Itakua mama yake mnyiramba na akalelewa umamani,wasukuma na wanyiramba Wana maingilianoYule msanii wa Arusha JCB, Jina lake halisi ni Jacob Makala. Lakin yeye ni msukuma. Huenda ni jina la kibantu. Ila kama vile Kuna Makala zenye Single l na Double l
Unamkumbuka Dr Luta Nelson alikuwa na kashfa piaHii wala si kashifa kwa hapa Tanzania.
*Waziri wa fedha anatumia jina la mtu.
*Lukuvi amekaa serikalini mpk amezeeka lkn hana cheti.
*Mary Nagu anaitwa Dr...lkn hakuna kumbukumbu mahala popote aliposoma PhD
*Alikuwepo mganga wa kienyeji ambaye hajawahi kukanyaga shule lkn alijiita profesa.
Msukuma hana cheti hata cha shule ya msingi lkn anaitwa Dr.
Suala hili halijaanza leo na kwa Tanzania Wala siyo kashifa. Kuna mtanzania alikuwa anaitwa Msemakweli, aliandika mpk kitabu akiwatuhumu Lukuvi na Nagu. Baadaye akaja Ben Sa8 akahoji PhD ya Magufuli.
Kwani Jamaa ni hatari ?Kurogwa huogopi mkuu[emoji83]
Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu.
Nawapa assignment Kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wa Sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa Mvomero anavyojitambulisha. Ni Mnyiramba na Amos Makalla orijinali yupo na analipwa fedha na RC Makalla kila mwezi kumfichia utupu wake. Ukweli nitauweka muda sio mrefu.
Lowasa si masai kumbe,ni kabila gani ?Baba yake Lowasa ndo aliyehamia Monduli na kununua mashamba huko na kubadili kabira lake,Lengo lilikuwa apate tu Nafasi ya kugombea kwenye uongozi mana kuna makabira nyerere alishayaktaaga tangu zama za kale za mawe.
Acha chuki za kipumbavuPaul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu.
Nawapa assignment Kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wa Sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa Mvomero anavyojitambulisha. Ni Mnyiramba na Amos Makalla orijinali yupo na analipwa fedha na RC Makalla kila mwezi kumfichia utupu wake. Ukweli nitauweka muda sio mrefu.
Nilitaka kushangaa hiyo akili ni yake kweli au ameazima!!!Nawapa assignment Kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wa Sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa Mvomero anavyojitambulisha. Ni Mnyiramba na Amos Makalla orijinali yupo na analipwa fedha na RC Makalla kila mwezi kumfichia utupu wake. Ukweli nitauweka muda sio mrefu.
Hizo doubles ni mbwembwe tu hamna hiyo style kwenye majina ya kibantuIla kama vile Kuna Makala zenye Single l na Double l
Yule wa tai ya taifa anayejiita mguu wa chemba naye alifoji ...wanyiramba mnatuangushaMakalla ni jina la kinyiramba,elimu yake ya msingi aliipata shule ya msingi kitongo wilayani nzega,nzega wanyiramba wengi tu
Ungefanya la maana sana kwa kuweka ukweli wote hapa kama Makonda alivyoanikwa humu tena kwa ushahidi usiotia shaka.Paul Makonda alizama kwenye kashfa nzito ya kufoji cheti na jina. Badala ya kuitwa Albert Bashite akaitwa Paul Makonda ikawa ni kasha nzito sana katika mfumo wetu wa elimu.
Nawapa assignment Kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wa Sasa Amos Gabriel Makalla. Huyu si Makalla wala si Mluguru wa Mvomero anavyojitambulisha. Ni Mnyiramba na Amos Makalla orijinali yupo na analipwa fedha na RC Makalla kila mwezi kumfichia utupu wake. Ukweli nitauweka muda sio mrefu.
Unataka kusema ni mchaggaAmefoji mpaka kabila??
Kiruuu.
Ila sio wa kwanza maana hata Lowasa nae kafoji kabila.
Lowasa ni Mmeru, sijamuelewa hapo anapodai baba yake alibadili kabila ili aje agombeeLowasa si masai kumbe,ni kabila gani ?
Kwani Lowasa asili yake ni kabila gani?Amefoji mpaka kabila??
Kiruuu.
Ila sio wa kwanza maana hata Lowasa nae kafoji kabila.
Mutoto Ya Ndama, Pedeshee Nyaa MihelaPedesheee Amose Makarraaaa , muzee wa mvomeloooooo
Ndiyo mfano Masanja, Makala, Sayenda nkWanyiramba na Wasukuma wanashea majina!