Statistically, wanawake wapo wengi kuliko wanaume. Kati ya lundo lote la wanawake, unamchagua mmoja awe mpenzi/mke wako, then unataka kujua what tangible things you will benefit from her? That's absurd. Mpaka unamchagua, it means kuna vitu vya kipekee uliviona kwake. So, ni yeye ndio anafaa kukuuliza uliona nini kwake, walau aone ni namna gani anaweza kuhakikisha anavimaintain au kuviboresha hivyo vitu.
Ili swali lako liwe na mashiko, ili faa uweke tangazo la kutafuta mwanamke, then watakaokuja ndio uwaulize ilo swali, as a part of an interview.