Watoto huwa wanaelewa mbele ya safari. Mwanza mtu anajya hindi ya kufanya, baadaye anajya kwanini wanafanya vile. Kujua jinsi ya kufanya ni hatua na ni jambo la msingi kuelekea kujua kwanini inafanyika hivyoNilichogundua wanafanya ila hawajui kwa nini wanafanya hivyo. Kuna mawili walikuwa tayari wameshakariri jibu au mwalimu aliwafundhisha kwa kukariri bila kujua kwa ninj ukate chini na juu.
Yaani mtu huyo
Anaweza kufanya
1+3
Ila ukimpa 3+1 umemvuruga.
Ni kipengere.
Hayo maelezo ilikuwa nayo lasaba?
mkuu zamani watot6 wanamaliza darasa la saba kama kawahi sana shule basi atakuwa na 18yrs, zama hz mtoto anaanza std1 ana 5yrs akichekewa sana 7yrs, sasa huyo mtoto unampaje mke? ya zamani na sasa ni tofauti sana mkuuMaana ya shule ya msingi inakufa kwa kasi.
Zamani mtoto akimakiza SDT 7 unaweza hata kumkabidhi mke akaendesha familia. Hahaha
Elimu yote ya bongo ni ushuzi. Wanafunzi wanafundishwa jinsi ya kufaulu mitihani tu. Hawafundushwi maarifa yoyote yatakayowafanya wawe weledi na raia walioelimika. Elewa kwamba hata shule za Kayumba kuna mashindano ya kupata A na haya ndiyo malengo ya serikali yetu tukufu. Hata kwenye ajira hawaangalii maarifa ya mwajiriwa bali wanaangalia A tu. Nchi ya kipumbavu sana hii.Elimu biashara imeharibu maana ya elimu ya msingi.
Kunamashindo makubwa ya kupata A, madogo wanaboostiwa kwa kufosi ili wapate kula somo A. Nimewahi kukutana na kabinti kanalia eti kamepata 46/50 hesabu wakati kalitarajia kupata 48/50 mock, ila nilipomfanyia udukuzi nikajua hata hesabu za sehemu mchanganyiko hajui kusovu.
Unadhani nini madhara ya kulazimisha watoto wapate A katika maendeleo ya elumu yetu?
Duh!!Elimu yote ya bongo ni ushuzi. Wanafunzi wanafundishwa jinsi ya kufaulu mitihani tu. Hawafundushwi maarifa yoyote yatakayowafanya wawe weledi na raia walioelimika. Elewa kwamba hata shule za Kayumba kuna mashindano ya kupata A na haya ndiyo malengo ya serikali yetu tukufu. Hata kwenye ajira hawaangalii maarifa ya mwajiriwa bali wanaangalia A tu. Nchi ya kipumbavu sana hii.
Mwenyewe nilifaulu la Saba nikachinjiwa jogoo lolilokuwa halichinjwi kwa sababu ya mbegu.Ndio enzi zetu sisi kufaulu la saba ilikuwa unafanyiwa sherehe nyumbani mtaani unavimba.
Mimi nilifaulu kibaha.. enzi hizo wanaita shule za vipaji maalumu.
Mimi napenda kuelewa sipendi kukariri. Ndio maana nimeshangaa hata PI watu wazima hamuikumbuki ni nini ?
Mnaona nimemuonea kumuuliza maana ya PI mtoto wa darasa la saba anayesoma shule za ada milioni mbili?
Nachukia shule zinazokaririsha watoto
Acha ujuaji wa kindez wewe.Darasa la saba hujui maana ya PI
Hesabu za mzingo, eneo na ujazo zinafundishwa darasa la ngapi ?
Acha ujuaji wa kindez wewe.
ww umesema ni 22/7 na 3.14, mimi nikakuambia ni 22/7 au 3.142, huoni tofauti mkuu?Hebu nieleweshe hiyo 22/7 yangu ina tofauti gani na 22/7 yako.
Huko kwenye decimals nimekuelewa.
Aaah nimekuelewa mkuu.ww umesema ni 22/7 na 3.14, mimi nikakuambia ni 22/7 au 3.142, huoni tofauti mkuu?
Muone huyv, watu mmemaliza std 7 mna miaka 20 unataka kulinganisha reasoning yako na mtoto wa zama hz ambaya anamaliza std 7 akiwa na 12yrs?Mwenyewe nilifaulu la Saba nikachinjiwa jogoo lolilokuwa halichinjwi kwa sababu ya mbegu.
Najiona nilikiwa najua mambo mengi ya sana. Geopolitics, mambo ya kitaifa na kimataifa, sayansi nilikiwa mtafitimtafiti sana kiasi kwamba sikuwa natumia muda mwingi kusoma ila nafaulu.
Ila siku hizi naona kama mtu anamaliza la saba anaIQ ya mtoto wa chekechea, hajui kureason na kuhoji mambo ya maana. Anaharakiswa kufaulu kuliko kujenga msingi.
kuanzia std 6, uliza jingineUjuaji kivipi. Acha kashfa Hoja inajibiwa kwa hoja.
Kama hujui ama umesahau ulichokariri kuhusu hesabu sema ueleweshwe ambacho huelewi.
Swali langu kwako ni hili
Hesabu za mzingo, eneo na ujazo zinafundishwa darasa la ngapi ?
ww umesema ni 22/7 na 3.14, mimi nikakuambia ni 22/7 au 3.142, huoni tofauti mkuu?
kuanzia std 6, uliza jingine
Huo ni uwezo binafsi. Kwamba uliomaliza nao walikuwa wanajua? Pia,Ilikuwa ni lazima kwenye kila shule ya msingi KWA enzi zako kuwe na Wanafunzi kadhaa wanaojua hilo? Au ni upeo wa mwanafunzi binafsi ambao hata sasa upo KWA Wanafunzi kadhaa wa shule za sasa?Ndio enzi zetu sisi kufaulu la saba ilikuwa unafanyiwa sherehe nyumbani mtaani unavimba.
Mimi nilifaulu kibaha.. enzi hizo wanaita shule za vipaji maalumu.
Mimi napenda kuelewa sipendi kukariri. Ndio maana nimeshangaa hata PI watu wazima hamuikumbuki ni nini ?
Mnaona nimemuonea kumuuliza maana ya PI mtoto wa darasa la saba anayesoma shule za ada milioni mbili?
Nachukia shule zinazokaririsha watoto
Kumbe hata na wewe huna macho, jamaa kasema thamani ya pi ni 22/7 na 3.14, nikamwambia ni 22/7 au 3.142, nilikuwa siongelei decimal place mkuu,Mnabishana kitoto.
3.14 na 3.142 hazina tofauti.
Mmoja karound kwa two decimal place kapata jibu lake ambalo ni 3.14
Mwingine ka round kwa three decimal place akapata jibu lake la 3. 142.
Atatokea mwingine ata round kwa 10 decimal place na yeye atapata jibu lake refuuu.
Kuepusha haya kwenye hesabu inatumika two decimal place ili jibu liwe fupiii kuokoa muda
Kwanza inaitwa PIE hiyo PI sijui umeitolea wapi??Darasa la saba hujui maana ya PI
Hesabu za mzingo, eneo na ujazo zinafundishwa darasa la ngapi ?
😀😀Muone huyv, watu mmemaliza std 7 mna miaka 20 unataka kulinganisha reasoning yako na mtoto wa zama hz ambaya anamaliza std 7 akiwa na 12yrs?