masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Upo sahihi sana.Vijana wanajidanganya sana..
Hata sabuni wanazotumia zina madhara makubwa...
Punyeto inaua "Masculine Energy" mwanaume unabaki kama li zezeta hivi,...
Mwanaume unakuwa weak internally, unakuwa huna ile domination drive waliyonayo wanaume..
Hata kutunza familia ni ngumu na kukiendeleleza kizazi