mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 7,894
- 22,679
- Thread starter
- #61
Sema hii ina sound normal sana kwa kuwa sio Binti wa kwako....
Kichaa anachekesha akiwa hatoki kwenye familia yenuAnko mbona ni ukoo wa mbali kabisa huo!,
angekuwa walau babamkubwa hapo kungekuwa na shida...
Ukielewa hili "Kwa kuwa kwa mjomba hakunaga urithi, na mwanamke sio ndugu yako", kwa hiyo simshangai kabisa mjomba! Kufanya hicho alichokifanya!.