Kama Paul Makonda alifoji jina na cheti basi mchunguzeni na Amos Makalla

Duuuh 🤔🤔
 
MSEMA KWELI MPENZI WA MUNGU HEBU WEKA WAZI KILA KITU UJANJA UJANJA WA VIONGOZI UMEZIDI
 
Amefoji mpaka kabila??

Kiruuu.

Ila sio wa kwanza maana hata Lowasa nae kafoji kabila.
Wanyiramba walikuwa na kawaida ya kurudia shule kwa majina ya walioacha shule endapo yeye hakufaulu.

Ni mambo yamefanyika miaka mingi ndio maana hata Mwigulu alisomea jina la mtu mwingine.
 
Wahi hospitali ndugu
Ni ukweli usiojificha kuwa katika kipindi chake cha uongozi kama RC wa DSM kwa hakika Mkoa umepata mafanikio makubwa katika mambo yafuatayo:-
Mosi, Kuwa kinara katika vita dhidi ya mapambano ya Madawa ya kulevya.

Pili, amefanya mapinduzi makubwa katika sekta mbalimbali kama vile Afya, Elimu, Maji, Ulinzi na usalama nk.

Mwisho nahitimisha kwa kusema mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Nawasilisha
Kukumsela
 
Sikusoma Kwa umakini nilishani unamsema Makalla. Nishafuta comment yangu.
Huu ndio ukweli Makonda alikuwa Bora kuliko wakuu wote wa mkoa was Dar kuwahi kutokea.

Mfano hakisi tu angali basda ya kumtoa Hadi mapato ya jiji yalishuka kwa asilimia kubwa.

Huyu jamaa Kwa kifupi anafaa sema wakwepa Kodi waliamua kumvalua njuga maana alikuwa kawakaba kweli kweli
 
Yule wa tai ya taifa anayejiita mguu wa chemba naye alifoji ...wanyiramba mnatuangusha
Hakufoji,Bali alitumia jina la mtu aliyeacha shule yeye akarudia msingi,maana kipindi chake kurudia haikuruhusiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…