ngoshakolya
Senior Member
- Feb 23, 2023
- 118
- 98
Mbona povuKwani akizikwa Zanzibar utapata hasara gani? Na akizikwa Mkuranga utapata faida gani? Ni Baba yako au ujuaji tu? Sio kila kitu kinahitaji uchambuzi. Pumbaaavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona povuKwani akizikwa Zanzibar utapata hasara gani? Na akizikwa Mkuranga utapata faida gani? Ni Baba yako au ujuaji tu? Sio kila kitu kinahitaji uchambuzi. Pumbaaavu
Kuna baadhi ya Watanzania ni Wapumbavu sana na huwa nikiwa Nawadharau hapa JamiiForums huwa sifanyi Kosa Kwenu. Hivi kwa Mtu kama Rais Mstaafu Mzee Mwinyi ambaye ni Public Figure Watu ( Raia ) kuhoji lolote juu yake ni Kosa au Dhambi?Kuna uwezekano pia kwamba wamefanya hivyo ili kuendeleza uhalali wa wanafamilia kucheza pote hasa nafasi ya pale juu. Wameona mbali. "Hata baba na babu yetu kazikwa kule....". Lakini bado kimsingi hayo ni maamuzi ya familia wengine kuyaingilia ni kujipa kazi isiyo yetu.
Nimelisikia hili sana na ndilo linasemwa.Huyo Hussein mwinyi nasikia ndio alongangania kuzikwa Unguja kujinasibisha na Uzanzibari waliokuwa hawana nafikiri ni utashi wa kisiasa zaidi waonekane Wazanzibari wakati sio kweli wao ni watanganyika tu .
Stress na Frustrations za Maisha zinamtesa.Mbona povu
Out of Content and Out of Context.Shekhe Ilunga alizaliwa Tabora, akajenga Mwanza, kafariki akiwa Dar, hakusafirishwa alizikiwa huko huko dar,
Sionkwamba pesa ya kisafirisha mwili haikuepo Bali ni yeye alisemaga popote atakapofia azikwe na waislamu wa eneo Hilo.
Mzee mwislam anazikwa popote anapofia. Kuna lingineKama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini Kisiwani Zanzibar na siyo Kivule Mkuranga Mkoani Pwani (Tanzania Bara) alikozaliwa?
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi najua huwa unanisoma sana tu GENTAMYCINE hapa JamiiForums kama afanyavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan hivyo najua utaweza kujinibu kwa ID yako Kificho au hata Ndugu zako walioko hapa JamiiForums nao kwa ID zao Kificho nao wanaweza Kunijibu kwani kiukweli kwa sasa Linachanganya wengi na kuzua Hisia Mseto nyingi.
Another Fool.Mzee mwislam anazikwa popote anapofia. Kuna lingine
Kwa hiyo akizikwa Zenji ndio atafufuka?Akizikwa mkurunga ndio atafufuka ?rubbish
Huyo damn Fool akikujibu Nitagi tafadhali.Kwa hiyo akizikwa Zenji ndio atafufuka?
wosia unaweza kutenguliwa tu kama ambavyo msimamizi wa mirathi anavyoweza kuteguliwa na kikao halali cha familia 🐒Je walio nao wosia wameufuata?
Ndiyo wameshaamua sasa kwamba watazika huko visiwani. Sisi hapa tuendelee tu kuhoji na kuporomosheana matusi makubwa makubwa maana ndiyo faraja yetu.Kuna baadhi ya Watanzania ni Wapumbavu sana na huwa nikiwa Nawadharau hapa JamiiForums huwa sifanyi Kosa Kwenu. Hivi kwa Mtu kama Rais Mstaafu Mzee Mwinyi ambaye ni Public Figure Watu ( Raia ) kuhoji lolote juu yake ni Kosa au Dhambi?
Hivi huko Mashuleni mlienda Kusomea tu jinsi ya Kujitawaza Vinyesi vyetu Tukuka pale mkimaliza Kunya / Kuukweka?
Cc: kwa Fools wengine Cetshwayo Kampande, dndagula, mbutamaseko etc
Another seasonAnother Fool.
Hivi mke mkubwa wa marehemu mzee Mwinyi ni Sitti au Hadijajambo hili sio hata la kumchanganya mtu wala kubabaika nalo, kwasabb ni Jambo la kifamilia kwanza licha ya kua na maslahi ya umma wa waTz na Taifa kwa ujumla 🐒
Hayati Mzee Mwinyi ameacha mjane mwenye asili ya Kizanzibar lakini ana watoto sio tu raia wa kawaida bali pia mawakili wa somi, watunga Sheria lakini kuna mwingine ni mkuu wa nchi 🐒
hakuna bahati mbaya juu ya uamuzi wa Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi Mwinyi kuzikwa Zanzibar.
Ni uamuzi wa familia husika kwa uhuru na maslahi yao wenyewe wameamua kufanya hivyo na ni haki yao 🐒
R.I.P hayati Ali Hassan Mwinyi -Mzee Rukhsa.
Baba yake alizikwa Kivule, tatizo ni CCM kuanzisha utamaduni mpya wa kifo kuwa mtaji wa kisiasa.Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini Kisiwani Zanzibar na siyo Kivule Mkuranga Mkoani Pwani (Tanzania Bara) alikozaliwa?
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi najua huwa unanisoma sana tu GENTAMYCINE hapa JamiiForums kama afanyavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan hivyo najua utaweza kujinibu kwa ID yako Kificho au hata Ndugu zako walioko hapa JamiiForums nao kwa ID zao Kificho nao wanaweza Kunijibu kwani kiukweli kwa sasa Linachanganya wengi na kuzua Hisia Mseto nyingi.
Wee kama wee ulitaka azikiwe wapiHuyo Hussein mwinyi nasikia ndio alongangania kuzikwa Unguja kujinasibisha na Uzanzibari waliokuwa hawana nafikiri ni utashi wa kisiasa zaidi waonekane Wazanzibari wakati sio kweli wao ni watanganyika tu .