Kama sio tajiri na huna asset, kusomesha watoto shule za gharama ni ujinga unaongeza umaskini kwenye ukoo

Akili za kipuuzi sana mkuu..eti nunua ng'ombe mwekee mwanao hahaha

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Akili za kipuuzi sana mkuu..eti nunua ng'ombe mwekee mwanao hahaha

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Argue as a grown up and educated.

Focus ya English medium ni Language sio command ya maarifa.

Wakati watu wakisoma Mtaala wa kiswahili tu.. na serikali ikiwa imewekeza vyema.. tulikuwa tunaona ubunifu na uvumbuzi wa kila aina kutoka kwa watoto wa shule msingi na primary..

Hawakujua kiingereza ila walijua laws of motion na physics so well, wakaunga helicopter zikaruka.. wakatengeneza maplau nk.. hiyo ndio command ya maarifa.

Kuna Sehemu tuliteleza kama taifa and ended up with brainwashed masses who thinks kujua kusoma kizungu na kujionea suddenly utavumbua rocket uende mwezini.

Tuache pupa na haraka, kilimo ni duni mnataka kuvumbua kompyuta.. muache kukitawala kilimo cha kiswahili hiki tumekalia uzungu... Chess ifunzwe shule.. ufikiriaji wetu ni moja kujumlisha moja mno.
 
wewe ndio hauna maarifa
 
@Wyatt Mathewson tunakuhitaji sana kwenye ule wetu wa Mwitore uje utie neno

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 

BEST COMMENT EVER SINCE 2021 imeingia , by the way HAPPY LUNAR NEW YEAR [emoji3454], this is a year Of OX [emoji243], Dume la Hii topic ni wewe humu , umewamaliza wajinga wote . Thanks brother .
 
Hakuna kitu hapo, wewe sifia ujinga tu,
BEST COMMENT EVER SINCE 2021 imeingia , by the way HAPPY LUNAR NEW YEAR [emoji3454], this is a year Of OX [emoji243], Dume la Hii topic ni wewe humu , umewamaliza wajinga wote . Thanks brother .
 
Tusidanganyane bana ..lugha ya kiswahili bado ina udhaifu wa kutosha kutokana na uchumi wetu ulivyo. Lugha ya kingereza na lugha zingine kubwa ni muhimu kujifunza sana ..kama wewe ulishindwa basi hakikisha mtoto wako anafahamu hata lugha tatu kubwa..
#KaaKitaalamCaptain

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wivu ni kitu kibaya sana ktk Maisha.

We Jamaa unaweza hata waloga hao watoto wa Jirani wanaopanda bus asubuhi kwenda shule....huku wanao wamebeba fagio na kidumu..

How old is this!?

Watoto wa sasa hivi wako conscious sana. We kama umeamua wanyima wanao right to good education...right to enjoy life...right to be proud of their dad n mom ni wewe.

Ila jua nao wanajua umewapeleka 'utopoloni'.

Shauri yako bana. Pesa ni maua. Give your Children happiness in life.
 
Elimu lazima iendane na uchumi wa mtu husika au taifa husika.

Mtoa maada na baba yake Mo kimawazo wapo sawa Ila wametofautiana uchumi Mo alisoma shule ya gharama na alirithi biashara kubwa.

Mtoa maada anahela ndogo anasomesha shule poa kisha anampa kitu cha kawaida.

Mm na nadhani mtu ambae anasomesha mtu shule kwa gharama hafu hajaweka mazingira yatakayo endena na hiyo elimu huyo anazingua.

Mtoa maada nakushauri ungeongezea ni kwana namna gani? Mtu anaweza akampa elimu Bora mtoto wake katika mazingira duni. Mm nashauri mzoweshe mtoto kutafuta maarifa tangu akiwa mdogo nunua vitabu vya kutosha kwa kila level mm imani yangu kubwa ipo kwenye vitabu karibia hivyo vyote vipo kwenye vitabu sijui confidence ,explosure. Namaalizia na mpe imani sahihi.
 
MPAKA MZEE AMALIZE MUDA WAKE TUTAONA NA KUSIKIA MENGI SANA, NAONA DALILI YA KUKIMBIA MAJUKUMU FULANI HAPA.
 
Cemented

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza mtu hujikuna pale anapofikia. Pili tuna malengo tofauti. Na tatu elimu hujenga human capital ambayo ni tofauti na labor.
 
Hamna Hata lugha ni kizungumukuti kiufupi ni kupoteza mda na rasilimali tu. Mm siwez kumpeleka privet labda nipate ziada sana
 
Mm. Imeanza sasa wako la tano na nne wana Ng’ombe wa Maziwa 7 na ndama 7 Maziwa kila siku 30lt
 
Kuna Mtu namfahamu anauza zake tu Viazi mbatata Sokoni pamoja na bidhaa zingine ndogondogo ila yuko katika Vikundi vya Vicoba kama Saba hivi anawasomesha Watoto wake Shule za Gharama wakati Yeye bado amepanga na hana hata Uwanja na Kwao shida hazibanduki.

Na bahati mbaya aliyonayo sasa anawasomesha Watoto huko Shule za Gharama lakini Wote wawili hawana Akili na Kutwa Wanafeli tu na Jamaa anabakia Kuwapiga huku akiwaambia wanamtia Hasara Kipesa.
 
nanuchumi sio kama tunaendesha familia private school ni biashara kama mifugo au kuwa na duka au guest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…