bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Wanaendekeza njaa ya Leo kwa hasara ya kesho ya vizazi vyetu.Hii nchi tunaishi watu wa ajabu sana
Kila aliyejaribu kusema mkataba ni mbaya alijibiwa anampinga Mama na haipendi nchi anakwamisha uwekezaji, ni mdini, mara amehongwa na Karamagi.
Hivi ni kweli yale mapungufu ya mkataba viongozi akiwemo Mhe. Rais hayaoni?
Mimi form four leaver sio mwanasheria naona je Mama na Ofisi yake haoni kweli?
Binafsi nimepoteza imani sana na viongozi wa kisiasa akiwemo Mhe. Rais kutokana na hili suala la mkataba wa DP World.