Kama silaha zilizooneshwa ndio za Jeshi letu, bado tupo nyuma sana

Hakuna cha movie hapa Mzee. Jeshi letu lipo outdated. Tunatakiwa ku modernize. Tunaona display za silaha kwa majirani zetu. Uganda na Kenya.
Waulize wakongo mzee!.Wakati majeshi ya mawili yamegawanywa katika mashambulizi ya kimkati kwa jeshe la nchi nyingine kushambulia kwanza kutokea angani na ndiyo sisi watz tufuate kwa kushambulia chini,lakini kabla ya jeshe la anga kushambulia taarifa inakuja kwamba jeshi la Tz la kushambilia tokea ardhini tayari limemaliza kazi na m23 hawapo tena!Vikosi vyote vingine viliduwaa.
Hapo ndiyo utajua jeshi letu ni hatari kiasi gani.
 
Hakuna ulichochangia mzee, pumba tupu.
 
Mzee hiyo ni silaha ya 1967 USSR technology






View attachment 2038210
Venus Star uko correct wanaokupinga wanaokupinga kama desturi tu. Kwa Africa nchi ya Tanzania ni namba 23 kwa military strength wakati kwa Dunia ni namba 112. Njoo hapa: List of countries with the strongest and weakest military in Africa 2021
 
Mantahofu Tupo Vema Sana, Huwezi Kujivua Nguo Zote Hadharani
 
Nchi tatu zilikuwa kule mzee kupambana na wanamgambo wasiokuwa na silaha za maana. Usilee uozo kwa kutupatia stories za Kongo.
 
Ulinzi ni pamoja na kuonesha uwezo ulionao. Kwa silaha zilizooneshwa kusema kweli ni hafifu. Zimepitwa ma wakati. Uganda na Kenya wana silaha bora kutuzidi.
We are weak compared to them.
Mama atanunua mpya,silaha zilinunuliwa kiasi enzi za JK
 
Hao wanaume ambao unasema "hawalali" wanalipwa hata sisi wengine hatulali kwenye kazi zetu ili wengine waishi vizuri.
 
Weka picha ya hiyo BM 21
 
Marekani kasafiri kupeleka kiherehere Vietnam na akakutana na silaha za Mrusi. Hakuwa anajitetea hivo hakulazimika kutumia hata 10% ya uwezo wake kijeshi
Tulikuwa tunawaona wakitegwa na mitego ya kutegea nguruwe, wakichomwa na mikuki ya mianzi...
Huyo Mrusi naye na machuma yake!; yaligeuka chuma chakavu na kuikimbia afghastani!
Vita ujanja, fitina, na mbinu za medani, huwa zinalipa kuliko michuna...
 
Tanzania sio nchi ya kijamaa na siri za kijeshi hazijalishi kama nchi ni ya kibepari au kijamaa.
 
Tunawaamini but we need to modernize our army.
Analytically the modernization should have been as an instrument for economic development, not for fighting or war assets.Hatuna tishio na hatutakuwa na tishio la kuhitaji Military Might.

Let us invest our Army in science & Technology. Tukifanya hivyo ninauhakika hata chanjo na dawa za Ukimwi, Malaria nk zitapatikana muda Mfupi sana kwasababu hawa jamaa huwa wanakuwa serious sana na hawakubali kushindwa wanapopewa jukumu.

Na hii ndiyo siri kubwa waliyonayo wenzetu walioendelea, 90℅ of the scientists are from Military. Imagine hata hawa wakandarasi wa kichina tunaowaona inasemekana ni wajeshi. Nenda Egypt, Israel, USA, China, Russia etc. But we Africans the Military is for one role
 
🤣
 
Mimi ni mfuatiliaji wa silaha za nchi mbalimbali. Hakuna silaha za kutisha hapo. Uganda na Kenya display yao inatisha Mzee.
Yaani mfuatiliaji through Google.com ndo unataka kujiweka kwenye orodha ya wajuvi wa hiyo nyanja? Na utakuwa mtu wa ajabu sana kama unadhani kinachooneshwa pale ni full weapons fleet! Hawawezi kuanika pale hata 1/4 yake! Zamani nilikuwa naishi pale jirani na Uwanja wa Taifa, na radio mbao zilikuwa zinasema pale Twalipo ndo madude yanawekwa! Lakini pamoja na kuishi pale kwa muda mrefu sana, sikuwahi hata mara kuona "mzigo" unaingia pale kupitia geti linalosemekana ndo linatumika kuingiza "mizigo! Maneno ya watu ni kwamba, "vyombo" huwa vinatoka bandarini usiku, na kuingizwa pale usiku kwa usiku!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…