Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah ni kweli boss wake hana kosa, maana ukizingatia alishamwambia kua ana mchumba anatarajia kuoa lakini hakusikia..Natofautiana na wewe.
Leejay49 mwanaume hajawahi kuacha mwanamke bora.
Kuna wakati mwanamke anaringia muonekano wake, tako, sura lkn mwanaume hutafuta full package...ni pamoja na tabia na moyo safi na akili.
Yule boss aliona mbali sana akaona atateseka
Hatuvumilii ujinga😀Unawadanganya wenzio wakati wewe mambo safi😁
Aaah wapi jisemee mwenyewe, kuna wanawake wakiingia wameingia hata ulete winchi hang'ooki, nyie wengine mkahangaike mkisubiria hukumu🤣Hatuvumilii ujinga😀
Wewe jipe moyo tu, tena zile nyakati za wanawake 7 kugombea mwanaume zimeanza😂😂😂Hatuvumilii ujinga😀
single mother acha hasira, siyo wanaume wote wako hivyo kama huyo aliyekutelekeza wewe na mtoto.Sijafanana na mtu yoyote
Nitake radhi
Baya hulipwa kwa Jema, na hiyo ndio dawa na suluhisho la Jambo hilo 🐒Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
Habari za MBEYASijafanana na mtu yoyote
Nitake radhi
Unachunwa vizuri mchana kweupe na akili zako timamu Alaf unakimbiwa ukifuliaUnichune mpka nibaki na boxer nitakua nmesinzia au?🤣🤣🤣🤣🤣
🙄🙄🙄 sio kweliUnachunwa vizuri mchana kweupe na akili zako timamu Alaf unakimbiwa ukifulia
😂😂😂😅kweliKweli kabisa, hakuna kuvumilia ujinga.
Kama nyie umalaya wenu mnazalisha ovyo kila mwnamke watoto kumi kila moja na mama yakeUdangaji tu huo, hakuna lolote
Sasa akiachishwa kazi si atapata mwingine?
Sasa wewe umezalishwa halafu unakimbia mume si utahira?
😂😂😂😂 uyu mwanamke alikua hajielewiYes ni sahihi kabisa mkuundugu mtoa mda. Kama alikataa bila sababu ni sawa ila kuna ka upande ka pili usiombe kakukute. Hawa wadada kuna muda huwa wana vituko vya kiwanfo cha SGR. Mkuu umewahi kuambia hii mimba sio yako, au ukaulizwa una uhakika gani huyu mtoto ni wako? Halafu ukionesha reaction anakuambia nilikua nakutania tu au zilikua hasira tu. Mkuu hii isikie isikukute.
Mkusikia mwanaume kakataa mtoto muwe manafuatilia kwanza ndio mtoe hukumu, shida ni kwamba wabinti wanaaminika kirahisi sana na akijiliza ndio kabisaa, hata useme nini itachukua muda sana mwanaume kueleweka na vile huwa hatuongei ndio shida.
Nina mikasa miwili ya rafiki zangu wawili tofauti.
1. Wa kwanza alizaa na binti aliyemtolea mahari ila hawakufunga ndoa. Baada ya mtoto kukua binti alianza sarakasi za kufa mtu hio ilikua 2018, 19. Kufikia 2021 ilibidi waachane. Mwaka huu jamaa ndio kaja kufunguka vituko vya yule binti. Anasema amewa kuulizwa ana uhakika gani kama ile mimba ni yake? Ila jamaa alikua mvumilivu alifunika kombe na sasa kapata binti mwingine na mtoto yupo nae na bunti amekua muuza baa.
Aliona mbali amekua Mungu?Yule aliyekuacha na kuoa mwingine aliona mbali sana.
Soma vizuri nlichoandika
Anyway Ngoja nijibu ulichokielewa ww
Na mm napata mwingine wa kunioa na atalea mtoto na jina linabadilishwa la mtoto la pil
Hamna yy mwenyewe Ana changamoto zake anashindwa kuzitatua sema tu anashindwa kuzi address hapaUnawadanganya wenzio wakati wewe mambo safi😁
Ivi unaijua mental illness vizuri wwLawama zote ziende kwa yule boss wako aisee,, maana mental illness aliyokuacha nayo sio ya nchi hii