Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Surah 3:151 ni baada ya vita ya uhud , ndio hapo nakuambia soma Qur an haikushuka siku moja ...Wanaongelewa hapo waliokuwa wanapigana na waislamu kumbuka vita walianza wao kwa sheria ile ile ya waislamu kujilinda .Surah 3:151: "We shall cast terror into the hearts of those who disbelieve (all non-Muslims) …"
Surah 2:191: "And kill them (non-Muslims) wherever you find them … kill them. Such is the recompense of the disbelievers (non-Muslims)."
We una tatizo la uelewa nahisi! ... mbona unachokiongea ni tofauti na ulichoambiwa?Kwa hiyo unakubali kuna vifungu kwenye quran vimebadilishwa????
Maana nawasikiaga waislam wengi wakisema kitabu cha quran kimejitosheleza hutakiwi kupunguza wala kuongeza
Sasa napata wasiwasi unaposema ya miaka 9 ilikuwa zamani na sasa hivi imebadilika,
Kwa hiyo kumbe kuna Aya kwenye quran zimebadilishwa kulingana na wakati????
Ila nyie ndugu zetu mnashikiwa sana akili mjue? mnaongozwa sana na chuki kwa kweliAkili kumkichwa,,Wenzako wanavitafuna vibinti vya madrasa kiulaini wewe unakuna pumbu mihangaikoni ukiamini umemkabidhi Mtoto Kwa Mdogo wake Mungu
Religion of the warlords started by an illiterate and paedophile warlord.View attachment 3067658
Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.
Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?
Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.
Mfia dini au mfia duni.
Ila nyie ndugu zetu mnashikiwa sana akili mjue? mnaongozwa sana na chuki kwa kweli
Wewe ni kafiri kama makafiri wengine acha kujiita Muislam.View attachment 3067658
Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.
Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?
Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.
Mfia dini au mfia duni.
Ila nyie watu ni wakushikiwa sana akili kwa kweli, dah! Hii hoja ya mabikra 72 ndo mmeipata hivi karibuni eenh?Ndo maana hawa jamaa wanafanyaga kuua tu bila kukoma, kwao ni maagizo.
Alafu ile ya mabikra 72 mbona haipo au maimam huwa wanatufunga kamba tu ili tutangulie tu ile kwetu
Part ya kwanza inaongelea walio kwenye menopause (waliokoma hedhi) part ya pili inaongelea 'wasiopata hedhi' ambao ndiyo watoto hao underage.Muongo wewe hizo aya zote ukisoma zinaelezea kitu tofauti kabisa kwa mfano Quoran 65:4 inazungumza kuhusu wanawake walio katika menopause
Quoted"Mimi nina Quran nyumbani kwangu mwaka wa kumi huu. Ninaisoma ninavyotaka. Sijawahi kuyaona hayo majini".Biblia na Quran, ni mojawapo ya vitabu vya kishamba kabisa kuwahi kuandikwa.
Hivi hili neno ushamba, linatamkwa wakati sahihi kweli, maana unaweza ona mtu mshamba alafu anawaita wajanja Washamba.Biblia na Quran, ni mojawapo ya vitabu vya kishamba kabisa kuwahi kuandikwa.
>na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia <<
>>Ni halali kwako wewe tu, si kwa Waumini wengine. <<<
Content yourselves with one or those bondwomen in your possession.Tatizo liko wapi?
HII DINI NI YA KIKATILI,UUAJI NA KUTIA HOFU KAMA HOFU ANAVYOWAAMBIA WAUMINI WAKE BINADAMU NA NDUGU ZENU MAJINI.Surah 3:151 ni baada ya vita ya uhud , ndio hapo nakuambia soma Qur an haikushuka siku moja ...Wanaongelewa hapo waliokuwa wanapigana na waislamu kumbuka vita walianza wao kwa sheria ile ile ya waislamu kujilinda .
Kwa kiswahili ''Tutazitia khofu nyoyo za walio kufuru kwa vile walivyo mshirikisha Mwenyezi Mungu na washirika ambao hakuwateremshia hoja yoyote. Na makaazi yao ni Motoni; na maovu yaliyoje maskani ya wenye kudhulumu!''
Surah 2:191
''Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni basi wapigeni kwa kadiri walivyowapigeni nyinyi. Na mwaminini Mwenyezi Mungu, kwani Yeye ndiye atakayewasaidieni''
Soma nilipo'bold ndio utaelewa wao ndio walingonjwa waanze
sasa ayah ya 191 surah 2 inaanzia ni mwendelezo wa ayah ya 2:190 ambayo inasema ''Na piganeni katika njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanaopigana nanyi, wala msianze uadui. Kwa kuwa Mwenyezi Mungu hawapendi wanaoanza uadui''
Yule anayekupiga ndio umpige , waislamu hawakuanza vita wala uadui kamwe soma vizri huwezi kudanganya watu kwa kuokotekeza nusu ayah huko kwa wafuga chuki 😀 😀 😀 😀
Kuna tofauti ndogo sana kati ya ushamba na ujinga.Hivi hili neno ushamba, linatamkwa wakati sahihi kweli, maana unaweza ona mtu mshamba alafu anawaita wajanja Washamba.
Mabikira 72 cheki namba 7 hapo. Hiyo ndio ya msingi kuliko zoteNdo maana hawa jamaa wanafanyaga kuua tu bila kukoma, kwao ni maagizo.
Alafu ile ya mabikra 72 mbona haipo au maimam huwa wanatufunga kamba tu ili tutangulie tu ile kwetu
Ndio, biblia na Quran ninazo.Quoted"Mimi nina Quran nyumbani kwangu mwaka wa kumi huu. Ninaisoma ninavyotaka. Sijawahi kuyaona hayo majini".
kutoka kusoma kuran bila kuona majini hadi bibilia na quran kuwa vitabu vya kishamba!! ila umesahahu kutuambia kuwa na Biblia uliisoma pia.
nb; umeileta biblia ndani ya mjadala ili kubalance Mada na sio kitu kingine.