acheni kukuta tamaa mapema...have big focus kama tulipuyanga sie na elimu yetu basi unaona dhambi kuwapa elimu bora...tupambane tu mkuu hamna namna...hawa wanatakiwa wawe juu tumia connections zako zote za wana ili madogo watusue...Unatumia nguvu nyingi sana ktk kumsomesha mtoto, mwisho mtoto anamaliza Shule hana kazi na wewe mzazi huna kitu. Hata akipata kazi fedha anaanza kukurudishia kwa kukulea.
Ila ukianza kuwekeza, hata kama atapata Elimu ya kawaida. Mzazi akipata hela mtoto lazima atapata hela.
Kwenye paragraph yako ya mwisho, elimu nayo ni asset. Pia curriculum na syllabuses ni zile zile.Habari wadau..
January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo.
Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha... baba mzazi wewe mwenyewe unategemea ajira za laki nane ama milioni moja, kusomesha watoto wako shule za gharama sio jambo zuri.
Hakuna CEO Mtanzania ambaye ameajiriwa ambaye hayupo kwenye kampuni ya baba yake kama Mo, ambaye amesoma international schools, ama shule za bei nafuu za kiingereza ambazo tunaita english medium... tukumbuke english medium zipo Tanzania miaka kibao kama IST, Arusha school ama Olimpio.
Kuna CEO wengi wazawa kama Dada CEO wa NMB Ruth Zaipuna ama wa CRDB Majid Nsekela na wengine wengi hawajapita Olimpio wala Arusha schools enzi ambazo wanasoma msingi zilikuwepo tayari ila wamepata nafasi kubwa kwa uwezo wao binafsi wa kazi..
Mzazi ambaye huna hela za kutosha peleka mwanao shule za bei nafuu kisha msimamie mwanao vizuri, kila siku mfatilie. Hela ya ada ya kulipa Tusiime nunua asset unazozimudu mwanao zitamsaidia kuliko kumlipia ada mamilioni.
Ushaona asset ni kiwanja pekee?True.. mtu analipa milioni 3 ama nne kwa mwaka ili mwanae ajue kiingereza tu. Huku sylabus anayofundishwa mwanae wa tusiime ni ile ile ambayo wa elimu bure anafundishwa. Tofauti ni lugha tu.
Tatizo la elimu yetu ni sylabus. Jaribu kuwaza hiyo milion 3 kila mwaka mnunulie kiwanja ndani ya miaka 7 atakuwa na asset kiasi gani huyo mtoto.
Mtoto atakuwa na uhakika wa kupata elimu ya juu ama basic need hata kama mzazi umefariki.
Akili yako imeishia kwenye ng'ombe tu?Sehemu tulipowezwa ni hapa..
Mtoto wako, anakuja kuishi Tanzania hiii hiii unahangaika awe mzungu..hahaha.. na anafundishwa matatizo ya kizungu, kwa lugha ya kizungu..akitoka huko ameshakuwa mzungu anakuja kwa watanzania mtaani anaanza moja.. π
Na cha kufurahisha ni sisi wazazi ndio tunakuwa tumewanunulia watoto wetu hiyo delay huku mtaani. Elimu tuliyomnunulia ndio imekuwa kikwazo..
Bora kila mwaka ungekuwa unamnunulia mtoto ng'ombe nne.. anasoma shule ya laki tano kwa Temu.. akija kumaliza shule anakuwa na ng'ombe 68, ukiweka kuzaa na kufa hakosi ng'ombe 100 kwenye kipindi cha miaka 16 ya kusomea elimu.
Na elimu yenyewe ndio imekuwa uchuro uchoro mtupu
tutafute hela wakuuKuna wazazi wanapata stress ikifika kipindi cha kulipa ada mpaka wanatia huruma.
Kuna mtoto amekaa wiki tatu hajaenda shule tatizo ada.
Mwingine alikuwa analalamika hela imekuwa ngumu plus anadaiwa term ya nyuma hivo mtoto hatapokelewa atleast angekuwa anadaiwa mwaka huu mpya wa masomo wangemvumilia kidogo.
Mimi kwakweli nikija jaaliwa kama nikiona maisha yangu tia maji tia maji wala sitaki stress aende tu kayumba nitajitahidi asikose tution na kumsimamia.
Muda mwingine unakuta mtu anateseka na kumhamisha hawezi anawaza walimwengu watamuonaje.
Pata picha una watoto watatu halafu hela yenyew yamawazo lazima akili ikukae sawa.
Nani alikwambia anapata lugha peke yake?Hawana exposure..na kujiamini.
Kujua lugha hakukufanyi smart... Au kujua kabla ya mwingine hakukufanyi uwe na akili zaidi yake.. mtoto anatakiwa ajue hilo mapema maishani.
Elimu ni kutafsiri maarifa uliyopewa au kupata katika maisha yako ya kila siku. Mtoto anajua kiingereza hajui kufunga kamba za viatu inamsaidia nini!?
Mtoto anajua kiingereza hawezi kwenda sokoni mwenyewe na kurudi itamfaanini!?
Logic and Reasoning ndio muhimu. Kwa level za chini watoto wanatakiwa kuwa curious... Mid ages waweze kuleta connection na theory na uhalisia katika maisha yao.. mtoto awe huru atleast saa 9 saa kumi aende akacheza apumzike kutoka shule ... Ukizidisha hapo unaua curiousity mtoto anakuwa duster ananyonya kila kitu kama kilivyo without Reasoning
Wewe hata Kiswahili hujui halafu unajitutumua kama dume la chura?mfumo wetu wa ajira unaangalia sana ufauru.
Viongozi wapi wanaopeleka watoto wao huko bunge?Shule ya Kayumba wanayosoma watoto wa viongozi haiwezi kuwa ya kipimbi mzee [emoji16][emoji16][emoji16]!
Huwezi fananisha Bunge Primary na shule ya kata uliosoma wewe.
But both are government schools.
Akili yako imeishia kwenye ng'ombe tu?
Serikali yenyewe imeshituka na kuamua kufungua kila mkoa shule moja ya english mediumNaona mnahubiri umasikini.
Mimi mwanangu hata mars nitampeleka kusoma.
Kuhusu maisha ni wewe mwenyewe mzazi ndio unaamua mwanao awe nani na umkuze vipi na sio shule ya serikali au shule binafsi yenye ada kubwa.
Kama mzazi unaamini shule fulani ndio zina determine mwanao aje kuwa nani basi uko sahihi kuamini kitu kama hicho hivyo tatizo ni wewe.
Bila kusahau English ni lazima haijarishi upo wapi ilimradi wewe unaishi hapa duniani.
Considering hakuna tatizo kuja lugha zaidi ya moja.
Ninachoona ni wengi English imepita pembeni hivyo wajaribu kutafuta justifications no hard feelings lakini ndio ukweli hivyo siku zote unauma.
Pia ubora wa elimu ni tofauti kati ya private schools na za serikali.
Kuna vitu vingi shule za serikali havina ukilinganisha na shule binafsi.
Labda kama unataka huyo mtoto awe anakariri then aje kuomba ajira au hujui umuhimu wa elimu.
na baada ya hapo hakuna hata kimoja ataweza kitumia sababu ya kukariri.
Hata awe na MBA.
Na asilimia kubwa ya graduates wasio na mbele wala nyuma ni wale wa serikali sababu wazazi wao ni masikini hata humu wamo pia na wale waliopita shule za serikali.
Na ndio sababu kubwa ya kushindwa kuona umuhimu wa elimu ya kueleweka.
yanayotokea huku shule za serikali ni pathetic trust me najua ninachokiandika na situmii emotions.
Kama pesa ipo angalau kidogo peleka mtoto shule ya kueleweka hata kama unauza kachori.
Mengine ni kujifariji na kuwa optimistic juu ya false reality sababu ya emotions hivyo kugeuka fallacy kwani ni personal perspectives and opinions.
Still mfumo wa elimu ni mbovu ila viwango vinatofautiana kutokana na shule.
Anawachallenge A level katika ishu zipiHivi huu msemo Wa eti watoto wanaosoma shule za academies sijui private school eti wanaishia kujua lugha tu, mi natofautiana na wewe mkuu, Kijana wangu yuko std seven hizo shule, sikifichi anawa challenge hata majamaa waliosoma hizo ma A level za kata na wanamkubali mbaya.
Serikali yenyewe imeshituka na kuamua kufungua kila mkoa shule moja ya english medium
Serikali yenyewe imeshituka na kuamua kufungua kila mkoa shule moja ya english medium
Dunia imekua kijiji na lugha kuu ya hiki kijiji ni kingereza, zingine ni ziada, sasa ukitaka kujitenga ni juu yako hakuna aliyelazimishwa, ila watoto watakuja kalaumu wakati wanatafuta kazi au wanafanya BiasharaSehemu tulipowezwa ni hapa..
Mtoto wako, anakuja kuishi Tanzania hiii hiii unahangaika awe mzungu..hahaha.. na anafundishwa matatizo ya kizungu, kwa lugha ya kizungu..akitoka huko ameshakuwa mzungu anakuja kwa watanzania mtaani anaanza moja.. π
Na cha kufurahisha ni sisi wazazi ndio tunakuwa tumewanunulia watoto wetu hiyo delay huku mtaani. Elimu tuliyomnunulia ndio imekuwa kikwazo..
Bora kila mwaka ungekuwa unamnunulia mtoto ng'ombe nne.. anasoma shule ya laki tano kwa Temu.. akija kumaliza shule anakuwa na ng'ombe 68, ukiweka kuzaa na kufa hakosi ng'ombe 100 kwenye kipindi cha miaka 16 ya kusomea elimu.
Na elimu yenyewe ndio imekuwa uchuro uchoro mtupu
Wengi tu watoto wa Jakaya wenyewe wamesoma Bunge PrimaryViongozi wapi wanaopeleka watoto wao huko bunge?
Wengi tu watoto wa Jakaya wenyewe wamesoma Bunge Primary
Eeh wake wa wanene ndio walikuwa maticha mle πππ sasa jamaa anashangaa na kila mkoa shule ya namna hio ipo!Na walimu wengi walikuwa wake wa mawaziri pale na mbuyuni na hata olympio ... Bunge x kisutu x olympio x mbuyuni x oysterbay primary school x arusha school zote hizi zilikuwa ndio kwa washua washua kwa enzi zile kayumba .. sio KAYUMBA ya SASA ... wote TUNAGONGANA NAO MITAANI HUKU uchinani ...