Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

Yes ni sahihi kabisa mkuundugu mtoa mda. Kama alikataa bila sababu ni sawa ila kuna ka upande ka pili usiombe kakukute. Hawa wadada kuna muda huwa wana vituko vya kiwanfo cha SGR. Mkuu umewahi kuambia hii mimba sio yako, au ukaulizwa una uhakika gani huyu mtoto ni wako? Halafu ukionesha reaction anakuambia nilikua nakutania tu au zilikua hasira tu. Mkuu hii isikie isikukute.

Mkusikia mwanaume kakataa mtoto muwe manafuatilia kwanza ndio mtoe hukumu, shida ni kwamba wabinti wanaaminika kirahisi sana na akijiliza ndio kabisaa, hata useme nini itachukua muda sana mwanaume kueleweka na vile huwa hatuongei ndio shida.

Nina mikasa miwili ya rafiki zangu wawili tofauti.
1. Wa kwanza alizaa na binti aliyemtolea mahari ila hawakufunga ndoa. Baada ya mtoto kukua binti alianza sarakasi za kufa mtu hio ilikua 2018, 19. Kufikia 2021 ilibidi waachane. Mwaka huu jamaa ndio kaja kufunguka vituko vya yule binti. Anasema amewa kuulizwa ana uhakika gani kama ile mimba ni yake? Ila jamaa alikua mvumilivu alifunika kombe na sasa kapata binti mwingine na mtoto yupo nae na bunti amekua muuza baa.
 
Yeah ni kweli boss wake hana kosa, maana ukizingatia alishamwambia kua ana mchumba anatarajia kuoa lakini hakusikia..
Nimejaribu tu kumliwaza kwa namna tofautiπŸ˜ƒ
 
Mwanamke hupenda pesa tu, kimbia zikiisha ukasake zilipo.... huna cha kupoteza sababu mtaji wako hauishi.
 
Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
Baya hulipwa kwa Jema, na hiyo ndio dawa na suluhisho la Jambo hilo πŸ’

kuchukua hatua tofauti na hiyo ni kujistress daima na milele πŸ’


Yote na yote Mungu ni Mwema sana kwa waja wake wote atatenda kwa haki na usawa kwa kila mja wake.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uyu mwanamke alikua hajielewi
Anyway hapa nazungumzia wale wanaume ambao ni kweli ni watoto wao ila wanawakataa kwa kukwepa majukumu
 
Ingekuwa kuolewa ni rahisi kiasi kile usingelalamika ulipoachwa ungeolewa na mwingine.

Pili kubadili jina la mtoto sio rahisi kiasi kole, hujakutana na wanaume wababe utalia kwa kila mlio
Soma vizuri nlichoandika
Anyway Ngoja nijibu ulichokielewa ww
Na mm napata mwingine wa kunioa na atalea mtoto na jina linabadilishwa la mtoto la pil
 
Lawama zote ziende kwa yule boss wako aisee,, maana mental illness aliyokuacha nayo sio ya nchi hii
Ivi unaijua mental illness vizuri ww
Mimi ni Mzima wa afya
Anyway mm sio wa mwanzo na wala wa mwisho na kuna watu humu wana challenge kama yangu ila hawasemi na unakuta makubwa zaidi yanguπŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…