mkuu, mtoto aliyefundishwa vizuri nyumbani na shuleni hata kama awe na hulka za balehe kiasi gani huwa ana kauoga fulani, lakini sikuhizi suala la kuwafunda mabinti, wazazi na walimu wamejisahau sana,sana sana wazazi wanajali kama mtoto anakula tu mengine atajijua mwenyewe na walimu nao mwalimu akimaliza topics zake basi suala la nidhamu watajijua wao,hilo ni tatizo kubwa,mtoto anakuwa anajiamulia cha kufanya,akitongozwa mara moja tu anatoa boko,zamani akitongozwa anaenda kusema kwa mzazi au mwalimu lakini kwa sasa vibinti vinabadilisha wanaume watu wazima kama chupi.