Tunaangalia majirani zetu. Wakenya na Uganda wanaonesha silaha nzito nzito.Kwaiyo mkuu ulitaka tuonyeshe silaa nzito kama za kiduku wa Korea ??
Hako kadude kadogo vile kenye bendera nyekundu mbili ni ka nini, ka APC au IFV? Sasa kana Impact gani mbona hata hakaonekani kuwa na armour.
Uganda wana SU-30, achana na huo moto wa Sukhoi, tena wanazo 6.Ulinzi ni pamoja na kuonesha uwezo ulionao. Kwa silaha zilizooneshwa kusema kweli ni hafifu. Zimepitwa ma wakati. Uganda na Kenya wana silaha bora kutuzidi.
We are weak compared to them.
Umeshawahi kuingia kwenye tovuti ya jeshi lenu na umeona aina ya zana walizoweka na idadi zake??Ukiongea utaonekana wewe sio mzalendo, ila kama jeshi lahitaji teknolojia basi huenda tukawa tupo nyuma mno.
Kama mapambano ni rasilimali watu pekee na mafunzo, huenda tukawa namba za juu Afrika.
Leo tusiombe kupambana na Kenya au Ethiopia, tutalamba mchanga.
Hiyo picha ya pili kutoka chini ni anti aircraft gun? Dunia ya sasa AA batteries zipo tu ila unaweza usizitumie popote
Yani ni muhimu sana ku modernize jeshi. Hatuko vizuri.Uganda wana SU-30, achana na huo moto wa Sukhoi, tena wanazo 6.
Wanapita pale ngerengere sijui mzinga kama sisi tunavyopita Zanzibar.
Hizi ndo tunategemea kulindia anga zama hizi?
Vijana wameshiba maandazi basi wanaingia JF na kuropoka vitu wasivyovijua.Movie zishaharibi vijana wa hovyo
Wewe ulitaka wafanyaje walipoambiwa wapo chini ya ulinzi?Na kama makomandoo ndio sina ya wale walio pelekwa kumlinda Mbowe, wanaokamatwa na mgambo wa polisi, tujitafakari.
Hawawezi kukuelewa mkuu.Mimi ni mfuatiliaji wa silaha za nchi mbalimbali. Hakuna silaha za kutisha hapo. Uganda na Kenya display yao inatisha Mzee.
Watu wameshatoka huko kwenye uzalendo sijui heshima.1.Nacho amini, uwezi unyesha kila kitu ulichonacho utawapa advantage maadui wako
2.Nchi zilizokua za kikomunist ziliwekeza sana kwny jeshi bila kujitangaza, ila ikitaka kazi ziguse ndo utajua uwezo wao.
3.Kwa jwtz hii ndo outing yao kubwa kitaifa kwahiyo wansheherekea wakiwa pamoja nasi lkn bila kuuza siri za kazi.
4.Nachowapendea zaidi jwtz ukiwa nao wanajitambulisha kama JESHI LENU sio JESHI LETU.
Mfano: jeshi lenu litaenda Kongo kulinda amani, na sio hutaenda au jeshi letu litaenda ........
ALL IN ALL JWTZ NI MOJA YA MAJESHI YENYE NIDHAMU SANA DUNIANI.
Huwezi kuonesha vyote ulivyo navyo, lakini anaehitaji kujua kwa technolojia ya mawasiliano leo atajua ulivyo navyo, hata ulivyo agiza na havijawasili.1.Nacho amini, uwezi unyesha kila kitu ulichonacho utawapa advantage maadui wako
2.Nchi zilizokua za kikomunist ziliwekeza sana kwny jeshi bila kujitangaza, ila ikitaka kazi ziguse ndo utajua uwezo wao.
3.Kwa jwtz hii ndo outing yao kubwa kitaifa kwahiyo wansheherekea wakiwa pamoja nasi lkn bila kuuza siri za kazi.
4.Nachowapendea zaidi jwtz ukiwa nao wanajitambulisha kama JESHI LENU sio JESHI LETU.
Mfano: jeshi lenu litaenda Kongo kulinda amani, na sio hutaenda au jeshi letu litaenda ........
ALL IN ALL JWTZ NI MOJA YA MAJESHI YENYE NIDHAMU SANA DUNIANI.
Kama Russia bado anazitumia hizo bm-21 na SA-6 wewe mtanganyika unatia kujua wakati hata goboli hujawahi kushika!Watu humu wanabisha tu. But we are weak and outdated.
Tunatakiwa kuweka budget nzuri na kununua silaha za kisasa.
Hayo ma BM 21 na SA-6 yameshapitwa na wakati. Na kila mwaka wa maonesho ya silaha yanaoneshwa.
Falsafa ya jeshi lenu ni ipi?Ukiongea utaonekana wewe sio mzalendo, ila kama jeshi lahitaji teknolojia basi huenda tukawa tupo nyuma mno.
Kama mapambano ni rasilimali watu pekee na mafunzo, huenda tukawa namba za juu Afrika.
Leo tusiombe kupambana na Kenya au Ethiopia, tutalamba mchanga.
Magufur tokea aingie madarakan hakununua vifaa vya ulinz hata bastora mojaHuo ni ukweli ambao wengi watakuja kukupinga hapa yaani likitokea taifa lenye silaha advanced ni lazima tulie, watakuja hapa kukwambia jeshi letu tunalipima na waasi wa kongo, waasi wasio na silaha za kisasa wanaojificha misituni
Wenzetu kenya wanawekeza kwenye jeshi lao kila kukicha wananunua silaha za kisasa,hata rwanda pia wapo hivyo hivyo , kuna mandege yanapitaga hapa ya kivita hata milio tu unagundua ni za zamani
Watakuita sio mzalendo, kwa mtu anayefatilia teknolojia na masuala ya ujasusi ataamini kuwa tupo nyuma saana.BUK haiwezi kutungua drones. Zimeshindwa kina Pantsir na Tungushka ambazo ni modern sembuse hizo BUK. Labda ukisema vidrone uchwara