Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
- Thread starter
- #41
Kwaiyo Sisi hatuangalii tabia na moyo safi? Tunakubali tu kuolewa ata na mwanaume malaya mchafu Au jambazi Sugu?Natofautiana na wewe.
Leejay49 mwanaume hajawahi kuacha mwanamke bora.
Kuna wakati mwanamke anaringia muonekano wake, tako, sura lkn mwanaume hutafuta full package...ni pamoja na tabia na moyo safi na akili.
Yule boss aliona mbali sana akaona atateseka
For the record wanaume kibao wanawaacha wanawake bora na kuoa wengine then humo ndani unaskia miezi 3 ndoa imevunjika? Aya uyo hakua bora ?😂😅😅😅😅