Kama shule za Private zikifanikiwa kumfanya kila mtoto wa primari kupata A nini kitatokea?

Kama shule za Private zikifanikiwa kumfanya kila mtoto wa primari kupata A nini kitatokea?

Ujuaji kivipi. Acha kashfa Hoja inajibiwa kwa hoja.

Kama hujui ama umesahau ulichokariri kuhusu hesabu sema ueleweshwe ambacho huelewi.

Swali langu kwako ni hili

Hesabu za mzingo, eneo na ujazo zinafundishwa darasa la ngapi ?
Mtu anawezakuwa anajua kufanya hayo maswali vizuri sana na asijue kuelezea maana ya pi. Akajua tu thamani yake. Kama ambavyo 1/3 inatumika kwenye kanuni ya ujazo wa pia shule ya msingi lakini watoto hawajui kwanini 1/3.
 
Huo ni uwezo binafsi. Kwamba uliomaliza nao walikuwa wanajua? Pia,Ilikuwa ni lazima kwenye kila shule ya msingi KWA enzi zako kuwe na Wanafunzi kadhaa wanaojua hilo? Au ni upeo wa mwanafunzi binafsi ambao hata sasa upo KWA Wanafunzi kadhaa wa shule za sasa?
halafu hao wameanza std1 wana 10yrs tena hapo kawahi, wapo hapa wanajilinganisha upeo na watoto wa zama hz wanaoanza std 1 wakiwa na 5yrs
 
Kwa sisi Tanzania Shule ya msingi kuanzia darasa la tano tunaanza kufundishwa elementary geometry. Yaani introduction to geometry. Ni lazima ufundishwe kuhusu PI kwanza. Ndipo unaanza kufundishwa kutafuta eneo, mzunguko ama ujazo wa duara.

Labda kama ulikuwa kilaza wa hesabu hivyo hata ukumbuki topic za primary.

Pia sio Tanzania tu.

Sylabus ya hesabu ya nchi yoyote dunia nzima. PI lazima ifundishwe kwenye elimu ya msingi.

Elementary mathematics kwa kiswahili ndio elimu ya msingi.. PI huwa inafundishwa kwenye elementary mathematics ili mtoto aweze kuelewa msingi wa geometry
Unasema nilikuwa kilaza ebu tuweke matokeo ya hisabati kwa levo zote za CSEE na ACSEE na hata primary kama yangekuwepo.
 
Mnabishana kitoto.

3.14 na 3.142 hazina tofauti.

Mmoja karound kwa two decimal place kapata jibu lake ambalo ni 3.14

Mwingine ka round kwa three decimal place akapata jibu lake la 3. 142.

Atatokea mwingine ata round kwa 10 decimal place na yeye atapata jibu lake refuuu.

Kuepusha haya kwenye hesabu inatumika two decimal place ili jibu liwe fupiii kuokoa muda
Hapo amekueleza tofauti ya "au" na "na".
 
Rudi huko zamani
nakazia, watu wamemaliza std 7 wana 22yrs wanalinganisha upeo wao wakati huo na watoto wa sasa wanaomaliza std7 wako na 12yrs, halafu wanakomaa kabisa kuwa zamani mtoto anamaliza la saba unamkabidhi mke, ndio sasa jitu lina 22 kwa nn lisikae na mke. je mtoto wa la saba la zama hz ako na 12 unaweza mkabidhi mke?, watu sijui wana nn vichwani tu
 
Likizo ya mwaka Jana nilienda kwa sister kumtembelea. Baada ya siku Kama mbili hivi nikawaita madogo mezani Kila mtu aje na mitihani yake. Nikahamisha maswali yaleyale kwenye karatasi nyingine nikawapa Kila mtu mtihani wake na nikawasimamia kidete. Nilitamani kulia kwani hakuna aliyefikisha hata 40% wakati mwanzo walipata 98%, 96%. Nikamwambia dada hakuna shule pale unapoteza ada.
 
Mimi nilikuwa na miaka 13.
Miaka kumi na tatu 2023 inakuwa myepesi.
Sisi wayahudi mtu akifika miaka 13 ni mtu mzima. Huwa hatuna ujinga wa adolescence.
 
Hata chuo KWA sasa ni hivyo hivyo. Ukiwaambia warudie KWA usimamizi makini.
 
Likizo ya mwaka Jana nilienda kwa sister kumtembelea. Baada ya siku Kama mbili hivi nikawaita madogo mezani Kila mtu aje na mitihani yake. Nikahamisha maswali yaleyale kwenye karatasi nyingine nikawapa Kila mtu mtihani wake na nikawasimamia kidete. Nilitamani kulia kwani hakuna aliyefikisha hata 40% wakati mwanzo walipata 98%, 96%. Nikamwambia dada hakuna shule pale unapoteza ada.
Hatari.
 
Mimi nilikuwa na miaka 13.
Miaka kumi na tatu 2023 inakuwa myepesi.
Sisi wayahudi mtu akifika miaka 13 ni mtu mzima. Huwa hatuna ujinga wa adolescence.
sijaelewa, umemaliza std7 2023 ukiwa 13, umejiunga jf 2018? unawajua wayahudi au unawasikiaga tu, halafu wewe sio myahudi, myahudi 13 tayari yuko chuo huko
 
sijaelewa, umemaliza std7 2023 ukiwa 13, umejiunga jf 2018? unawajua wayahudi au unawasikiaga tu, halafu wewe sio myahudi, myahudi 13 tayari yuko chuo huko
Mtoto mwenye miaka 13 2023 ni mwepesi kichwani kuliko mtu mwenye umri huohuo miaka ya zamani.

Kwa sababu sasa hivi kuna overpopulation ya taarifa na vyanzo vya taarifa, akili zao ziko bize hazifocus.
 
Mtoto mwenye miaka 13 2023 ni mwepesi kichwani kuliko mtu mwenye umri huohuo miaka ya zamani.

Kwa sababu sasa hivi kuna overpopulation ya taarifa na vyanzo vya taarifa, akili zao ziko bize hazifocus.
hyo ni wewe tu utakavoamua kumshape mtoto wako, kama unamuacha mtoto kazi iwe kukariri bongo flava na kuangalia series za kutafsiriwa, unategemea nn hapo.
 
Kwanza inaitwa PIE hiyo PI sijui umeitolea wapi??

Pia kumbuka hii ni elimu ya msingi wanasoma vitu vichache kwa juu juu sio deep kama secondary hilo swali naamini watoto wachache sana au hakuna kabisa wa primary wanaweza kujibu na hesabu wanajua vizuri tu.

Secondary wenyewe hilo swali hawalijui.

Inaitwa PIE ?

Leta ushahidi wako kama inaitwa PIE
 
Attachments

  • Screenshot_20231004-145411_Firefox.jpg
    Screenshot_20231004-145411_Firefox.jpg
    125.3 KB · Views: 1
Balaa zito. Kuna katoto kanasoma la saba. Kana A za kutosha.

Nilikauliza PI ni nini kwenye hesabu.
Naomba anifundishe nielewe kuhusu PI.
Alishindwa kunieleza. Sababu amekaririshwa
Wew ulipokuwa form two ulikuwa unajua hio pi ni nini ?

I can bet unaweza kwenda kwa form 4 wengi sana hapa nchini both pvt na Gvt ukawaambie waeleze how π is 22/7 na hawajui, may be hata wew nikikuambia uniambie hujui
 
Back
Top Bottom