Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Umekwisha ambiwa alizaliwa Kivule mkoa wa Pwani Tanganyika, sasa hiyo ya mzanzibari umeitoa wapi!Ni swala la kisiasa, alikuwa raisi kwa kigezo kuwa ni mtu wa visiwani. Huenda alitamka azikwe alikozaliwa ila siasa ikambana.
upotoahaji si muhimu na hauna maana yoyoteBaba yake alizikwa Kivule, tatizo ni CCM kuanzisha utamaduni mpya wa kifo kuwa mtaji wa kisiasa.
Ukifa unachaguaje pa kuzikwa mkuuMarehemu ndiye mwenye haki ya kwanza ya kuchagua akazikwe wapi pindi akifa.
Wa pili ni ndugu/ familia.
Hata Magufuli angesema ni sharti akazikwe Kizimkazi pindi akifa infefanyika hivyo.
Kabla ya kufa unachagua.Ukifa unachaguaje pa kuzikwa mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Akizikwa mkurunga ndio atafufuka ?rubbish
Bi Khadija ila Bi Sitti alipendwa zaidi.Hivi mke mkubwa wa marehemu mzee Mwinyi ni Sitti au Hadija
Serikali inapokuajiri unatambulisha kwenu na ndiko kila ukipata likizo utalipiwa nauli ya kwenda huko, Mwinyi kwake ni Kivule sasa sijui gharama za kumpeleka Mangapwani ni za nani! Inamaana wenzetu hawana kwao! Ina maana ndugu wakisema atazikwa Tokyo basi serikali itagharamia kumpeleka huko?Kabla ya kufa unachagua.
Hii ni kwa watumishi wa umma, viongozi na viongozi wastaafu.
Sema wengi hawachagui mapema wanaogopa kifo, wakichagua wanaona kama wanafanya unabii
Ndani ya Jamhuri tu.Serikali inapokuajiri unatambulisha kwenu na ndiko kila ukipata likizo utalipiwa nauli ya kwenda huko, Mwinyi kwake ni Kivule sasa sijui gharama za kumpeleka Mangapwani ni za nani! Inamaana wenzetu hawana kwao! Ina maana ndugu wakisema atazikwa Tokyo basi serikali itagharamia kumpeleka huko.
wanafamilia tumekubaliana hivo ili kulinda maslahi ya baadhi yetu, ili tuonekane ni wa huku ili vyeo vyetu visipokonyweKama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini Kisiwani Zanzibar na siyo Kivule Mkuranga Mkoani Pwani (Tanzania Bara) alikozaliwa?
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi najua huwa unanisoma sana tu GENTAMYCINE hapa JamiiForums kama afanyavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan hivyo najua utaweza kujinibu kwa ID yako Kificho au hata Ndugu zako walioko hapa JamiiForums nao kwa ID zao Kificho nao wanaweza Kunijibu kwani kiukweli kwa sasa Linachanganya wengi na kuzua Hisia Mseto nyingi.
Inasemwa mkewe alisema mumewe alitaka azikwe kwao Kivule.Ndani ya Jamhuri tu.
Sio Tokyo, Tokyo, na kwingineko ni kwa gharama za familia.
Kuhusu watumishi popote watakapotaka familia atazikwa ila kuondoa mikanganyiko mingi na ugomvi katika familia serikali itatambua anuani zake za kudumu alizoziweka mwenyewe kwa mwajiri wake.
Shida mke kazidiwa nguvu na watoto wa Mzee.Inasemwa mkewe alisema mumewe alitaka azikwe kwao Kivule.
Tuanzie na wewe mwenyewe mleta mada ukifa utazikwa Tanzania au kwenu Rwanda?Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi kumbe alizaliwa Kivule Mkuranga Mkoani Pwani kutoka kwa Baba yake ambaye Kiasili anatokea Tanzania Bara ila alimpeleka tu Kisiwani Zanzibar ili akapate Elimu sahihi ya Dini ya Kiislamu inakuwaje Maamuzi ya Maziko yake yafanyike Kesho Ugenini Kisiwani Zanzibar na siyo Kivule Mkuranga Mkoani Pwani (Tanzania Bara) alikozaliwa?
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi najua huwa unanisoma sana tu GENTAMYCINE hapa JamiiForums kama afanyavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan hivyo najua utaweza kujinibu kwa ID yako Kificho au hata Ndugu zako walioko hapa JamiiForums nao kwa ID zao Kificho nao wanaweza Kunijibu kwani kiukweli kwa sasa Linachanganya wengi na kuzua Hisia Mseto nyingi.
Mwinwi alisema azikwe kwa baba yake wamekataa kwa sababu za kisiasa kuhoji kuhusu ualali wa raisi mwinyi wa sasa kuwa sio mzawa wa zanzibarMarehemu ndiye mwenye haki ya kwanza ya kuchagua akazikwe wapi pindi akifa.
Wa pili ni ndugu/ familia.
Hata Magufuli angesema ni sharti akazikwe Kizimkazi pindi akifa infefanyika hivyo.
Wewe unadhani Watu wa Mataifa mengine wakiwa wanatuita Watanzania Mazuzu ( Wapumbavu ) huwa wanakosea?Serikali inapokuajiri unatambulisha kwenu na ndiko kila ukipata likizo utalipiwa nauli ya kwenda huko, Mwinyi kwake ni Kivule sasa sijui gharama za kumpeleka Mangapwani ni za nani! Inamaana wenzetu hawana kwao! Ina maana ndugu wakisema atazikwa Tokyo basi serikali itagharamia kumpeleka huko?
Mataifa Gani hayo yanatuita mazuzu Watanzania nitajie Nchi moja tuWewe unadhani Watu wa Mataifa mengine wakiwa wanatuita Watanzania Mazuzu ( Wapumbavu ) huwa wanakosea?