Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

wewe weka wazi huyu namfahamu kasoma kitongo primary school kitongo kwa jina hilohilo,acha uongo
 
mukuma ndio nani?
 
 
Vyeti feki original tuanzie kwa Jiwe, yaani a fake PhD kakaa nayo hadi anaukwaa uraisi wa nchi? TZ imejaza mavyeti feki wengi, hao viongozi wa umma wakichimbwa kisawasawa itakuwa ni aibu yaani mawaziri, wakuu wa mikoa/wilaya na maeneo mengine mbalimbali. Huu mtindo wa kutumia vyeti na majina ya watu uko mpaka polisi na jeshini.
Hebu mwageni hadharani hao watu walivyopenya hadi wakatoboa kwa kufoji vyeti.
 
VP kuhusu Madelu
 
 
Kumekucha noma sana ,weka jina lake original.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…