mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
Kama mzazi, imagine Binti yako amerudishwa nyumbani kutoka shule kwa Maswala kadhaa mfano kuita mzazi au kurudishwa school fees n.k. Badala ya kufika nyumbani, akaamua kwenda sehemu fulani .. mara Paap, whistleblower na wambea wa mtaa wanatoa Codes, mahali Binti yako ameingia na njemba.
Njemba mwenyewe kumbe ni UNCLE wake .
Kumbe uncle anatafuna Binti yako pasipo kujua. Hii inatisha sana. Inahuzunisha sana na inaogopesha kama Jamii .
Video hii ni Binti na uncle wake walipofumaniwa Gesti za local huku kwa jirani Kenya... Jionee aibu hii ... Wanaume tunakwama wapi?🥺🥺🥺🥺🥺