Kama Mzee wetu Hayati Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi alizaliwa Kivule, Alifikaje Zanzibar?

Anaweza zikwa Zanzibari kwa macho ya kamera na akaenda kuziwa Mkuranga nyuma ya pazia. Kwani wakati amekufa si walikaa wakapanga na siku ya kututangazia! Inasemekana Mzee alishauma shuka wiki moja nyuma.
 
Wakazi wote wa Zanzibar ni wahamiaji, hicho kisiwa kilikuwa sehemu ya kupumzikia wavuvi kutoka mataifa na sehemu mbalimbali ambao baadae waliamua kuhamia hapo, ndio maana kuna makabila na watu wa mataifa mbalimbali ambao vizazi vyao vilihamia hapo kama akina Karume kwao ni Malawi, Salmini kwao Ngazija, Moyo kwao Songea n.k kwa kifupi Zanzibar haina mwenyewe wala mwenye haki nayo, kuna Wanyamwezi, Wakurya,Wanyakyusa,Waajemi,Wachina,Waarabu, Wahindi na kuendelea.
 
hoja yako si mbaya unataka tujuzane ni sababu zipi zilizopelekewa mwinyi kuzikwa zenji badala ya mkuranga ila inaonekana ni nguvu ya Rais Mwinyi katika kujimilikisha na kuhakikisha kisiasa lakini hata katika mambo ya mirathi kwa mama yake japo sioni hili kama linanguvu kozi ye mwenye anayopesa.
 
fala kweli wewe mzee
Nyerere alifikaje pugu una maswali ya kindezi kweli
 
Yaani kabisa Mkurya akaishi Zanzibar? Hebu tuombe / waombe radhi haraka sana sawa?
 
kabla hajafa watoto wake walikaa nae na kumuomba azikwe mangapwani ambako ndiko alikokulia,na ndiko aliko na ndugu na jamaa zake,maana kivule alikozaliwa,hakuna twna ndugu zake,akakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…