Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

Lengo la ndoa ni watoto.... Hata zamani wazee wetu walikuwa wanaoa ili kupata watoto..... Hata dini zinatambua lengo la ndoa ni watoto, siyo kuepuka kuzini..

Ina maana kama wewe umeoa ili kuepuka kuzini, huyo mwanamke asipokuzalia watoto hautatafuta mwingine wa kukuzalia? Maana lengo lako ni usizini tu kufuatana na matakwa ya dini!!
Usiwaite dhaifu unawakosea, wako sahihi kwa mawazo yao..

binafsi nimeoa sababu ya dini(mola wangu anataka nioe nisizini zini hovyo)
Bila ya hivyo hata mimi nisingeoa pia, ni vike tu mola ninaemuabudu kaagiza nioe, mie siwezi kujifikiria mara 2, 2.
 
Mola wako amekukataza kuiba je Huibi?
Amekukataza kusengenya..
Amekukataza kusema UONGO
Amekukataza kutamani Mali isiyo yako.
Amekuamuru umuombe na kumsujudia kwa Swala 5.
Amekukataza mambo mengi tu nje ya Uzinzi.

Jee umeyafata au umefata kwenye Uzinzi tu ukaona Uoe baas hayo mengine sio shida?

Uzuri Dini imeweka wazi kabisa kitendo cha kumuangalia MWANAMKE maungo yake yakiwa wazi kwa makusudi ni sawasawa UMEZINI nae tuu sasa kwa mantiki hiyo, wewe ni MZINIFU na utabaki kuwa MZINIFU hata ukioa.

KATAA NDOA, NDOA NI WIZI
 
Kama hutaki kuwa-controlled usioe..
Utaulizwa uko wapi,uko na nan?unarudi saa ngapi?mbona hupokei simu ama uko na malaya zako?mbona umechelewa kurudi?kwanini nimekupikia ujala,umekula wapi?
Mbona maswali yote hayo yanamajibu, na akirudia kuuliza kesho yake namwambia a refeer majibu ya jana
 
Hii unajua inamuhusu Hadi mama yako na dada zako,
Usiongee hivyo ilihali una ndugu WA kike waliokuzunguka
Mara nyingi mmekuwa mkijificha kwenye kichaka cha sisi kuwa na ndugu wa kike hiyo sio ishu na sijali
 
  • Thanks
Reactions: apk
Lengo la ndoa ni watoto.... Hata zamani wazee wetu walikuwa wanaoa ili kupata watoto..... Hata dini zinatambua lengo la ndoa ni watoto, siyo kuepuka kuzini..

Ina maana kama wewe umeoa ili kuepuka kuzini, huyo mwanamke asipokuzalia watoto hautatafuta mwingine wa kukuzalia? Maana lengo lako ni usizini tu kufuatana na matakwa ya dini!!
Je watoto hawapatikani kwa uzinzi?
Ukisema lengo la ndoa ni watoto, je ukifanya uzinzi hawapatikani? Kama wanapatikana sasa haina maana.
Na je nikioa nikapata watoto, ruksa kuacha mke nifanye uzinzi, si tayari ndoa ishanioa watoto?

Mie mungu kaniambia niepuke mauzinzi, kanipa fursa nioe mke m1 na kuna option ya kuongeza,mke hazai, sio nimuache,naweza kuoa mwingine.
 
Kama hutaki kuwa-controlled usioe..
Utaulizwa uko wapi,uko na nan?unarudi saa ngapi?mbona hupokei simu ama uko na malaya zako?mbona umechelewa kurudi?kwanini nimekupikia ujala,umekula wapi?
Yeye ukimaliza je analakujibu?
 
Statistically, wanawake wapo wengi kuliko wanaume. Kati ya lundo lote la wanawake, unamchagua mmoja awe mpenzi/mke wako, then unataka kujua what tangible things you will benefit from her? That's absurd. Mpaka unamchagua, it means kuna vitu vya kipekee uliviona kwake. So, ni yeye ndio anafaa kukuuliza uliona nini kwake, walau aone ni namna gani anaweza kuhakikisha anavimaintain au kuviboresha hivyo vitu.

Ili swali lako liwe na mashiko, ili faa uweke tangazo la kutafuta mwanamke, then watakaokuja ndio uwaulize ilo swali, as a part of an interview.
Na pia mwanamke mpaka anakukubali kuna chemistry ilijengeka sawa .....hivo swali Hili mleta mada ameshalenga wanawake wote vitu ganii tangible wanavyopenda

Usikaze kichwa .... hapo tu ana interview akitegemea ushirikiano KWA walengwa
 
Sahihi...

Mtu anataka asipate changamoto kama mfu...
Wafu wenyewe wanga wanakuja kudance juu ya nakabur yao
Vijana wanajidanganya sana..

Hata sabuni wanazotumia zina madhara makubwa...

Punyeto inaua "Masculine Energy" mwanaume unabaki kama li zezeta hivi,...

Mwanaume unakuwa weak internally, unakuwa huna ile domination drive waliyonayo wanaume..
 
Back
Top Bottom