Kama Mwanaume, omba Mungu sana usijejikuta kwenye Hali kama hii. Ni aibu isiyoelezeka

Kama Mwanaume, omba Mungu sana usijejikuta kwenye Hali kama hii. Ni aibu isiyoelezeka

Anko mbona ni ukoo wa mbali kabisa huo!,

angekuwa walau babamkubwa hapo kungekuwa na shida...

Ukielewa hili "Kwa kuwa kwa mjomba hakunaga urithi, na mwanamke sio ndugu yako", kwa hiyo simshangai kabisa mjomba! Kufanya hicho alichokifanya!.
Pumbavu Kabisa, muisalam wa hovyo hovyo
 
Mkuu law of marriage act ya mwaka 1971 ulishawahi isoma? (labda kama sahivi kuna vipengele wamebadilisha sababu ya feminism)

Muanzilishi wa kobasi, ambao wana sheria Kali na wanafungua kesho kutwa, si alimuoa na kumuingilia binti mwenye miaka single digit, hio si child sex 🤔(siafiki child sex)

Nashangaa kwa bongo ni rahisi sana kwa mwanaume kwenda jela kama umetembea na binti wa sekondari, ila mwanaume hata ikithibitika wewe ni shoga au umemuingilia shoga ni vigumu wewe kwenda jela, kesi ya afande rama wa Zanzibar na James delicious ziliishia wapi, hio ni justice au uchafuko 🥴 PAGAN

Sielewi unataka kusema nini?
 
Kwakweli inahuzunisha sana, ma uncles sio wa kukaribisha nyumbani kwa aina hii ya globalization. Bora unekane unajitengwa kiaina flani lakini unaepuka mambo mabaya toka kwa ndugu
🔨🔨📍📌
 
Watoto wa kike kwasasa hususani hawa wa 2000 nawaombea ila nashindwa kuelewa ni kizazi gani .

Nilialikwa shule fulani mwaka juzi kwenye mahafali vitoto vingi vilikuwa vidogo sana ,wakati natoa zawadi kwa wale bora kuna binti mmoja aliongoza walau masomo sita na pia mambo mengine ya ujuzi ,saa ngapi nakapa zawadi kasinikonyeze

Kiukweli yule mjukuu wangu alinitoa kwenye mood nimesimama mbele kazi kuficha macho yangu haya yalivyo makubwa nisitizamane naye kisa nikimuangalia ananiangalia utadhani mimi na yeye ni wapenzi wa miaka .

Nikatamani nikemee lile pepo kwa jina fulani ila sasa nguvu hizo ninazo ,sheikh ubwabwa mimi
daah hiki kizaz kinatia fola kwa kwel, shetan mwenyew vimesha mshinda, amebak kuvishangaa
 
Asee huyo si ni zao la dada ake wa tumbo moja.
Bora niendelee kudanga na wake za watu kama mme mwenza, japo ni hatari.
kuliko hii aibu kwa ukoo na jamii
 
Kama mzazi, imagine Binti yako amerudishwa nyumbani kutoka shule kwa Maswala kadhaa mfano kuita mzazi au kurudishwa school fees n.k. Badala ya kufika nyumbani, akaamua kwenda sehemu fulani .. mara Paap, whistleblower na wambea wa mtaa wanatoa Codes, mahali Binti yako ameingia na njemba.
Njemba mwenyewe kumbe ni UNCLE wake .

Kumbe uncle anatafuna Binti yako pasipo kujua. Hii inatisha sana. Inahuzunisha sana na inaogopesha kama Jamii .

Video hii ni Binti na uncle wake walipofumaniwa Gesti za local huku kwa jirani Kenya... Jionee aibu hii ... Wanaume tunakwama wapi?

aibu hiii
 
Mwanangu mmoja T3acher wa Sec alipagawishwa na Kid3m cha Form 3 kidogo avunje ndoa yake ya miaka 5 sema Mke wake alikomaa Mwamba akarudi zizini ... Ukizoea Mad3nt kuacha inakua ngum maana Chips Kavu na mishkaki miwili kwishaa....
Aah sasa huo ni ujinga kuvunja ndoa kisa demu wa sec Mr Key
 
Kwa wanaume wajanja, hii innocence ni moja kati ya vitu tunavitaka toka kwa hao mabinti

Mishangazi wengi mioyo yao ishajeruhiwa na mapenzi, mioyo ina trauma, bitterness na soul ties zilizoletwa na body count tofauti.. hivyo inakua ngumu kwa huyo mshangazi ku-bond kihisia na mwanaume Seran
Unavyosema ni ukweli, lakini kubond ni mindset ya mtu pia sio kila mtu ana moyo wa kubebelea mambo! Kuna watu tunakutana nao ukubwani na tuna bond vzr tu!
 
Mwanangu mmoja T3acher wa Sec alipagawishwa na Kid3m cha Form 3 kidogo avunje ndoa yake ya miaka 5 sema Mke wake alikomaa Mwamba akarudi zizini ... Ukizoea Mad3nt kuacha inakua ngum maana Chips Kavu na mishkaki miwili kwishaa....
Kumbe issue ni gharama? Mbona hata wanachuo wapo wanaozalishwa mpaka na wauza chips na walinzi? Ni tabia mbaya tu mlionayo kutembea na watoto wadogo!
 
Mmmh mbona wanasemaga Ke na Me hata iwe kwa watoto wala sio shida,
Waja ndo wanasemaga hivi.
Hapana ni hatari sana! Mtoto anaweza kutoka hapo kakububu usimshike tena! Na wengine wanakuwaga affected psychologically! Sio mambo ya kuchekea kabisa haya!
 
Hapana ni hatari sana! Mtoto anaweza kutoka hapo kakububu usimshike tena! Na wengine wanakuwaga affected psychologically! Sio mambo ya kuchekea kabisa haya!
Aiseee kumbee.
 
Back
Top Bottom