Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

Wazanzibar ni wabinafsi.

Hussein Mwinyi hapo ameona baba yake akizikwa TZ bara itampunguzia nguvu kisiasa huko Zanzibar maana ataonekana si wa kwao .
 
Marehemu ndiye mwenye haki ya kwanza ya kuchagua akazikwe wapi pindi akifa.
Wa pili ni ndugu/ familia.
Hata Magufuli angesema ni sharti akazikwe Kizimkazi pindi akifa infefanyika hivyo.
Marehemu alichagua kuzikwa mkuranga
 
Kenya na Burundi.
Kenya hakuna Wala Burundi

Wote hao rafiki zetu na tunaheshimiana sana hawana dharau Kwa Watanzania

Tuna uhusiano nao mzuri sana na hata Nkurunzinza Burundi alipopinduliwa Watanzania tulimrudisha madarakani
Kenya ni partner wetu waakubwa kwenye biashara .Biashara yetu kubwa Iko kati ya Kenya na Tanzania na hawajawahi kuzalisha wakimbizi maelfu kuja kwetu na Sisi hatujawahi zalisha wakimbizi kwenda kwao
 
Kwahiyo Wewe unahisi ni Mataifa gani ya Jirani yanawaita Watanzania Mazuzu ( Wapumbavu ) na Wanatudharau mno?
 
Place of domicile eh?
 
Kwahiyo Wewe unahisi ni Mataifa gani ya Jirani yanawaita Watanzania Mazuzu ( Wapumbavu ) na Wanatudharau mno?
Mimi najua hakuna Nchi inatudharau Sisi wewe ndio utaje hizo Nchi au hiyo Nchi inayotudharau Watanzania maana wewe ndio umesema kuna Nchi zinatudharau taja mwenyewe
 
Siasa za nchi hii nn imbaya sana hapo kinachotafutwa ni ushindi wa mwemyi mtoto kwenye uchaguzi ujao visiwani
 
Mimi najua hakuna Nchi inatudharau Sisi wewe ndio utaje hizo Nchi au hiyo Nchi inayotudharau Watanzania maana wewe ndio umesema kuna Nchi zinatudharau taja mwenyewe
Burundi, Kenya, Somalia na Congo DR.
 
Burundi, Kenya, Somalia na Congo DR.
Burundi nimekwambia hata ikipinduliwa Watanzania tunaenda kurudisha kiongozi,Kenya hata wakigombana Sisi ndio huenda kusuluhisha walipogombana na kupigana Kikwete ndie alienda kuwasuluhisha Kenyatta na Odinga wakamaliza mapigano na Nchi ikawa na Amani,Kongo Rafiki zetu Hadi majeshi yetu Sasa hivi Yako kule Congo kuwasaidia kupigana na M23 na ndio watumiaji wakubwa wa bandari yetu.

Somalia hatuna ugomvi nao tunao wawekezaji kibao wasomali waliowekeza Tanzania kuanzia mahoteli ,biashara za mafuta , Apartments nk na hakujawahi tokea shida yeyote na Somalia sababu kwanza hata hatupakani nao
 
Hiki jamaa kinajiona kijuaji kila kitu
 
Shekhe Ilunga alizaliwa Tabora, akajenga Mwanza, kafariki akiwa Dar, hakusafirishwa alizikiwa huko huko dar,

Sionkwamba pesa ya kisafirisha mwili haikuepo Bali ni yeye alisemaga popote atakapofia azikwe na waislamu wa eneo Hilo.
Ndivyo inavyotakiwa kwa Kila muislamu.
Mtume Muhammad (SAW)
Kzaliwa Makkah na kuzikwa Madinah
 
Alifuata Dini na ni Bora/Vyema alazikwa kwenye Dini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…