Kama Rais Samia ameshindwa kazi basi ajiuzulu maana hali inazidi kuwa mbaya

Hawajui wanataka nini, basi kulalamika tu
Kila uchwao, ngoja lije katili lengine
 
Na wewe hamia Burundi kama maisha chini ya utawala wake yamekushinda
 
Mbona jpm hakuwahi kujiudhuru wakati ajira alimaliza zote na hakuwahi kuongeza mishara hata siku moja kwa wafanyakazi kinyume na matakwa y sheria. Mbona alikuwa anaua ovyo ovyo raia wake bil huruma. Mbona aliharibu kilimo kila Kona ya nchi. Alifanikiwa tu zoezi la korona peke yake na penyewe akufanya trial and error.
 
Nyinyi haiwezekani kuandamana bila kikomo, sababu ni kwamba - mlo wa siku lazima utafutwe siku hiyo hiyo (daiwaka)! Ukienda maandamanoni, ujuwe siku hiyo huli.
Maana wengi wetu ni vibarua. Wachache wenye kazi za kudumu wanamsaporti huyo mtawala!
 
Usihofu atajiudhuru 2030
 
Haya matatizo yalikuwepo toka longi usimsingizie maza. Muasisi wa matatizo haya ni CCM toka mwaka 1995 hadi leo matatizo yanajirudia rudia tu, mfano No 7 ilichezewa sana sana kipindi cha Kikwete.

Watanzania wenzangu bila CCM kuibutua nawahakikisha - HATUTOBOI.
 
Hali ya maisha ni ngumu jamani,umeme na maji vimeshakuwa kero
 
Kiukweli Rais wetu anatufadhaisha, yaani nchi inachezewa na wahuni tena mchana kweupe hachukui hatua.
Ahueni ya masikini ni kuona kiongozi wake akipambana kulinda rasilimali zao hata kama watalala njaa lakini wanafurahia kuona Rais wao anadhibiti kila aina ya WIZI, sasa kinyume chake, Masikini anapitia maumivu pale anapoona kuna kundi la watu wanakula raha yeye anateseka halafu kibaya analazimishwa kusifia.
Saa nyingine mtafunga watu jela kwakuwa wapo tayar kuwaombea Dua mbaya hata mpatwe na matatizo kwakuwa hamjali maumivu yao.
Rais Samia aambiwe tu ukweli kuwa nchi inakwenda shimoni na wanaokula raha ni yeye na wateule wake ambao ni chini ya 1%
 
Hii nchi inahitaji Benevolent dictator bila kujali jinsia, kusema anaoenewa kisa ni Mwanamke ni kutafuta kichaka cha kuficha udhaifu wake.
Ajaye ni DICTATOR, wanamtengeza wenyewe Kwa Uporaji wa wazi wa Mali za ummaaa!!!!
 
Inasikitisha Sana. Tanzania nchi nyepesi kuongoza.

Our president is completely incompetent
 
Leo yupo kigamboni akizindua visima baada ya hapo anakwea mwewe tena sijui wapi? Walamba asali wameshamwandalia safari tayari!
 
Mm mhanga wa point no:8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…