Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

Kama mwanamke, taja vitu 3 vya kushikika ambavyo mwanaume atafaidika navyo aki-date na wewe

Tangible things reciprocally from a woman??!!

Sidhani kama utapata jibu wala jawabu.

-Kaveli-
 
Vijana wanajidanganya sana..

Hata sabuni wanazotumia zina madhara makubwa...

Punyeto inaua "Masculine Energy" mwanaume unabaki kama li zezeta hivi,...

Mwanaume unakuwa weak internally, unakuwa huna ile domination drive waliyonayo wanaume..
Muongo Muongo Muongo
 
Muongo Muongo Muongo
Kafanye research mkuu...

Punyeto ni janga namba moja kwa maendeleo ya mwanaume...

Vijana acheni nyeto, mnaangamiza taifa...

Taifa linakuwa na vijana weak,inferior wasio na masculine energy...
 
Usilazimishe mambo..
Mola wako amekukataza kuiba je Huibi?
Amekukataza kusengenya..
Amekukataza kusema UONGO
Amekukataza kutamani Mali isiyo yako.
Amekuamuru umuombe na kumsujudia kwa Swala 5.
Amekukataza mambo mengi tu nje ya Uzinzi.

Jee umeyafata au umefata kwenye Uzinzi tu ukaona Uoe baas hayo mengine sio shida?

Uzuri Dini imeweka wazi kabisa kitendo cha kumuangalia MWANAMKE maungo yake yakiwa wazi kwa makusudi ni sawasawa UMEZINI nae tuu sasa kwa mantiki hiyo, wewe ni MZINIFU na utabaki kuwa MZINIFU hata ukioa.

KATAA NDOA, NDOA NI WIZI
Usilazimishe mambo, kama kakataza kuiba, mie nikiiba haifanyi kuiba kuwe sahihi,nimefanya kosa napswa kutubia na malipo yake yanajulikana.

Kusema uongo,Kuiba,kusengenya na kadhalika, nikifanya haimaanishi mimi sio muumini, mimi nitakuwa muumini niliyefanya makosa na ninapaswa kutubia.

Hiyo treni uliyodandia kwa mbele ni jamaa kasema wasiooa ni wanaume dhaifu, ndio nikasema tusiwaite dhaifu wana sababu zao. Binafsi nimeoa sababu ni amri ya mola wangu, la sivyo hata mimi nisingeoa.

So upande niliochagua ni sahihi kwangu na hao wasiotaka ndoa wako sahihi kwa sababu zao.
 
Na pia mwanamke mpaka anakukubali kuna chemistry ilijengeka sawa .....hivo swali Hili mleta mada ameshalenga wanawake wote vitu ganii tangible wanavyopenda

Usikaze kichwa .... hapo tu ana interview akitegemea ushirikiano KWA walengwa
Sio mara zote mwanamke anapokukubali, basi kuna chemistry imejengeka. Huwa wanatusikiliza,, then wakiona vitu kadhaa ambavyo vitawavutia, Wana accept.

Hawaulizi ni vitu gani wewe utawa offer, wanaangalia wenyewe, wanapima then wanafikia conclusion. Na hivyo vitu wanavyoangalia, sio lazima iwe pesa.

So hata wewe kama mwanaume, ndio mwenye jukumu la kuangalia ni vitu gani unataka, na yupi ataweza kukuoffer hivyo vitu, then ndio unamfata. Na sio kwamba umpende mtu, umuelewe, alafu umuulize what she can offer.

Sijui kama tunaelewana mkuu.
 
Tiririkeni sasa tuone mmejipangaje. Siyo kila siku mnawananga wanaume hivi mara wanaume vilee..

Lile chama la "Mwanaume kataa ndoa" njooni hapa mpewe sababu za kutokukataa ndoa..

Wanawake huu ndo uzi wenu ambao ndiyo turufu pekee ya kuligaragaza hili chama la "mwanaume kataa ndoa".

View attachment 2750567
Mwanamke hana cha kukupa (tangible) bali anaboresha utakachompa..

Mpe manii akupe mtoto.
Mpe ushauri akupe matokeo.
Mpe nyumba akupe makazi.
Mpe pesa akupe huduma (huduma nyingi zinahitaji pesa) kufua, kupika, mavazi.
Mpe mpe mpe we mpe tu endelea kumpa Kisha mdai matokeo.

Ukiona unachotoa hakuna matokeo chanya pita kushoto. (Kaa mbali) sio chaka lako.

Wakikupa majibu ya maana nitag nirudi kusoma huu Uzi.
 
Zingatia vya mashiko (tangible),.

Ushauri hata mbwa akibweka ni ushauri pia..

Ndio akili yako inakutuma hata ukishauriwa unaona hakuna umuhimu acha dharau kwa mwanamke wewe

Tafuta mbwa basi akupe ushaurii
 
ushauri hata machizi huwa yanatoa yani huu upupu ndio umeona ni wa maana sana wanyonyaji wakubwa

Kwaiyo ulitaka tutoe nini kwani nyie huwa mnatoa nini zaidi ya pesaa….

Kwa taarifa yako wapo na wanawake wenye pesa wanawahonga wanaume na wanaume wa siku hzi mnadangaa

Sasa ww nini unategemea haswa kwa mwanamke zaidi ya kuwa mlezi wa familia yako…

Wanaume hakuna cha maana mnachotoa zaidi ya pesa ni kwa vile tu unakutana na mwanamke wa hali ya chini hana hela ya kukupa ndio maana mnauliza maswali ya hivyo
 
Kafanye research mkuu...

Punyeto ni janga namba moja kwa maendeleo ya mwanaume...

Vijana acheni nyeto, mnaangamiza taifa...

Taifa linakuwa na vijana weak,inferior wasio na masculine energy...
Muongo Muongo Muongo

Nyeto inaokoa Pesa as Mizinga unaisikia kwenye bomba

Ukitaka ufirisike, basi KE ndiyo chanzo, ukitaka ufe kwa Ngoma , basi KE ndiyo chanzo

Ukitaka kukojoa usaha, KE ndiyo chanzo
Mimi niko Nyetoni mwaka wa 3 , UTI naisikia kwenye bomba, Gono naisikia kwenye bomba, Kupigwa Mizinga Nakusikia kwenye bomba
 
Ushauri haushikiki we mama hebu ushike ushauri uji selfie tuuone.

Fanyia matendo utaleta matokeo… kwani nikikushaurii kuweka akiba matumizinmazuri ya pesa mwisho wa siku zile pesa unajengaa si ndio outcome ya ushaurii wangu

Tulieni nyie mkitaka pesa tafuteni mishangaziii
 
Wanaoushika ndio unaowaona wamefanikiwaa… sisi kazi yetu ni kuwashaurii na ndio maana ya msaidizi kama na nyie mnataka kuhongwa mseme
Punguza hasira shangazi sio mimi niliekuzalisha na kukubwaga ebo !!, nihongwe na lisingle mother zee lenye upweke linalotafuta mabwana mtandaoni ebo, ni kichekesho.

huo ushauri wako mpatie mwanao "aushike" asije kuishia kua single mother mpweke mwenye sonona kama wewe.
 
Pole yako kwani unataka na wewe unizalishe mbona unamuonea wivu alienizalishaa… wanaume wenzio wanazalishaa huku wewe unapiga nyeto tu nguvu za kiume zimekimbiaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwaiyo ulitaka tutoe nini kwani nyie huwa mnatoa nini zaidi ya pesaa….

Kwa taarifa yako wapo na wanawake wenye pesa wanawahonga wanaume na wanaume wa siku hzi mnadangaa

Sasa ww nini unategemea haswa kwa mwanamke zaidi ya kuwa mlezi wa familia yako…

Wanaume hakuna cha maana mnachotoa zaidi ya pesa ni kwa vile tu unakutana na mwanamke wa hali ya chini hana hela ya kukupa ndio maana mnauliza maswali ya hivyo
Mwanamke ni Shamba. Shamba linihitaji inputs (pembejeo) ili likupe matokeo (results). Tunatoa pesa kwa sababu ndio kifaa pekee cha kurahisisha upatikaji wa huduma kwa sasa.

Mwanamke kiasili ni mpokeaji
Mwanaume kiasili ni mtoaji.

Kabla ya uwepo wa pesa , mwanaume pia ndio alikuwa na jukumu la kuwinda na kuokota matunda, Kisha mwanaume anapokea[emoji41].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuanzie hapa kwanza
Kwan Mwanaume akinifata uwa anataka nini!
 
Pole yako kwani unataka na wewe unizalishe mbona unamuonea wivu alienizalishaa… wanaume wenzio wanazalishaa huku wewe unapiga nyeto tu nguvu za kiume zimekimbiaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
napiga nyeto au sio
emoji1787][emoji1787][emoji1787
 
Sina nafasi ya kuoffer anything tangible kwa mwanaume, upendo ndiyo silaha yangu. Hao wanaotaka kuona vitu vyangu physical wamepoteza uhalisia na sifa ya kuwa wanaume, warudi kwenye dhana nzima ya kuumbwa kwao, kataa kulea mwanaume! Na yes, nina kila kitu kinachopaswa kuendesha maisha yangu, akija aje na package yake siyo kuangalia nina nini.
 
Back
Top Bottom