Vipi umemfikiria Bashungwa? Tulia? Au Mavura?
CCM usitegemee ikakuletea mtu muadilufu saaana Hapana ila inategemea Nani mtoto pendwa!
Jiulize swali kwanini kuna mtu anataftiwa Wizara ambazo si rahis kuona madhaifu yake japo walishtukia, uraia wake baada ya watu kumchoma kuwa ni agent wa ka nchi fulan ikabidi abadilishwe Mara moja kutoka ulinzi!!!! Akawekwa nyingine japo nako anafanya vema ! Yeye makando kando yake si makubwa mama hawa wengine, na kwa Taarifa Nasikia kwamba ndo anaandaliwa ikiwa mapema zaidi, huyu kaandaliwa hata kuliko Magufuli aliyeanza kuandaliwa 2013, Ila huyu wameanza miaka 6 kabla! Ni Tetetesi Lakin !
Kwa Tulia hii inaweza ikawa ile sababu ya Kxgavdizgs anayoijua mr
Pascal Mayalla
Najua huyu Mwana mama watu wengi hawampendi hasa wapinzani na hata CCM kwenyewe! Wengi wakidhani kuongozwa na mwanamke yatarudia yale Yale ya yuleeee….
Togolan Mavura… Hii ni Ingizo lililowekwa kwamba liandaliwe japo hana jipya sana naye ni Kama Makamba tu, japo si mpigaji, uingizwaji wake ulikuwa facilitated na mzee wa firigisi Ila kwa sasa haziivi na mwenye nyumba inaweza kumuwia ngumu sana !!!
Makonda … huyu huyu huyu kwa nguvu zilivyo za ajabu unaweza shangaa siku moja Jamaa linakuwa president na itakuwa ni kosa kubwa sana kuwahi kutokea nchini pamoja na kwamba tulifanya kwa Katto ila kwa Makonda tutakuwa ndo tumebug kabisa, kinachombeba Makonda ni kupiga kazi na misimamo yake, na zile drama za camera kuwahadaa wanyonge kuwa wamepata mtetezi na ukizingatia yeye na xxxxx ni kidole na Pete nasema hivo kwa kuwa mwenyekiti wa chama ndo anaamua amkate Nani amu endorse Nani! Huyu kwa drama unaweza shangaa anakuwa mgombea wa CCM 2030
Humprey Polepole pamoja na ukigeugeu wake ila ni smart kuliko wote niliowataja hapo juu, na kana msimamo fulan , japo alipoteza credibility baada ya ku side na waliokataa Katiba Mpya !
Ila mtu Mpya kabisa ambaye watu hawategemei ni huyo ambaye akiweza kulikwepa hili la uraia basi 60% can be nominated
Keep in mind Tunapanga na Mungu anapanga, uchaguzi hata wa 2025 bado tunawaza wa 2030? Je kuna mwenye guarantee na Mungu kwamba atakuwa hai ?
Britanicca