Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Mtu anawezakuwa anajua kufanya hayo maswali vizuri sana na asijue kuelezea maana ya pi. Akajua tu thamani yake. Kama ambavyo 1/3 inatumika kwenye kanuni ya ujazo wa pia shule ya msingi lakini watoto hawajui kwanini 1/3.Ujuaji kivipi. Acha kashfa Hoja inajibiwa kwa hoja.
Kama hujui ama umesahau ulichokariri kuhusu hesabu sema ueleweshwe ambacho huelewi.
Swali langu kwako ni hili
Hesabu za mzingo, eneo na ujazo zinafundishwa darasa la ngapi ?