Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

Nilijua kaanzisha biasha zake kubwa za mkaa..!! Kumbe ka..!!
 
Hakuna BABA anaye amini mtoto kua ni wake na hakuna BABA anaye kwepa mtoto wake wa kweli,acha makasiriko ya udhaifu wako
So idadi ya watoto wote waliokataliwa duniani nzima wote sio wa kweli eh?
Ngoja yamkute binti yako mtarajiwa Ndio tutaelewana vizuri
 
Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
Malaya au kahaba siku zote anahitaji hela ili uishi naye. Wapo kila sehemu mpaka kwenye ndoa siku hizi
Kwa maneno yako sishangai
 
Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
Lini utayaelewa haya mambo we jamaa!!?

Kila moto anamjua mama yake Bali baba Huwa anaonyeshwa!

Ukiona man anagoma kubeba jukumu ujue Kuna jambo haelewi coz mwenye Siri ya mtoto ni mama!!

Hivi kama ukijua Dem wako anagongwa na mwingine akikwambia ana ujauzito wako utakubalije Kwa asilimia mia!!?

Wenye Busara Huwa tunaamua kulea hata kama una mashaka na hayo mashaka yankuja kuwankweli!!!
 
Malaya au kahaba siku zote anahitaji hela ili uishi naye. Wapo kila sehemu mpaka kwenye ndoa siku hizi
Kwa maneno yako sishangai
Basi na mama yako mzazi kahaba pia maana anategemea hela za mumewe
Or unless yy anatekeleza majukumu ya familia
 
Karne hii ukiweka mwanamke ndani chance za kukukimbia ukitetereka kiuchumi ni 90%, unadhani umeoa mke kumbe unafuga kahaba ndani. Hapa ndipo nadharia ya Ndoa ni utapeli inadhihirika
Na karne wanaume asilimia 90 wanakwepa majukumu wanataka wahudumiwe na wanawake
Wanaume wengi wamepoteza uhalisia wa uanaume wao
 
Umetoka nje ya mada
Mm nasemea ambae hajawahi kugongwa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…