Pre GE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

Pre GE2025 Kama Nape na Makamba wamewekwa kando, si Mwigulu, Biteko, Tulia, Mwinyi, Makonda wala Majaliwa watamrithi kiti Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waziri kimsingi hana kazi mwenye kazi ni Katibu Mkuu
Kama hana kazi tunamlipa wa nini? Ushaona umeme umekatika analalamikiwa katibu mkuu,wizara ni kama mgahawa ,mmiliki raisi ,meneja ni waziri ,katibu ni mpishi mkuu, nenda jipe mtihani mdogo ,nenda google kaangalie mawaziri wa teknolojia wa japan,usa ,russia na china.utagundua ma engineer tupu.huo upumbafu wa kuleta mtu kasomea kiswahili akaongoze wizara ya madini aliuleta jk ili kuweka washkaji ila mkapa kurudi nyuma walizingatia
 
Kabisa ukikuta secretary of defense, marekani ni jenerali kabisa na nyota nne! Hata Tanzania baadhi ya wizara wanaongoza wataalamu!
 
Nani huyu
Unadhani maneno aliyokuwa anaongea jenerali yalikuwa ni ya kubahatisha
Ni maneno tu, kama yana ukweli achukue hatua! Haukuona taarifa rasmi bali maneno ya jukwaani

Haiwezekani mtu afike ngazi ya uwaziri halafu useme uraia wake una mashaka, hiyo nchi itakuwa haiko serious. Waziri anaingia kwenye baraza la mawaziri halafu asiwe raia BILA USHAHIDI NI POROJO TU
 
Vipi umemfikiria Bashungwa? Tulia? Au Mavura?
CCM usitegemee ikakuletea mtu muadilufu saaana Hapana ila inategemea Nani mtoto pendwa!

Jiulize swali kwanini kuna mtu anataftiwa Wizara ambazo si rahis kuona madhaifu yake japo walishtukia, uraia wake baada ya watu kumchoma kuwa ni agent wa ka nchi fulan ikabidi abadilishwe Mara moja kutoka ulinzi!!!! Akawekwa nyingine japo nako anafanya vema ! Yeye makando kando yake si makubwa mama hawa wengine, na kwa Taarifa Nasikia kwamba ndo anaandaliwa ikiwa mapema zaidi, huyu kaandaliwa hata kuliko Magufuli aliyeanza kuandaliwa 2013, Ila huyu wameanza miaka 6 kabla! Ni Tetetesi Lakin !

Kwa Tulia hii inaweza ikawa ile sababu ya Kxgavdizgs anayoijua mr Pascal Mayalla
Najua huyu Mwana mama watu wengi hawampendi hasa wapinzani na hata CCM kwenyewe! Wengi wakidhani kuongozwa na mwanamke yatarudia yale Yale ya yuleeee….


Togolan Mavura… Hii ni Ingizo lililowekwa kwamba liandaliwe japo hana jipya sana naye ni Kama Makamba tu, japo si mpigaji, uingizwaji wake ulikuwa facilitated na mzee wa firigisi Ila kwa sasa haziivi na mwenye nyumba inaweza kumuwia ngumu sana !!!

Makonda … huyu huyu huyu kwa nguvu zilivyo za ajabu unaweza shangaa siku moja Jamaa linakuwa president na itakuwa ni kosa kubwa sana kuwahi kutokea nchini pamoja na kwamba tulifanya kwa Katto ila kwa Makonda tutakuwa ndo tumebug kabisa, kinachombeba Makonda ni kupiga kazi na misimamo yake, na zile drama za camera kuwahadaa wanyonge kuwa wamepata mtetezi na ukizingatia yeye na xxxxx ni kidole na Pete nasema hivo kwa kuwa mwenyekiti wa chama ndo anaamua amkate Nani amu endorse Nani! Huyu kwa drama unaweza shangaa anakuwa mgombea wa CCM 2030

Humprey Polepole pamoja na ukigeugeu wake ila ni smart kuliko wote niliowataja hapo juu, na kana msimamo fulan , japo alipoteza credibility baada ya ku side na waliokataa Katiba Mpya !

Ila mtu Mpya kabisa ambaye watu hawategemei ni huyo ambaye akiweza kulikwepa hili la uraia basi 60% can be nominated

Keep in mind Tunapanga na Mungu anapanga, uchaguzi hata wa 2025 bado tunawaza wa 2030? Je kuna mwenye guarantee na Mungu kwamba atakuwa hai ?


Britanicca
 
Wanabodi,

Baada ya team moja ya wasaka Urais iliyotumia muda mwingi kujiandaa kuangushwa ni dhahiri kabisa team hii haitakaa kimya kwani hata hivyo team hii pia kama zilivyo team zingine inamtandao mpana ndani na nje ya Tanzania naamini tunaufahamu.

Kitendo Cha team hii kuangushwa wataamini kabisa ni team kinzani ndio zimefanya uchochezi kwa Rais ili kuiangusha team yao hiyo iliyomteua Mhe January Makamba kama kinara wa team.

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Nikitazama ukwasi na ushawishi ilionao team hii ya kinara January Makamba nashawishika kuamini si Mwigulu, Biteko, Makonda, Tulia, Mwinyi, Mchengerwa, Jaffo, Bashe, Kikwete wala Majaliwa wataunusa Urais 2025 wala 2030.

Kuna ule usemi maarufu wa kiswahili unaosema "Ukimwaga Mboga Mimi na mwaga Ugali" tutarajie miangushano mikubwa kati ya sasa na 2030 kwani hizi team ni hakika na hii vita ni ukweli pia.

Baada ya mtifuano huu Rais wa 2030 atakuwa ni mtu mpya mwenye kuchukia kabisa Matendo ya Rushwa na Ufisadi na hayuko kwenye team yoyote kati ya hizo kwani Kila team haitakuwa tayari kuona ikifukuzwa kama sio kutoroka kabisa Tanzania baada ya team kinzani kushinda nafàsi hiyo.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Rais Samia.​
Jambo la kwanza ukwasi wao unatokana na wizi wa mali ya umma,kudeal nao hao watu ni jambo dogo sana,kuwafungulia mashitaka, na account zao kuzi -freeze,
 
Rais anakuwa na malengo ya kitaifa siku zote anaitazama picha pana inayokuwa mbele yake. Hawajaandikiwa watu fulani na familia zao eti ndio wawe viongozi wetu wa kudumu na bahati mbaya tabia hiyo inapoota mizizi inaleta dharau kwa watu walio wengi.

SSH kanifurahisha kuwaondoa hawa mawaziri wawili wazoefu.

SSH anamsafishia njia MKWE wake ..... Mwenye macho haambiwi tazama.
 
20240723_145757.jpg
 
Back
Top Bottom