Kama mwanaume unaweza kukaa siku nzima bila kupokea meseji ya " mambo" basi jua kuna kitu kina miss kwenye maisha yako

Hiyo ni sawa na kusema mwanaume aliyekamilika ni lazima atembee na vitoto vya shule kama vinne hizi.

Maana wanaopenda kuandika ''mamb'', mara nyingi ni watoto wa shule.

Acha kujisifia upumbavu utakuja kufungwa ndugu.
 
Inategemea na umri wako!Mimi sipokei hizo mwaka Sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…