Conscience ni dhamiri ya ndani (hisia ya kutambua mema na mabaya hata bila kufundishwa). Inaonyesha kwamba kuna moral law (sheria ya maadili) ambayo haikutungwa na binadamu bali imewekwa ndani yetu. Hii ni dalili kwamba kuna Mtoa hiyo sheria—Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote, na upendo wote.
Lakini kwa nini Mungu huyo haruhusu mabaya?
Kwa sababu ya free will (uhuru wa kuchagua). Mungu hakutaka kutuumba kama robots. Alitupa uhuru wa kuchagua mema au mabaya,,na huo uhuru ndio unafanya upendo na wema kuwa wa kweli. Bila uhuru, hakuna upendo wa kweli.
Kwa nini hakutengeneza ulimwengu usio na mabaya?
Anaweza,,lakini ulimwengu huo ungekuwa na viumbe wasio na hiari. Kwahiyo Mungu aliumba ulimwengu ambapo wema wa kweli unaweza kuteseka na kung’ara hata katikati ya mabaya, na kwa njia hiyo, anaonyesha upendo wake mkuu.
Conscience proves a moral law exists—implying a Moral Lawgiver (God). Evil exists not because God is powerless, but because He gave us free will. And real love and goodness require freedom—even the freedom to choose wrong.