Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

Kama mwanamke wako ni shabiki wa timu za mpira au anacheza video games za soka kuna ujumbe wako hapa

Ikiwa mwanamke wako anatazama mpira wa miguu na ni shabiki wa timu fulani, ujue kwamba timu yoyote anayoishabikia ni mwanaume aliitambulisha kwake. Hasa mpenzi wake anayemkubali sana wanasema a true lover.


Ikiwa mwanamke wako mara aseme:
"Mimi ni shabiki wa Chelsea, wakati mwingine Man U, mara nyingine Arsenal, lakini ninaipenda Liverpool zaidi."

Hizo ni vilabu vya soka vya ma ex wake wa zamani. Ukiona hivyo amemkumbuka sana jamaa wake wa Liverpool. Ex wake wa Liverpool alikuwa akimpa amazing sex.

Sasa tumalizie hapa ukiona anajua kucheza PS au FIFA ujue alifundishwa na mabwana zake na timu aipendayo kuicheza ni ya mpenzi wake wa zamani.

Ukiona wewe na manzi wako mnashabikia timu tofauti najua ujibu unalo.

Ni sawa na ugundue manzi wako anatumia bangi, fegi au drugs know that a man introduced her to it.
100%
 
Leo nataka nibaki JF na rafk angu wa kike, wengine nendeni kwenye mpira mniachie jukwaa
 
Back
Top Bottom