Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi my kiongos.Mamb myn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
MambooMwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.
Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.
Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Unafikiri kuwa na mawazo mengi ndio utu uzima sio? Is that what u think? Pole sana aiseeYaani wewe inaonekana unakaa kwa shemeji yako au bado unagombaniana mandazi na wadogo zako asubui kwa mwanaume anaejielewe hawezi akatoa kauli kama hio tafuta pesa uanze maisha yako ya kujitegemea
MambHii siitaki nimekaa kiutu uzima. Mademu watu wazima Nna allergy nao. Napenda demu anae andika " mamb"
Hiyo ni sawa na kusema mwanaume aliyekamilika ni lazima atembee na vitoto vya shule kama vinne hizi.Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.
Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.
Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.
Una umri gani?Mkuu, you love to stress yourself eti eeh? Unadhani kuwa na mawazo mengi ndio utu uzima? Pole sana mkuu. Bado unayo safari ndefu sana kwenye maisha yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona text mamb Kimbia na utoe hiyo laini yako ya simu maana ni UTI kali sana imekutafuta!
na kizinga cha elfu 3 au elfu 5.Ukiona text mamb Kimbia na utoe hiyo laini yako ya simu maana ni UTI kali sana imekutafuta!
Inategemea na umri wako!Mimi sipokei hizo mwaka Sasa!Mwanaume aliyekamilika lazima apokee meseji inayo sema " mamb" walau mara 4 kwa Siku kutoka kwa watoto wa kike.
Mimi kwa Siku napokea zaidi ya mara 7 kutoka kwa wasichana 7 tofauti. Na wewe sema " NAPOKEA" !!!
Haya pokea.
Nisipopokea msg kama hiyo naweza kuumwa walahi.