Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

Wabongo bhana mna maswali mepesi sana pana mzee alizaliwa mbozi hapo ila ni RPC wa Hwange Zimbabwe ndugu yake mwingine ni mkuu wa kikosi hapo Pretoria maisha hayana kanuni...Simba waliwahi sajili mchezaji kutoka Zimbabwe alikua anacheza namba Tano alikua mwili nyumba ni Mtanzania yule maana ni mtoto wa huyo RPC wa Hwange Zimbabwe na katika kutafuta maisha hajawahi kusema lolote yule Kitasa kacheza mpira wake kamaliza mkataba karudi Hwange..
 
Kuna watu mapopoma sana yaani pamoja na kuropoka kwao kote na kujifanya ma-great thinker yaani hata kutafuta kitabu chake na kukisoma wameshindwa ila kutwa kuuliza ushubwada wakitaraji kutafuniwa???

Na ndio huwa mnadanganywa kwa kupenda miteremko ya majibu ambayo baadae mnakariri na kwenda kubishana vijiweni bila facts

Tafuteni kitabu na mkisome mtajifunza mengi
 
Kabla ya kufa unachagua.
Hii ni kwa watumishi wa umma, viongozi na viongozi wastaafu.
Sema wengi hawachagui mapema wanaogopa kifo, wakichagua wanaona kama wanafanya unabii
Serikali inapokuajiri unatambulisha kwenu na ndiko kila ukipata likizo utalipiwa nauli ya kwenda huko, Mwinyi kwake ni Kivule sasa sijui gharama za kumpeleka Mangapwani ni za nani! Inamaana wenzetu hawana kwao! Ina maana ndugu wakisema atazikwa Tokyo basi serikali itagharamia kumpeleka huko?
 
Serikali inapokuajiri unatambulisha kwenu na ndiko kila ukipata likizo utalipiwa nauli ya kwenda huko, Mwinyi kwake ni Kivule sasa sijui gharama za kumpeleka Mangapwani ni za nani! Inamaana wenzetu hawana kwao! Ina maana ndugu wakisema atazikwa Tokyo basi serikali itagharamia kumpeleka huko.
Ndani ya Jamhuri tu.
Sio Tokyo, Tokyo, na kwingineko ni kwa gharama za familia.
Kuhusu watumishi popote watakapotaka familia atazikwa ila kuondoa mikanganyiko mingi na ugomvi katika familia serikali itatambua anuani zake za kudumu alizoziweka mwenyewe kwa mwajiri wake.
 
Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini Kisiwani Zanzibar na siyo Kivule Mkuranga Mkoani Pwani (Tanzania Bara) alikozaliwa?

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi najua huwa unanisoma sana tu GENTAMYCINE hapa JamiiForums kama afanyavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan hivyo najua utaweza kujinibu kwa ID yako Kificho au hata Ndugu zako walioko hapa JamiiForums nao kwa ID zao Kificho nao wanaweza Kunijibu kwani kiukweli kwa sasa Linachanganya wengi na kuzua Hisia Mseto nyingi.
wanafamilia tumekubaliana hivo ili kulinda maslahi ya baadhi yetu, ili tuonekane ni wa huku ili vyeo vyetu visipokonywe
 
Ndani ya Jamhuri tu.
Sio Tokyo, Tokyo, na kwingineko ni kwa gharama za familia.
Kuhusu watumishi popote watakapotaka familia atazikwa ila kuondoa mikanganyiko mingi na ugomvi katika familia serikali itatambua anuani zake za kudumu alizoziweka mwenyewe kwa mwajiri wake.
Inasemwa mkewe alisema mumewe alitaka azikwe kwao Kivule.
 
Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini Kisiwani Zanzibar na siyo Kivule Mkuranga Mkoani Pwani (Tanzania Bara) alikozaliwa?

Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi najua huwa unanisoma sana tu GENTAMYCINE hapa JamiiForums kama afanyavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan hivyo najua utaweza kujinibu kwa ID yako Kificho au hata Ndugu zako walioko hapa JamiiForums nao kwa ID zao Kificho nao wanaweza Kunijibu kwani kiukweli kwa sasa Linachanganya wengi na kuzua Hisia Mseto nyingi.
Tuanzie na wewe mwenyewe mleta mada ukifa utazikwa Tanzania au kwenu Rwanda?
 
Nii kwakuwa ni genta umetoa uzi lazima tukupinge kwa nguvu zote hata kama una hoja lazima tulete hoja kupinga hoja point
 
Marehemu ndiye mwenye haki ya kwanza ya kuchagua akazikwe wapi pindi akifa.
Wa pili ni ndugu/ familia.
Hata Magufuli angesema ni sharti akazikwe Kizimkazi pindi akifa infefanyika hivyo.
Mwinwi alisema azikwe kwa baba yake wamekataa kwa sababu za kisiasa kuhoji kuhusu ualali wa raisi mwinyi wa sasa kuwa sio mzawa wa zanzibar
 
Serikali inapokuajiri unatambulisha kwenu na ndiko kila ukipata likizo utalipiwa nauli ya kwenda huko, Mwinyi kwake ni Kivule sasa sijui gharama za kumpeleka Mangapwani ni za nani! Inamaana wenzetu hawana kwao! Ina maana ndugu wakisema atazikwa Tokyo basi serikali itagharamia kumpeleka huko?
Wewe unadhani Watu wa Mataifa mengine wakiwa wanatuita Watanzania Mazuzu ( Wapumbavu ) huwa wanakosea?
 
Back
Top Bottom