Huyo ndo wakumsaidia atoke humoKuna Mtu namfahamu anauza zake tu Viazi mbatata Sokoni pamoja na bidhaa zingine ndogondogo ila yuko katika Vikundi vya Vicoba kama Saba hivi anawasomesha Watoto wake Shule za Gharama wakati Yeye bado amepanga na hana hata Uwanja na Kwao shida hazibanduki.
Na bahati mbaya aliyonayo sasa anawasomesha Watoto huko Shule za Gharama lakini Wote wawili hawana Akili na Kutwa Wanafeli tu na Jamaa anabakia Kuwapiga huku akiwaambia wanamtia Hasara Kipesa.
Tatizo bado kuna ule ujinga wa kuaminishana kwamba kusoma ndio kufanikiwa kimaisha .Mh!
Umechomoa ubongo au?
Mie ndio nimenunua shamba.. natarajia kuhamia.manispaa mpya.. nipate muda wa kuwachungia future yao nikiwa jirani kabisa.Mm. Imeanza sasa wako la tano na nne wana Ng’ombe wa Maziwa 7 na ndama 7 Maziwa kila siku 30lt
Mkuu
Unaongea as if upo kwenye your own utopia
Wewe una akili,ulisoma ukafaulu vizuri tu bila hata kusumbuka
Cha ajabu una equate your brilliance na the rest of 60mil normal Tanzanians!
Tunazungumzia athari ya sisi kutokua na maarifa coded kwenye lugha yetu wenyewe kutoka generations and generations ago
Hatuna budi kumfata Mzungu ili tu-survive
Na yeye maarifa yake kaweka kwa Kingereza,hatuna budi kujifunza Kingereza kwanza kwa usahihi then ndio tuchimbe maarifa yake
Hata wewe hapo hizo A ulizopata za 81% ungekua unajua Kingereza kama native language ungepata 99%
Watoto wetu wa OLevel "wanakariri" definitions za vitu mbalimbali sababu tu hawaijui hii lugha...Watoto hawalali "wanakariri" definition ya Osmosis wakati wanatakiwa "waelewe" ambapo lugha ya Kingereza ni integral part yake!
Kwanini nchi zote zenye kutumia Kingereza zina maendeleo na elimu kubwa zaidi ya nchi ambazo hazitumii Kingereza?
Kwanini?
Sababu ni kwamba,dunia nzima elimu na maarifa yote yamevumbuliwa na English Speaking nations hivyo wana advantage ya lugha kuelewa haya maarifa kwa usahihi kuliko wewe Mswahili
Mfano mfupi ni nchi za Africa zinazoongoza kua na elimu bora na maendeleo bora ni zote zinazotumia Kingereza....sio South Africa,sio Nigeria,sio Egypt sio Kenya,etc....wengine wote Tanzania included ni mavi jumlisha mavi
Huna lugha,huna maarifa,huna maendeleo,huna chochote,unacheza makida makida tu...sijui lini mtaelewa na liCCM lenu la hovyo!
Nyerere new all these unfortunately alichoka mapema...Lee Kuan Yew new it and implemented it better than Nyerere...
Halafu leo anakuja pumbavu mwenzangu EllySkyWilly anabishana na Kingereza as if yeye ana maarifa aliyogundua yaliyoandikwa native kwa lugha yake ya Kiswahili
Na Kiswahili mna ki-overrate mno..ni lugha ya hovyo na haitumikia duniani zaidi ya TZ na Zanzibar...msije jidanganya....mnaotegemea wawasaidie kukiongea walao Wakenya nao ndio hawakitaki wanajua upumbavu wake...Mombasa tu ndio wanaongea kama lugha ya kienyeji..Uganda,Burundi,Rwanda,Kongo,etc ni some people....hii ni nonsense
Learn English or die doing nonsense here in TZ....hadi emails mnashindwa kuandika,upumbavu mtupu,bure kabisa...ndio maana Tanzania we will never be an international hub,never
Na mtaletewa Wakenya kila siku wawe maCEO wenu....maana ni majinga mno...kila siku mnaambiwa jifunzeni Kingereza,hatutaki,kuleni kiburi sasa...na mtaisoma vizuri maana Rwanda sasa hivi wameigeuza English speaking country bado kidogo Rwanda ita overtake everybody kama international hub...majinga nyie
Tatizo huko kwenye elimu ya juu .finally anataka kupata nini!? Kwa sababu kama ni ajira ndio lengo basi bora tuzitunze hela tumpe aamue kununua cheti au kufanya biashara.. kupoteza muda au kuingia akapambane!?Aisee ni sawa na kujenga msingi mbovu wa nyumba huku ukiwaza kuezeka kwa bati za gharama kubwa kama sio kuweka paa la vigae ama bati za South!
Kila hatua ya mtoto anayoipitia kielimu ina nafasi ktk mustakabari wa hatma yake!
Hivyo Kama una uwezo mpatie tu Elimu yenye msingi bora tangu awali/ mwanzo ili huko Elimu ya Juu awe fit kutokana na alichokipitia tangu akiwa mdogo!
True.. mtu analipa milioni 3 ama nne kwa mwaka ili mwanae ajue kiingereza tu. Huku sylabus anayofundishwa mwanae wa tusiime ni ile ile ambayo wa elimu bure anafundishwa. Tofauti ni lugha tu.
Tatizo la elimu yetu ni sylabus. Jaribu kuwaza hiyo milion 3 kila mwaka mnunulie kiwanja ndani ya miaka 7 atakuwa na asset kiasi gani huyo mtoto.
Mtoto atakuwa na uhakika wa kupata elimu ya juu ama basic need hata kama mzazi umefariki.
Unavyoongea utafikiri kilimo ni rahisi kama unavyo type hapa.....eti atakua na 6 years expiriensi katika fildi of agrikacha baada ya kumaliza fom fooo.....motivesheno spikaz bwanaTatizo huko kwenye elimu ya juu .finally anataka kupata nini!? Kwa sababu kama ni ajira ndio lengo basi bora tuzitunze hela tumpe aamue kununua cheti au kufanya biashara.. kupoteza muda au kuingia akapambane!?
Imagine mtu anayeamua kuwa mkulima immediately baada ya kumaliza form four.. halafu nahuyu anayeamua kusoma Advance secondary education, there after chuo kikuu ili awe agronomist.. kwenye field aliye drop form four ana experience ya 6 by the time unaingia na ww kulima..
Huyo mtu pamoja na nadharia za chuo kikuu zako.. ana mengi ya kukufundisha.. leo mbunge wa KAHAMA ameiwekea vizuri sana.. elimu ya sasa ni biashara tu .. wanatangaza vikubwa na reality haiwezi hata kuachieve vidogo.
Na content ya hii elimu ndio much more questionable.. planner anasoma theory zilizotumika kutatua shida za ulaya mwaka 1890-1920... Leo mwaka 2021 akiwa anaandaliwa kutatua shida za Mtanzania.. such a waste of time and resources
Sijaelewa hoja yako ni nini!?Unavyoongea utafikiri kilimo ni rahisi kama unavyo type hapa.....eti atakua na 6 years expiriensi katika fildi of agrikacha baada ya kumaliza fom fooo.....motivesheno spikaz bwana
Hiyo expiriensi ya miaka 6 kwa kilimo hiki hiki ambacho tumekua tukikiona na hata wazazi hawako proud nacho kiasi kwamba wanasema "soma mwanangu usije kulima".Sijaelewa hoja yako ni nini!?
Kwamba hatakuwa na 6yrs experience!?
Au hakuna wanaowezalima kwa miaka 6?
Au kwenye Agrikacha ukisoma miraculously unakuwa na experience zaidi ya aliyelima miaka sita!?
Honestly sijaelewa ..kipi unaargue against.
Hakuna anayekataa elimu. Shida ni aina ya elimu.. hiitegemezi haina maana.. sua wanamaliza maelfu kwa maelfu.. ila wakulima siwaoni wakiongezeka kwa maelfu.. tena to be honest ndio kwanza wanapungua.Kilimo gani kinachozungumziwa hapa hikihiki kinacholimwa na wapigania uhuru hadi leo miaka zaidi ya 60 ,mkulima hana at nyumba ya bati yupo kwenye kibanda Cha nyasi ananyeshewa mvua?
Bado ata hawezi kuafford basic needs anatembea na nguo viraka Kama vyote!!
Hiki kilimo ambacho hakitoshi kumlisha mkulima hata mwaka mzima?
Asee elimu Ni muhimu acha kujidanganya
Kama unataka awe mkulima mpeleke SUA appate best education about agriculture,aweze kutumia elimu yake kuboresha na kuongeza agricultural production,embu niambie mkulima ambae hahasoma anajua Nini kuhusu kilimo Kama sio kupanda tu mbegu na kutdgemea mvua,mvua zisiponyesha ndio basi Tena anatangatanga njaa,kilimo kinahitaji uwekezaji mkubwa kwenye cost na experts,
Hicho kilimo Cha mazoea Ni kurithishana umasikini tu,
Shida ni kwasababu wamerubuniwa. Elimu ilipaswa kuna na lengo la kuwanelighten watu. Na ilipaswa kuwa lengo la state kuhakikisha watu wake wamekuwa enlightened enough.Hiyo expiriensi ya miaka 6 kwa kilimo hiki hiki ambacho tumekua tukikiona na hata wazazi hawako proud nacho kiasi kwamba wanasema "soma mwanangu usije kulima".
HAPANA huwezi sema hawana akili na wanafeli, iko siku wakirudi hapo mtaani hamuwezi shindana nao hata na watoto wenu wa mitaani wakioenda kanumbaKuna Mtu namfahamu anauza zake tu Viazi mbatata Sokoni pamoja na bidhaa zingine ndogondogo ila yuko katika Vikundi vya Vicoba kama Saba hivi anawasomesha Watoto wake Shule za Gharama wakati Yeye bado amepanga na hana hata Uwanja na Kwao shida hazibanduki.
Na bahati mbaya aliyonayo sasa anawasomesha Watoto huko Shule za Gharama lakini Wote wawili hawana Akili na Kutwa Wanafeli tu na Jamaa anabakia Kuwapiga huku akiwaambia wanamtia Hasara Kipesa.
Eti hawana akili! Hebu kazae wako wenye akili!Na bahati mbaya aliyonayo sasa anawasomesha Watoto huko Shule za Gharama lakini Wote wawili hawana Akili
HahahahhaaaUnavyoongea utafikiri kilimo ni rahisi kama unavyo type hapa.....eti atakua na 6 years expiriensi katika fildi of agrikacha baada ya kumaliza fom fooo.....motivesheno spikaz bwana
Umemaliza mkuu japo wapo watakaochelewa kukuelewa, ahsante kwa elimu.Hawana exposure..na kujiamini.
Kujua lugha hakukufanyi smart... Au kujua kabla ya mwingine hakukufanyi uwe na akili zaidi yake.. mtoto anatakiwa ajue hilo mapema maishani.
Elimu ni kutafsiri maarifa uliyopewa au kupata katika maisha yako ya kila siku. Mtoto anajua kiingereza hajui kufunga kamba za viatu inamsaidia nini!?
Mtoto anajua kiingereza hawezi kwenda sokoni mwenyewe na kurudi itamfaanini!?
Logic and Reasoning ndio muhimu. Kwa level za chini watoto wanatakiwa kuwa curious... Mid ages waweze kuleta connection na theory na uhalisia katika maisha yao.. mtoto awe huru atleast saa 9 saa kumi aende akacheza apumzike kutoka shule ... Ukizidisha hapo unaua curiousity mtoto anakuwa duster ananyonya kila kitu kama kilivyo without Reasoning
Bosi huyo anakipaji hata angekuwa st kayumba angekuwa juu tu mimi nina mdogo wangu yupo form Three Now Ilboru anawakimbiza mbaya hao wa sijui international school na dogo kasoma st kayumbaHivi huu msemo Wa eti watoto wanaosoma shule za academies sijui private school eti wanaishia kujua lugha tu, mi natofautiana na wewe mkuu, Kijana wangu yuko std seven hizo shule, sikifichi anawa challenge hata majamaa waliosoma hizo ma A level za kata na wanamkubali mbaya.