Mkuu sasa hapo rape inaingiaje, hivi unajua kuna mabinti wadogo 15-19 ambao ni sexual predators kwa men ambao ni aidha their age mate au watu wazima, kuna baadhi ya mabinti ukiwapa nafasi watawafanyia wanaume sexual harassment..so they end up raping the kids, ila sio kwa pesa! Comments zake zimeniumiza sana… zinatafakarisha sana! Mungu atulindie watoto wetu😔
Ila mkikutwa kwenye tendo mwanamke ndo anaonekana ni victim, mwanaume ni predator, Sheria itadili na mwanaume kwa ukali, wakati kiuhalisia mwanamke ndo predator
Kama case ya Yusuf na mke wa potifa, kumbe mke wa potifa ndo alikua predator Seran