Kama sio Maaskofu wa Kanisa Katoliki, Watanzania tulikuwa tunapigwa na kitu kizito sana na DP World

Wanaendekeza njaa ya Leo kwa hasara ya kesho ya vizazi vyetu.
 
Huo mkataba ulishapitishwa na bunge kwa sasa kinachosubiriwa ni mikataba ya utekelezaji

Sasa kama serikali imeamua kuufuta basi tujiandae kulipa fidia miaka ijayo kuna kipengele kinachomfanya dp world kuanza uwekezaji kabla ya mkataba kupitishwa bungeni
 
Wengine walienda mbali zaidi kuwa anayepinga anakwamisha dini.
 
Wewe
Sio form four leaver mkuu acha unafiki. Wewe ni graduate
 
Awamu ya sita imeongoza kuwa na viongozi wasio wazalendo kwa taifa lao. Laiti wangejuwa wajibu wao kwa taifa ili leo tungepiga hatua kubwa baada ya Hayati Rais Magufuli kuandaa Njia.
Ukosefu wa ule 'uzalendo kindakindaki kwa maana ya kutouza sovereignty ya taifa ' pale anapokua na wajomba wa damu ughaibuni inahalalisha dhana ya kukataa kuongozwa na aina ya watu hao .... ubaguzi wenye tija!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…