Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

Glenn,
Hujawahi kuona mwanaume anajuta baada ya kumpoteza mwanamke fulani?

Mwanaume kuacha mwanmke bora ni jambo la kawaida sana. Kuna mmama ni msukuma, mume wake yeye ni ulevi, watoto hawana mashati ya shule, hawana viatu, mke anaenda kuchoma mkaa porini kuwatafutia watoto wale.

Mke amefubaa sababu hakuwahi hata kupata mafuta, siku alipomkaba na waya akitaka kumuua akakimbizwa hospitali, mwanamke alipopona alirudi na kufunga virago vyake.

sasahiv ukiambiwa ni yule mwanamke aliyekuwa anatengeneza matanuru ya kuchoma mkaa watoto wale na waende shule unakataa.

Kaolewa na mwwanume mwenye pesa msukuma mwenzake.

Hata mwanamke kumkimbia mwanaume sahihi ni kawaida pia vilevile.
Nilijua kaanzisha biasha zake kubwa za mkaa..!! Kumbe ka..!!
 
Hakuna BABA anaye amini mtoto kua ni wake na hakuna BABA anaye kwepa mtoto wake wa kweli,acha makasiriko ya udhaifu wako
So idadi ya watoto wote waliokataliwa duniani nzima wote sio wa kweli eh?
Ngoja yamkute binti yako mtarajiwa Ndio tutaelewana vizuri
 
Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
Malaya au kahaba siku zote anahitaji hela ili uishi naye. Wapo kila sehemu mpaka kwenye ndoa siku hizi
Kwa maneno yako sishangai
 
Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
Lini utayaelewa haya mambo we jamaa!!?

Kila moto anamjua mama yake Bali baba Huwa anaonyeshwa!

Ukiona man anagoma kubeba jukumu ujue Kuna jambo haelewi coz mwenye Siri ya mtoto ni mama!!

Hivi kama ukijua Dem wako anagongwa na mwingine akikwambia ana ujauzito wako utakubalije Kwa asilimia mia!!?

Wenye Busara Huwa tunaamua kulea hata kama una mashaka na hayo mashaka yankuja kuwankweli!!!
 
Malaya au kahaba siku zote anahitaji hela ili uishi naye. Wapo kila sehemu mpaka kwenye ndoa siku hizi
Kwa maneno yako sishangai
Basi na mama yako mzazi kahaba pia maana anategemea hela za mumewe
Or unless yy anatekeleza majukumu ya familia
 
Karne hii ukiweka mwanamke ndani chance za kukukimbia ukitetereka kiuchumi ni 90%, unadhani umeoa mke kumbe unafuga kahaba ndani. Hapa ndipo nadharia ya Ndoa ni utapeli inadhihirika
Na karne wanaume asilimia 90 wanakwepa majukumu wanataka wahudumiwe na wanawake
Wanaume wengi wamepoteza uhalisia wa uanaume wao
 
Lini utayaelewa haya mambo we jamaa!!?

Kila moto anamjua mama yake Bali baba Huwa anaonyeshwa!

Ukiona man anagoma kubeba jukumu ujue Kuna jambo haelewi coz mwenye Siri ya mtoto ni mama!!

Hivi kama ukijua Dem wako anagongwa na mwingine akikwambia ana ujauzito wako utakubalije Kwa asilimia mia!!?

Wenye Busara Huwa tunaamua kulea hata kama una mashaka na hayo mashaka yankuja kuwankweli!!!
Umetoka nje ya mada
Mm nasemea ambae hajawahi kugongwa nje
 
Back
Top Bottom