Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

Shekhe Ilunga alizaliwa Tabora, akajenga Mwanza, kafariki akiwa Dar, hakusafirishwa alizikiwa huko huko dar,

Sionkwamba pesa ya kisafirisha mwili haikuepo Bali ni yeye alisemaga popote atakapofia azikwe na waislamu wa eneo Hilo.
 
Kuna baadhi ya Watanzania ni Wapumbavu sana na huwa nikiwa Nawadharau hapa JamiiForums huwa sifanyi Kosa Kwenu. Hivi kwa Mtu kama Rais Mstaafu Mzee Mwinyi ambaye ni Public Figure Watu ( Raia ) kuhoji lolote juu yake ni Kosa au Dhambi?

Hivi huko Mashuleni mlienda Kusomea tu jinsi ya Kujitawaza Vinyesi vyetu Tukuka pale mkimaliza Kunya / Kuukweka?

Cc: kwa Fools wengine Cetshwayo Kampande, dndagula, mbutamaseko etc
 
Shekhe Ilunga alizaliwa Tabora, akajenga Mwanza, kafariki akiwa Dar, hakusafirishwa alizikiwa huko huko dar,

Sionkwamba pesa ya kisafirisha mwili haikuepo Bali ni yeye alisemaga popote atakapofia azikwe na waislamu wa eneo Hilo.
Out of Content and Out of Context.
 
Mzee mwislam anazikwa popote anapofia. Kuna lingine
 
Ndiyo wameshaamua sasa kwamba watazika huko visiwani. Sisi hapa tuendelee tu kuhoji na kuporomosheana matusi makubwa makubwa maana ndiyo faraja yetu.
 
Hawa waislami wanasema Ibrahim ni Muislam, Isaka Ni Muislamu, Yakobo Ni Muislamu na Yusufu ni Muislamu..

Nilitegemewa Muislamu Hussein amzike baba Yake kwa mbari yake kama hao niliowataja walivyozikwa.

Fursa ya Maendeleo Mkuranga imepokonywa.
 
Hivi mke mkubwa wa marehemu mzee Mwinyi ni Sitti au Hadija
 
Baba yake alizikwa Kivule, tatizo ni CCM kuanzisha utamaduni mpya wa kifo kuwa mtaji wa kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…