KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Waulize wakongo mzee!.Wakati majeshi ya mawili yamegawanywa katika mashambulizi ya kimkati kwa jeshe la nchi nyingine kushambulia kwanza kutokea angani na ndiyo sisi watz tufuate kwa kushambulia chini,lakini kabla ya jeshe la anga kushambulia taarifa inakuja kwamba jeshi la Tz la kushambilia tokea ardhini tayari limemaliza kazi na m23 hawapo tena!Vikosi vyote vingine viliduwaa.Hakuna cha movie hapa Mzee. Jeshi letu lipo outdated. Tunatakiwa ku modernize. Tunaona display za silaha kwa majirani zetu. Uganda na Kenya.
Hapo ndiyo utajua jeshi letu ni hatari kiasi gani.