pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Hawajui wanataka nini, basi kulalamika tuHivi mnaona dar slam ndiyo Tanzania nzima? Yaani maji yakose dar basi wote tulie kuna maeneo umeme unakatika kwa nadra sana, yaani mtu unaweza kumaliza hata miezi miwili umeme hujawahi kukatika hata siku moja, ikitokea ukakata hata dk haiwezi kuisha umesharudi, kuna maeneo tangu dunia iumbwe hayajawahi kuona umeme, kuna watu unaposema internet haelewi unazungumzia nini, kuna jamii vizazi na vizazi hawajawahi kutegemea ajira za serikali.....kuna maeneo mtu hajawahi kuona ukame au ukosefu wa maji uliokithiri yaani kuna mito , madimbwi na mvua zinapiga kwa wakati kila mwaka..... hivyo hoja zako si nzito kiasi kumfanya Rais wa Taifa zima kujiondoa madarakani bali uanze na viongozi wa ngazi za chini ambao wanaishia kwenye eneo ambalo lina changamoto hizo
Kila uchwao, ngoja lije katili lengine