Kama Mungu hayupo, maisha yana maana gani? Na kama yupo, kwanini Dunia inateseka hivi?

Mungu ni chaka fulani tulijitengenezea watu ili kufichia mambo kibao ambayo hatujui majibu yake, lakini hatutaki kukubali kuwa hatujui majibu yake.

Ndipo hapo habari ,a kifo kuwekwa na Mungu zinapokuja.

Zamani watu waliamini mpaka radi ikipiga ni Mungu kakasirika, lakini sasa tunaweza kuielezea radi bila kuhitaji nadharia ya Mungu.
 
Hujaelewa hoja.

Hujaelewa hoja.

Umeshindwa kufikiria ulimwengu ambao ungewezekana kuwepo, ambao hauna na hauwezekani kuwa na ubaya. Umejikita kwenye ulimwengu uliopo ambao una ubaya.

Unasema kwamba Mungu asingeweza kuumba ulimwengu ambao hauna mabaya na pia una uhuru. Mpaka hapo huyo si Mungu muweza yote. Umeprove point yangu.

Ni kama vile unasema Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote asingeweza kuumba ulimwengu perfect usiokuwa na usioweza kuwa na mabaya.

This cobtradicts the concept of an all knowing, all loving and all capabke God.

Exactly my point.

Though I doubt you will understand.
 
Hoja yako ina tatizo la “theodicy”
yaani jinsi ya kupatanisha uwepo wa Mungu mwenye uwezo wote, upendo wote, na ujuzi wote, na uwepo wa mabaya.

Ni kweli ulimwengu hauna ukamilifu, lakini hilo halimaanishi kuwa Mungu hawezi au hapendi. Mungu aliumba viumbe huru (free will), na uhuru huo ndio unaowezesha upendo wa kweli, lakini pia una uwezekano wa maovu. Ulimwengu perfect usio na uwezekano wa mabaya ungekuwa na viumbe wasio na uhuru kama mashine, na si binadamu.

A world without the possibility of evil is a world without true love, virtue, or moral choice ,, it would be a world of programmed beings, not free persons.

Kwahiyo, uwepo wa mabaya hauondoi uwezo wa Mungu bali unaonyesha ukubwa wa uhuru alioutoa. Kama Mungu angeondoa uwezekano wa maovu, basi angeondoa uhuru wa kweli , na huo usingekuwa upendo wa kweli.

Uchaguzi wa maadili unahitaji uwezekano wa mabaya. Bila mabaya, hakuna wema wa kweli. Maadili yanakuwepo tu pale ambapo kuna uchaguzi kati ya jema na baya.

Ulimwengu wa masharti (contingent world) si sawa na Ulimwengu wa Mungu (necessary being) Mungu yupo kwa asili yake kama mkamilifu, lakini ulimwengu hauwezi kuwa mkamilifu kama Mungu bila kuwa na Mungu ,,,hiyo ni contradiction.


Mabaya mengi yanatokana na viumbe, si Mungu..Uwepo wa mabaya hauonyeshi kutokuwepo kwa Mungu, bali unathibitisha uwepo wa viumbe huru wenye uwezo wa kufanya mabaya.

Suffering can serve a higher good. Katika mantiki ya Kikristo, mateso yanaweza kuwa na maana ya juu. Pain isn't always pointless.

God didn't create evil ..He created freedom. And freedom makes both love and evil possible. A perfect world with no evil but with free beings is logically incoherent not a limitation on God, but on logical possibility itself.

Huelewi wapi???
 
Kumbe tuna free will , !!!!!

Then nilipaswa kuulizwa kuletwa duniani kabla sijaletwa! Kama ningeulizwa then I would not accept to come into this world .

Hakukuwa na consent yangu prior, unless you define free will kwa muktadha gani ?
 
Kumbe tuna free will , !!!!!

Then nilipaswa kuulizwa kuletwa duniani kabla sijaletwa! Kama ningeulizwa then I would not accept to come into this world .

Hakukuwa na consent yangu prior, unless you define free will kwa muktadha gani ?
Free will haiko kwa pre-life questionnaire ni kwa choices zako za sasa, sio kabla ya existence.

Umeelewa??
 
Hapo sasa!
Ila wanazidi kudai, kheri uamini tupo kuliko ukienda whatever unamkuta!
A catch 22?!
 
Free will haiko kwa pre-life questionnaire ni kwa choices zako za sasa, sio kabla ya existence.

Umeelewa??
Mtoto amezaliwa na kansa kwa sasa , je anayo free will ya kukataa huo gonjwa?

Ninayo free will ya kukataa kunywa maji bila ya kudhurika?
Ninayo free will ya kukataa kufa?
 
Mtoto amezaliwa na kansa kwa sasa , je anayo free will ya kukataa huo gonjwa?

Ninayo free will ya kukataa kunywa maji bila ya kudhurika?
Ninayo free will ya kukataa kufa?
Mtoto mchanga hana uwezo wa kuchagua chochote. Hana ufahamu wa mazingira yake, wala uwezo wa kutoa maamuzi. Hivyo kusema kwamba "hana free will ya kuikataa kansa" ni sawa, lakini si hoja inayopinga uwepo wa free will kwa ujumla. Badala yake, inaonyesha kuwa free will huja kwa kiwango cha utambuzi, ambacho mtoto mchanga hana.

Kwahiyo hoja sahihi si kwamba “free will haipo kwa sababu mtoto hana,” bali free will ni uwezo wa kuchagua ndani ya muktadha wa ufahamu, akili, na mazingira yaliyowekwa.

Unauliza kama unayo free will ya kukataa kunywa maji bila kudhurika?


Ndiyo, unayo free will ya kukataa kunywa maji,, unaweza kuamua kutokunywa maji kwa hiari yako. Lakini huwezi kuamua matokeo ya maamuzi yako. Hii inakuonyesha tofauti kati ya

Free will (uhuru wa kuchagua) Na

Determinism/Consequences (matokeo ya chaguo lako)

Mfano,, unaweza kuchagua kuruka kutoka kwenye jengo la ghorofa 10, lakini huwezi kuchagua kutodondoka chini kwa nguvu ya mvutano.

Free will haimaanishi kwamba unaweza kubadili sheria za maumbile (physics au biology), bali inasema unaweza kuchagua ndani ya mipaka hiyo.

Ni sawa na dereva,, anaweza kuchagua kuendesha kwa kasi ya 200km/h, lakini hawezi kuchagua/kuamua gari lisipate ajali kama atapoteza mwelekeo.

Unauliza kama unayo free will ya kukataa kufa?

Mkuu kifo ni sehemu ya asili ya maisha ya mwanadamu. Huwezi kukataa kufa, lakini unaweza ukachagua.

Namna utakavyoishi kabla ya kufa.

Namna utakavyokabiliana na hofu ya kifo.

Namna utakavyotumia muda wako duniani.


Kwahiyo,, free will haimaanishi kuwa wewe ni Mungu unayeweza kufuta maumbile ya dunia au uhalisia wa mwili. Bali ni kuwa.

Unao uhuru wa kuamua namna ya kuishi katika uhalisia huo.

Kupinga hoja ya “Free Will haipo,, hapo unakuwa unachanganya mambo mawili.

- Free will (uhuru wa kuchagua)

- Uwezo wa kubadili matokeo ya sheria za kimaumbile

Free will haimaanishi kuwa tuna uwezo wa kubadili kila kitu, bali kuwa tunaweza kuchagua namna ya kuishi, kufikiri, na kuchukua hatua ndani ya mipaka ya maumbile na uhalisia.

Mtoto asiyeweza kuchagua si hoja ya kutupilia mbali free will, bali ni ushahidi kuwa free will hukua kadri mtu anavyopata ufahamu. Na kukosa uwezo wa kubadili kifo au kiu si ukosefu wa free will, bali ni ukumbusho kuwa free will iko ndani ya mfumo ulio na mipaka, na si uungu wa kubadili kila kitu.

Kwahiyo,, hatuna free will ya kuchagua mazingira yote ya maisha (kama kuzaliwa na kansa)

Lakini tuna free will ya kuchagua jinsi ya kuishi, kufikiri, na kutenda ndani ya hayo mazingira.

Hatuna mamlaka juu ya kila kitu, lakini tuna uwezo wa kuchagua jinsi ya kuishi na hiyo ndiyo nguvu ya kweli ya free will.
 
Kwa maelezo haya nimeamini huyo Mungu ni punguani😂😅😅.
 
Umeandika "A world without the possibility of evil is a world without true love, virtue, or moral choice ,, it would be a world of programmed beings, not free persons."

Mnasema Mungu hapo mwanzo ndiye kaumba kila kitu. Kinachowezekana yeye ndiye kafanya kiwezekane, kisichowezekana yeye ndiye kafanya kisiwezekane. Yeye ndiye kaweka misingi ya kila kitu.

Angeamua kuumba ulimwengu ambao hauna rangi nyekundu, usingejua rangi nyekundu haipo, kwa sababu usingeweza hata kuifikiria rangi nyekundu.

Vivyo hivyo evil. Kungekuwa hakuna uwezo wa kuchagua mabaya usingeyajua mabaya, ungekuwa na uhuru wa kuchagua lakini ungechagua mazuri tu, mabaya yasingekuwapo.

Tatizo you are stuck on the existing universe and you fail to imagine what would be possible.

Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote alishindwa kuumba a world without the possibility of evil, that also can have true love, virtue and moral choice? A world that is not of programmed beings, a world of free persons?
 
Biblia inasema "Ni Wajinga tu ndiyo husema hakuna Mungu"
This logical fallacy is called argument from authority.

Biblia ina ujinga na uongo mwingi sana nikikuwekea uunyooshe hapa hutaweza kumaliza.

Bisha nikuwekee.
 
Free will haiko kwa pre-life questionnaire ni kwa choices zako za sasa, sio kabla ya existence.

Umeelewa??
Kama freewill ipo baada ya existence, Je una free will ya kurudi mwaka 1980?

Je una freewill ya kuchagua kuishi mpaka mwaka 3000?
 
Ndiyo Mungu angeweza kuumba ulimwengu usio na maovu , lakini huo ungekuwa ulimwengu wa viumbe wasio na moral freedom halisi, wangeweza tu kutenda mema kwa sababu hawana uwezo wa kuchagua baya.

Lakini uhuru wa kweli (free will) hauko katika kuchagua aina tofauti za mazuri tu. Uhalisia wa mapenzi ya kweli na wema wa kweli unakuja pale mtu anapoweza kufanya ubaya lakini akachagua wema. Huo ndio utu wa kimaadili (moral dignity).

Mungu hakutaka kuumba mashine zinazomtii tu, alitaka viumbe huru, wenye uwezo wa kumpenda au kumkataa, kumtii au kumuasi. Na hapo ndipo meaning ya uhusiano halisi ilipo.

The existence of evil is not a failure of God's power, but a consequence of God's gift, free will which makes love and virtue meaningful.

“Ukweli wa mapenzi ya kweli na wema wa kweli unahitaji uwezekano wa kinyume chake.”
Na huo uwezekano si ushahidi wa udhaifu wa Mungu, bali ni uthibitisho wa thamani ya uhuru aliyompa mwanadamu.
 
Mungu hakuweza kuumba ulimwengu usio na maovu ambao watu wana moral freedom halisi?
 
Mungu hakuweza kuumba ulimwengu usio na maovu ambao watu wana moral freedom halisi?
Mungu angeweza, but true moral freedom means watu wawe na ability ya kuchagua even evil. Bila choice, hakuna genuine love or virtue.
 
Mungu angeweza, but true moral freedom means watu wawe na ability ya kuchagua even evil. Bila choice, hakuna genuine love or virtue.
Hiyo labda ni true moral freedom katika ulimwengu ambao una evil tayari.

Katika ulimwengu ambao hauna evil kwa sababu Mungu kauumba ulimwengu huo bila ya uwezo wa kuwa na evil, evil is not an option, haijulikani, haifikiriki.

Sasa kwa nini inaiweka evil kama moral choice katika ulimwengu huo ambao evil hata haipo?
 
Uhuru wa maadili (moral freedom) unahitaji uwepo wa real choice, siyo tu good in isolation.

Kama hakuna uwezekano wa evil, basi watu hawachagui kuwa good, watafuata tu default. So hakuna virtue ya kweli.

Kuchagua mema mbele ya uwezekano wa mabaya ndiyo huonyesha upendo wa kweli, utii wa kweli, na uhuru wa kweli.

Kwa hiyo, kuwepo kwa evil as an option doesn’t make evil desirable, but it makes goodness meaningful.
 
Upo kwenye illusion, free will does not exist , ni aina nyingine ya utapeli. Our life on earth ipo very limited and well controlled. Kuna watu wanazaliwa masikini they work so hard , they do all they can do and they die poor, under our will , no one would choose poverty , would you ?

Umepewa very limited choices ambazo haziwezi kuleta big impact , huwezi kusema una free will wakati hapo ulipo kuna a lot of choices you can’t make even if you want them !

Mzazi ambae mtoto wake ameingia kwenye drug abuse , would like kuZuia hilo…. But hawezi zaid mtamsingizia shetani…. Neno shetan ni limitations ya free will

Nasikia hamu ya ku sex…. Sitak hiyo hali. Ninayo will ya kuzuia matamani ya sex? Yasije kabisa kwenye mwili wangu

Free will ni somo kubwa mno, lisome upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…