Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

Natofautiana na wewe.

Leejay49 mwanaume hajawahi kuacha mwanamke bora.

Kuna wakati mwanamke anaringia muonekano wake, tako, sura lkn mwanaume hutafuta full package...ni pamoja na tabia na moyo safi na akili.

Yule boss aliona mbali sana akaona atateseka
Kwaiyo Sisi hatuangalii tabia na moyo safi? Tunakubali tu kuolewa ata na mwanaume malaya mchafu Au jambazi Sugu?
For the record wanaume kibao wanawaacha wanawake bora na kuoa wengine then humo ndani unaskia miezi 3 ndoa imevunjika? Aya uyo hakua bora ?😂😅😅😅😅
 
Ingekuwa kuolewa ni rahisi kiasi kile usingelalamika ulipoachwa ungeolewa na mwingine.

Pili kubadili jina la mtoto sio rahisi kiasi kole, hujakutana na wanaume wababe utalia kwa kila mlio
Kuolewa ni rahisi unaweza zoa yoyote yule ukaolewa kwa dunia ilipokfika Sasa hivi
Unaanzaje ubabe wakati umekimbia mtoto na humlei ? Izo nguvu zinatoka wapi ?😅😂😂ujinga wa hali yajuu
Mtoto analelewa na baba mwingine na jina anatumia la huyo Alaf baba aliekimbia anakua stranger
 
Kwaiyo Sisi hatuangalii tabia na moyo safi? Tunakubali tu kuolewa ata na mwanaume malaya mchafu Au jambazi Sugu?
For the record wanaume kibao wanawaacha wanawake bora na kuoa wengine then humo ndani unaskia miezi 3 ndoa imevunjika? Aya uyo hakua bora ?😂😅😅😅😅
Siku hizi kigezo chenu ni pesa tu
 
Mwanamke hupenda pesa tu, kimbia zikiisha ukasake zilipo.... huna cha kupoteza sababu mtaji wako hauishi.
Na nyie mnapenda chini na ukichoka chini ya fulani mnatafuta zingine na ikiwezekana zote mnatumia za dunia nzima na mnatumia pesa kama mtaji Ndio maana mnazitafuta sana ata kwa wizi ili tu kuhonga mpate chini
 
😂😂😂😂 uyu mwanamke alikua hajielewi
Anyway hapa nazungumzia wale wanaume ambao ni kweli ni watoto wao ila wanawakataa kwa kukwepa majukumu
Mkuu nakuhakikishia 💯 percent hakuna mwanaume wa hivyo. Hakuna mwanaume hukataa damu yake kama mwanamke amenyooka yaan mwanaume hana mashaka yeyote kuwa yule mwanae. Labda useme ilebtabia ya kukubali na kujivuniankuwa anamtoto ila hatoi malezi wala matumizi hapo nitakubaliana na wewe asilimia zote.

Ilabkuniambia eti mwanaume anakataa mtoto ili akwepe majukumu wakati binti kanyooka, hajawahi tamkiwa zile kauli za ukakasi za "unauhakika huyu ni mwanao", wakati mimba inaingia binti alikua kanyooka na yeye tu hakuwa na kona kona, yaan anahakika pasi shaka yule ni mwanae, mkuu hakuna mwanaume hukataa mtoto wa hivyo. Najua hata wewe huna mfano hai wa hivyo ni nadharia tu.
 
Binadamu huwa hodari sana kujudge mambo ambayo yeye mwenyewe hayajamfika
Subiri dada zako Au mtoto wako wa kike yampate Ndio uje tushauriane
 
mwanaume hajawahi kuacha mwanamke bora.
Glenn,
Hujawahi kuona mwanaume anajuta baada ya kumpoteza mwanamke fulani?

Mwanaume kuacha mwanmke bora ni jambo la kawaida sana. Kuna mmama ni msukuma, mume wake yeye ni ulevi, watoto hawana mashati ya shule, hawana viatu, mke anaenda kuchoma mkaa porini kuwatafutia watoto wale.

Mke amefubaa sababu hakuwahi hata kupata mafuta, siku alipomkaba na waya akitaka kumuua akakimbizwa hospitali, mwanamke alipopona alirudi na kufunga virago vyake.

sasahiv ukiambiwa ni yule mwanamke aliyekuwa anatengeneza matanuru ya kuchoma mkaa watoto wale na waende shule unakataa.

Kaolewa na mwwanume mwenye pesa msukuma mwenzake.

Hata mwanamke kumkimbia mwanaume sahihi ni kawaida pia vilevile.
 
Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
Hakuna BABA anaye amini mtoto kua ni wake na hakuna BABA anaye kwepa mtoto wake wa kweli,acha makasiriko ya udhaifu wako
 
Karne hii ukiweka mwanamke ndani chance za kukukimbia ukitetereka kiuchumi ni 90%, unadhani umeoa mke kumbe unafuga kahaba ndani. Hapa ndipo nadharia ya Ndoa ni utapeli inadhihirika
 
Glenn,
Hujawahi kuona mwanaume anajuta baada ya kumpoteza mwanamke fulani?

Mwanaume kuacha mwanmke bora ni jambo la kawaida sana. Kuna mmama ni msukuma, mume wake yeye ni ulevi, watoto hawana mashati ya shule, hawana viatu, mke anaenda kuchoma mkaa porini kuwatafutia watoto wale.

Mke amefubaa sababu hakuwahi hata kupata mafuta, siku alipomkaba na waya akitaka kumuua akakimbizwa hospitali, mwanamke alipopona alirudi na kufunga virago vyake.

sasahiv ukiambiwa ni yule mwanamke aliyekuwa anatengeneza matanuru ya kuchoma mkaa watoto wale na waende shule unakataa.

Kaolewa na mwwanume mwenye pesa msukuma mwenzake.

Hata mwanamke kumkimbia mwanaume sahihi ni kawaida pia vilevile.
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Back
Top Bottom