Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
- Thread starter
-
- #41
Kwaiyo Sisi hatuangalii tabia na moyo safi? Tunakubali tu kuolewa ata na mwanaume malaya mchafu Au jambazi Sugu?Natofautiana na wewe.
Leejay49 mwanaume hajawahi kuacha mwanamke bora.
Kuna wakati mwanamke anaringia muonekano wake, tako, sura lkn mwanaume hutafuta full package...ni pamoja na tabia na moyo safi na akili.
Yule boss aliona mbali sana akaona atateseka
Kuolewa ni rahisi unaweza zoa yoyote yule ukaolewa kwa dunia ilipokfika Sasa hiviIngekuwa kuolewa ni rahisi kiasi kile usingelalamika ulipoachwa ungeolewa na mwingine.
Pili kubadili jina la mtoto sio rahisi kiasi kole, hujakutana na wanaume wababe utalia kwa kila mlio
Siku hizi kigezo chenu ni pesa tuKwaiyo Sisi hatuangalii tabia na moyo safi? Tunakubali tu kuolewa ata na mwanaume malaya mchafu Au jambazi Sugu?
For the record wanaume kibao wanawaacha wanawake bora na kuoa wengine then humo ndani unaskia miezi 3 ndoa imevunjika? Aya uyo hakua bora ?ππ π π π
Pesa kwa karne Hii almost wanawake wote wanajishugulishaSiku hizi kigezo chenu ni pesa tu
Ni uongo mtupuPesa kwa karne Hii almost wanawake wote wanajishugulisha
Tunaombaga ovyo pesa kwa kukomoa wanaume tusiowapenda na tu sio kuwa na future nao
Na nyie mnapenda chini na ukichoka chini ya fulani mnatafuta zingine na ikiwezekana zote mnatumia za dunia nzima na mnatumia pesa kama mtaji Ndio maana mnazitafuta sana ata kwa wizi ili tu kuhonga mpate chiniMwanamke hupenda pesa tu, kimbia zikiisha ukasake zilipo.... huna cha kupoteza sababu mtaji wako hauishi.
nilizaa na baba yako mzazi?single mother acha hasira, siyo wanaume wote wako hivyo kama huyo aliyekutelekeza wewe na mtoto.
Mkuu nakuhakikishia π― percent hakuna mwanaume wa hivyo. Hakuna mwanaume hukataa damu yake kama mwanamke amenyooka yaan mwanaume hana mashaka yeyote kuwa yule mwanae. Labda useme ilebtabia ya kukubali na kujivuniankuwa anamtoto ila hatoi malezi wala matumizi hapo nitakubaliana na wewe asilimia zote.ππππ uyu mwanamke alikua hajielewi
Anyway hapa nazungumzia wale wanaume ambao ni kweli ni watoto wao ila wanawakataa kwa kukwepa majukumu
Haya mwayaπIvi unaijua mental illness vizuri ww
Mimi ni Mzima wa afya
Anyway mm sio wa mwanzo na wala wa mwisho na kuna watu humu wana challenge kama yangu ila hawasemi na unakuta makubwa zaidi yanguπ ππππ
Swali.Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
Anakimbiwa yule asiejitambuaSwali.
Unamkimbia aliyekataa mtoto AU unamkimbia aliyekubali mtoto kisa kuna mwanaume mwingine hukoo alimkataa mtoto..!??
Binadamu huwa hodari sana kujudge mambo ambayo yeye mwenyewe hayajamfikaMkuu nakuhakikishia π― percent hakuna mwanaume wa hivyo. Hakuna mwanaume hukataa damu yake kama mwanamke amenyooka yaan mwanaume hana mashaka yeyote kuwa yule mwanae. Labda useme ilebtabia ya kukubali na kujivuniankuwa anamtoto ila hatoi malezi wala matumizi hapo nitakubaliana na wewe asilimia zote.
Ilabkuniambia eti mwanaume anakataa mtoto ili akwepe majukumu wakati binti kanyooka, hajawahi tamkiwa zile kauli za ukakasi za "unauhakika huyu ni mwanao", wakati mimba inaingia binti alikua kanyooka na yeye tu hakuwa na kona kona, yaan anahakika pasi shaka yule ni mwanae, mkuu hakuna mwanaume hukataa mtoto wa hivyo. Najua hata wewe huna mfano hai wa hivyo ni nadharia tu.
Glenn,mwanaume hajawahi kuacha mwanamke bora.
Hakuna BABA anaye amini mtoto kua ni wake na hakuna BABA anaye kwepa mtoto wake wa kweli,acha makasiriko ya udhaifu wakoKama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
Ivo yaanπ₯΄Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
ππ½ππ½ππ½Glenn,
Hujawahi kuona mwanaume anajuta baada ya kumpoteza mwanamke fulani?
Mwanaume kuacha mwanmke bora ni jambo la kawaida sana. Kuna mmama ni msukuma, mume wake yeye ni ulevi, watoto hawana mashati ya shule, hawana viatu, mke anaenda kuchoma mkaa porini kuwatafutia watoto wale.
Mke amefubaa sababu hakuwahi hata kupata mafuta, siku alipomkaba na waya akitaka kumuua akakimbizwa hospitali, mwanamke alipopona alirudi na kufunga virago vyake.
sasahiv ukiambiwa ni yule mwanamke aliyekuwa anatengeneza matanuru ya kuchoma mkaa watoto wale na waende shule unakataa.
Kaolewa na mwwanume mwenye pesa msukuma mwenzake.
Hata mwanamke kumkimbia mwanaume sahihi ni kawaida pia vilevile.