Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

Kama ni kweli haya yameandikwa kwenye Quran basi ifike point wanadamu tujinasue katika itikadi hizi. Sio mkristo, sio muislam tuamke.

Surah 3:151: "We shall cast terror into the hearts of those who disbelieve (all non-Muslims) …"

Surah 2:191: "And kill them (non-Muslims) wherever you find them … kill them. Such is the recompense of the disbelievers (non-Muslims)."
Surah 3:151 ni baada ya vita ya uhud , ndio hapo nakuambia soma Qur an haikushuka siku moja ...Wanaongelewa hapo waliokuwa wanapigana na waislamu kumbuka vita walianza wao kwa sheria ile ile ya waislamu kujilinda .

Kwa kiswahili ''Tutazitia khofu nyoyo za walio kufuru kwa vile walivyo mshirikisha Mwenyezi Mungu na washirika ambao hakuwateremshia hoja yoyote. Na makaazi yao ni Motoni; na maovu yaliyoje maskani ya wenye kudhulumu!''

Surah 2:191
''Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni basi wapigeni kwa kadiri walivyowapigeni nyinyi. Na mwaminini Mwenyezi Mungu, kwani Yeye ndiye atakayewasaidieni''
Soma nilipo'bold ndio utaelewa wao ndio walingonjwa waanze

sasa ayah ya 191 surah 2 inaanzia ni mwendelezo wa ayah ya 2:190 ambayo inasema ''Na piganeni katika njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanaopigana nanyi, wala msianze uadui. Kwa kuwa Mwenyezi Mungu hawapendi wanaoanza uadui''

Yule anayekupiga ndio umpige , waislamu hawakuanza vita wala uadui kamwe soma vizri huwezi kudanganya watu kwa kuokotekeza nusu ayah huko kwa wafuga chuki 😀 😀 😀 😀
 
Kwa hiyo unakubali kuna vifungu kwenye quran vimebadilishwa????

Maana nawasikiaga waislam wengi wakisema kitabu cha quran kimejitosheleza hutakiwi kupunguza wala kuongeza

Sasa napata wasiwasi unaposema ya miaka 9 ilikuwa zamani na sasa hivi imebadilika,

Kwa hiyo kumbe kuna Aya kwenye quran zimebadilishwa kulingana na wakati????
We una tatizo la uelewa nahisi! ... mbona unachokiongea ni tofauti na ulichoambiwa?
 
Akili kumkichwa,,Wenzako wanavitafuna vibinti vya madrasa kiulaini wewe unakuna pumbu mihangaikoni ukiamini umemkabidhi Mtoto Kwa Mdogo wake Mungu
Ila nyie ndugu zetu mnashikiwa sana akili mjue? mnaongozwa sana na chuki kwa kweli
 
View attachment 3067658

Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.

Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?

Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.

Mfia dini au mfia duni.
Religion of the warlords started by an illiterate and paedophile warlord.
 
Chuki iko wapi hapo?wenye dini Yao huko duniani wanataka wapitishe Sheria waoe Hadi wenye miaka 9 toka 15,,,wee zubaa tuu
Ila nyie ndugu zetu mnashikiwa sana akili mjue? mnaongozwa sana na chuki kwa kweli
 
View attachment 3067658

Amkeni wanangu, tunachofanya ni kufaidisha kwa kuenzi misingi ya watu waliokuwa nayo kutokana na imani na mtazamo waliokuwa nao.

Uko wapi mtazamo wako, ni kipi unachoamini?

Yani chuki za mtu binafsi ndio uzienzi na wewe hadi hii leo karne ya 21.

Mfia dini au mfia duni.
Wewe ni kafiri kama makafiri wengine acha kujiita Muislam.
 
Hapo kurani inatia muongozo wa muda wa kukaa eda wakati wa kutoa talaka kwa wanawake waliokoma kupata hedhi (waliofika menopause) na ambao hawapati hedhi (vibinti vidogo).
Yaani unaweza kuoa katoto, na ukakapa talaka.

Context ilikuwa kwamba wanawake wakipewa talaka, wanapaswa kuwa eda kwa kipindi Cha hedhi tatu, Kisha huachika rasmi.
Wana wakamuuliza mtume, vipi kwa wale ambao washakoma kupata hedhi na hawa ambao bado? ( Vitoto), ndiyo mtume (warlord) akawa anatoa maelekezo.

Certified paedophiles.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-08-13-10-48-38-287_kiswahili.swahili.quran.koran.islam.qurani~3.jpg
    Screenshot_2024-08-13-10-48-38-287_kiswahili.swahili.quran.koran.islam.qurani~3.jpg
    111.7 KB · Views: 1
Ndo maana hawa jamaa wanafanyaga kuua tu bila kukoma, kwao ni maagizo.

Alafu ile ya mabikra 72 mbona haipo au maimam huwa wanatufunga kamba tu ili tutangulie tu ile kwetu
Ila nyie watu ni wakushikiwa sana akili kwa kweli, dah! Hii hoja ya mabikra 72 ndo mmeipata hivi karibuni eenh?

Uislamu ni dini ya maumbile ya mwanadamu kwakuwa aliye muumba mwanadamu ndo aliyemuumbia hisia zake na matamanio yake. Kile kilicho natural kwa mwanadamu basi Uislamu una-aknowledge.

Ni ipi starehe kubwa ya mwanaume hapa duniani? je unadhani ni ajabu Mungu kukuambia ukitii amri zake hapa duniani ataenda kukupatia kile unacho-desire na zaidi juu ya hicho?

Kuna mwanaume gani rijali asiyependa wanawake? ... just look around uone matangazo ya biashara yalivyo jaa nembo ya mwanamke ama vichocheo vya mwanamke katika kuitangaza kwake.

Na bado hakuna dini yoyote baada ya uislamu iliyo strick katika kukataza zinaa! ... hivi hamuoni ama?
 
Muongo wewe hizo aya zote ukisoma zinaelezea kitu tofauti kabisa kwa mfano Quoran 65:4 inazungumza kuhusu wanawake walio katika menopause
Part ya kwanza inaongelea walio kwenye menopause (waliokoma hedhi) part ya pili inaongelea 'wasiopata hedhi' ambao ndiyo watoto hao underage.
 
Biblia na Quran, ni mojawapo ya vitabu vya kishamba kabisa kuwahi kuandikwa.
Quoted"Mimi nina Quran nyumbani kwangu mwaka wa kumi huu. Ninaisoma ninavyotaka. Sijawahi kuyaona hayo majini".

kutoka kusoma kuran bila kuona majini hadi bibilia na quran kuwa vitabu vya kishamba!! ila umesahahu kutuambia kuwa na Biblia uliisoma pia.
nb; umeileta biblia ndani ya mjadala ili kubalance Mada na sio kitu kingine.
 
Wala hakuna haja ya kugombana kabisa, it's simple Kila mmoja afuate vile anavyoona inafaa, hakuna haja ya kugombana kuhusu Jesus au Muhammad...Afrika dini tunafanya kama Kula vile.
 
Biblia na Quran, ni mojawapo ya vitabu vya kishamba kabisa kuwahi kuandikwa.
Hivi hili neno ushamba, linatamkwa wakati sahihi kweli, maana unaweza ona mtu mshamba alafu anawaita wajanja Washamba.
 
33:50 - Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako ulio wapa mahari yao,

>na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia <<

katika alio kupa Mwenyezi Mungu, na mabinti ami zako, na mabinti wa shangazi zako, na mabinti wa wajomba zako, na mabinti wa dada za mama yako walio hama pamoja nawe; na mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii, kama mwenyewe Nabii akitaka kumwoa.

>>Ni halali kwako wewe tu, si kwa Waumini wengine. <<<

Hii aya ya kurani inamuonesha Muddy akijihakikishia endless supply ya wanawake.

Hao waliopatikana kwa "mkono wa kulia" ni mateka wa vita na watumwa.
Muddy na watu wake wakishaua waume zao, wanawagawana.

List inaendelea ya watu kibao ambao mtume anaweza kuwaoa but ni kwa ajili yake tu, si wengine.

Huyu jamaa alikuwa anapenda sana wanawake. No wonder alimuoa mpaka aliyekuwa mke wa mwanae wa kuadopt baada ya mke huyo kupewa talaka.
 
Surah 3:151 ni baada ya vita ya uhud , ndio hapo nakuambia soma Qur an haikushuka siku moja ...Wanaongelewa hapo waliokuwa wanapigana na waislamu kumbuka vita walianza wao kwa sheria ile ile ya waislamu kujilinda .

Kwa kiswahili ''Tutazitia khofu nyoyo za walio kufuru kwa vile walivyo mshirikisha Mwenyezi Mungu na washirika ambao hakuwateremshia hoja yoyote. Na makaazi yao ni Motoni; na maovu yaliyoje maskani ya wenye kudhulumu!''

Surah 2:191
''Na wauweni popote mwakutapo, na muwatoe popote walipo kutoeni; kwani fitina ni mbaya zaidi kuliko kuuwa. Wala msipigane nao kwenye Msikiti Mtakatifu mpaka wakupigeni huko. Wakikupigeni basi wapigeni kwa kadiri walivyowapigeni nyinyi. Na mwaminini Mwenyezi Mungu, kwani Yeye ndiye atakayewasaidieni''
Soma nilipo'bold ndio utaelewa wao ndio walingonjwa waanze

sasa ayah ya 191 surah 2 inaanzia ni mwendelezo wa ayah ya 2:190 ambayo inasema ''Na piganeni katika njia ya Mwenyezi Mungu na wale wanaopigana nanyi, wala msianze uadui. Kwa kuwa Mwenyezi Mungu hawapendi wanaoanza uadui''

Yule anayekupiga ndio umpige , waislamu hawakuanza vita wala uadui kamwe soma vizri huwezi kudanganya watu kwa kuokotekeza nusu ayah huko kwa wafuga chuki 😀 😀 😀 😀
HII DINI NI YA KIKATILI,UUAJI NA KUTIA HOFU KAMA HOFU ANAVYOWAAMBIA WAUMINI WAKE BINADAMU NA NDUGU ZENU MAJINI.
 
Hivi hili neno ushamba, linatamkwa wakati sahihi kweli, maana unaweza ona mtu mshamba alafu anawaita wajanja Washamba.
Kuna tofauti ndogo sana kati ya ushamba na ujinga.

Maana ya ushamba ni kutojua mambo, ambayo ndio maana ya ujinga pia.
 
Ndo maana hawa jamaa wanafanyaga kuua tu bila kukoma, kwao ni maagizo.

Alafu ile ya mabikra 72 mbona haipo au maimam huwa wanatufunga kamba tu ili tutangulie tu ile kwetu
Mabikira 72 cheki namba 7 hapo. Hiyo ndio ya msingi kuliko zote
 
Quoted"Mimi nina Quran nyumbani kwangu mwaka wa kumi huu. Ninaisoma ninavyotaka. Sijawahi kuyaona hayo majini".

kutoka kusoma kuran bila kuona majini hadi bibilia na quran kuwa vitabu vya kishamba!! ila umesahahu kutuambia kuwa na Biblia uliisoma pia.
nb; umeileta biblia ndani ya mjadala ili kubalance Mada na sio kitu kingine.
Ndio, biblia na Quran ninazo.

Ninazisoma mara kwa mara na nilishagundua kuwa ni vitabu vya kishamba.
 
Back
Top Bottom