.

Kwa hivyo, hoja ya fine-tuning haimzuii Mungu kuwepo, bali inamuhitaji Mungu ambaye ni wa lazima, wa milele, na mwenye akili kuu ,,si mfuatano wa miungu bila mwisho.
I anticipated and wrote about this special pleading logical fallacy, but you did not understand.
 
Back
Top Bottom