bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
We endelea tu kula hayo matango pariShida Dinari za Mwarabu walizokula watazilipaje.Wakina Kitenge wajiandae kulipa naniii.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We endelea tu kula hayo matango pariShida Dinari za Mwarabu walizokula watazilipaje.Wakina Kitenge wajiandae kulipa naniii.......
Wewe endelea tu kulisha hao wenzako hayo Matango poriNdugu zangu Watanzania wale madingi wa Katoliki ni miamba sana, wamemaliza ujinga wa DPW.
Muda si mrefu Mama atatema bungo. Tender hiyo, wenye mbavu waipambanie. Ile sheria ya maliasili waliyotaka kubadilisha ili mikataba isipelekwe bungeni juzi nimeona kamati ya bunge ikipinga mapendekezo yote ya serikali. So far ile sheria haijaguswa.
Kama sio msuli wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC tungepigwa na kitu kizito vibaya sana.
Ahsanteni Maaskofu wa Katoliki.
Npo palee...tutaona hujui hira za mwarabu wewHakuna kitu hicho ! Usiche na Roman Catholic na USA kwenye hili jambo ! Niulize USA kwa nini nikufahamishe !
Ni RUSHWA KUBWA. ZA WAAFRIKA WEUSI TU.Yaani wanatengeneza mkataba wa Kimangungo kwamba Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini ndio basi,.....Lahaulah, tukaombe idhini Dubai kwa Mali zetu? Huu ujinga ubaki CCM na Dubai.
Yule ni Mlevi.Mzee wa upako na kikanisa chake alikuwa upande wa DP World.
Wasabato kazi yao ni kuwasema Wakatoriki tu.Asanteni TEC nawatakia sabato njema.
Aidha ni mjinga au hujauelewa mkataba wa DPW.Mwezi wa kumi mwishoni DP World wanaanza kazi pale bandarini, jiandae kisaikolojia kuumia nafsi yako.
Magati namba tano mpaka namba saba yatahudumiwa na wao, magati namba nane mpaka kumi na moja watahudumia waendeshaji wengine.
Hao maaskofu wa TEC hawakuelewa kwa kina mipango ya serikali ndio maana wakaja na waraka wakihofia mwarabu amekwisha kuchukua bandari yote.
Tangazo la TPA likitafuta mwekezaji wa magati hayo ni jibu kwamba DPW hana mamlaka ya kuipangia serikali kipi cha kufanya na kipi sio cha kufanya, uoga wetu ukiwemo wewe mleta mada ni wa bure tu.
Nani aliwachagua JPMSawasawa.Mambo yote yenye maslahi kwa taifa yapambaniwe hivyohivyo.
HIVI, wale wabunge waliopitisha huo "uhuni" kwa sasa wanajisikiaje?
Sio wewe tu uliyepoteza Imani,ni wengi tu!Mwananchi wa kawaida anayejua kusoma kiingereza akisoma kichwa cha habari Cha ule mkataba tu,unaona kuwa ni bandari zote ,za bahari,maziwa na nchi kavu zinakodishwa.Halafu mtu mmoja,ama kwa ulevi wa fedha,ama madaraka anasema ni gati chache tu za bandari ya Dar es salaam ndizo zinakodishwa!Hii nchi tunaishi watu wa ajabu sana
Kila aliyejaribu kusema mkataba ni mbaya alijibiwa anampinga Mama na haipendi nchi anakwamisha uwekezaji, ni mdini, mara amehongwa na Karamagi.
Hivi ni kweli yale mapungufu ya mkataba viongozi akiwemo Mhe. Rais hayaoni?
Mimi form four leaver sio mwanasheria naona je Mama na Ofisi yake haoni kweli?
Binafsi nimepoteza imani sana na viongozi wa kisiasa akiwemo Mhe. Rais kutokana na hili suala la mkataba wa DP World.
Wapo wengi sana waliomkataa DPW kwa kigezo cha uarabu wake wakasahau ukubwa na uzoefu alionao dunia nzima.Aidha ni mjinga au hujauelewa mkataba wa DPW.
Hakuna mtu aliyekataa uwekezaji bandarini.
Wewe ni kati ya watu wanaopenda utumwa. Au ni Mpumbavu.
Aliyesaini ule mkataba ni mtaalam wa sheria za kimataifa na amesaini mingi sana iliyozinunua ndege zote za ATCL.Sio wewe tu uliyepoteza Imani,ni wengi tu!Mwananchi wa kawaida anayejua kusoma kiingereza akisoma kichwa cha habari Cha ule mkataba tu,unaona kuwa ni bandari zote ,za bahari,maziwa na nchi kavu zinakodishwa.Halafu mtu mmoja,ama kwa ulevi wa fedha,ama madaraka anasema ni gati chache tu za bandari ya Dar es salaam ndizo zinakodishwa!
Ili uweze kukubali kusaini mkataba wa namna Ile ni lazima uwe umepofushwa na ama rushwa ya fedha ndefu,au ahadi nyingine nzito.Kila nikitafakari sababu ya CCM kukubali na kuukumbatia mkataba ule naona kuwa inawezekana wamepewa fedha nyingi kwa ajili ya uchaguzi ujao,maana kwa ccm kitu pekee chenye maana ni uchaguzi.
Hujasikia dollar [emoji383][emoji385] zimeadimika, pengine mwarabu kashalipwa chake huko.Vipi zile hela walizohonga dp world kwa wauza bandari, zinarudi kwa mfumo upi!
Elewa, sheria ya maliasili ingebadilishwa maana yake DPW angekuwa yuko huru kuifumua Tanganyika Marinda yote kabisaKwamba Dp world kaondoka? 😂